Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,160
- 10,399
Imekushinda kucheza na smart assist au bila smart assist?Me imenishinda kaka ππ
NEGAN kaona coins na wewe umeona GP πMe bado kaka hizo GP Zako hazina kazi ππ
Na smart assist sijaenjoy game kabisa πππImekushinda kucheza na smart assist au bila smart assist?
Kila mtu anaona anachohitajiππ
Mie nilivyoanza kucheza hili game niliweka smart assist moja kwa moja.Na smart assist sijaenjoy game kabisa πππ
Mie nimesema nazichanga hizo mpaka ziwe nyingi πKila mtu anaona anachohitajiππ
Ipo damuni wewe huwezi achaππMie nilivyoanza kucheza hili game niliweka smart assist moja kwa moja.
Zitumie tu hazina kaziππMie nimesema nazichanga hizo mpaka ziwe nyingi π
Kuna game leo kanifunga Mill broh kuna muda mbappe kapewa pasi kadrible toka katikati ya uwanja hakuna mtu anamkimbiza kafika golin nataka kupiga message ikingia mtandao ukagoma nikakosa goli aseee nilitukana matusi yoteπ€£π€£π€£Zimebaki points 10 kwenda dvn 1 halafu dakika ya 89 unakosa goli π
View attachment 3329188
Mkuu nimetoka kucheza bila smart assist mechi kadhaa kwa upande wangu sijaona utofauti mkubwa.Ipo damuni wewe huwezi achaππ
View attachment 3329205
Mbona nazitumia sema ni vile tu hakuna vitu vingi vya kununua.Zitumie tu hazina kaziππ
Daah! πKuna game leo kanifunga Mill broh kuna muda mbappe kapewa pasi kadrible toka katikati ya uwanja hakuna mtu anamkimbiza kafika golin nataka kupiga message ikingia mtandao ukagoma nikakosa goli aseee nilitukana matusi yoteπ€£π€£π€£
Ndo maana nimesema ipo damuni kwako π me naona kama nilishazoea kucheza bila smart assistMkuu nimetoka kucheza bila smart assist mechi kadhaa kwa upande wangu sijaona utofauti mkubwa.
Umepita shop kule kwenye Gp products mpya walizoleta??Mbona nazitumia sema ni vile tu hakuna vitu vingi vya kununua.
Moja ya kitu nilichojifunza ukicheza bila smart assist ni lazima ujue kupiga pasi sahihi kwa wakati sahihi, namaanisha lazima ujue kwenye eneo gani inahitajika kugusa button ya pass na eneo gani inahijika kugusa button ya through.Ndo maana nimesema ipo damuni kwako π me naona kama nilishazoea kucheza bila smart assist
Eeh kaka me ni changamoto hicho adi leo...ππ..Moja ya kitu nilichojifunza ukicheza bila smart assist ni lazima ujue kupiga pasi sahihi kwa wakati sahihi, namaanisha lazima ujue kwenye eneo gani inahitajika kugusa button ya pass na eneo gani inahijika kugusa button ya through.
Nilipita nikanunua booster tu.Umepita shop kule kwenye Gp products mpya walizoleta??
Nimejaribu mara kadhaa na nitaendelea kufanya hivyo ili niachane na matumizi ya smart assist, ila hawa AI naona wako faster sana πEeh kaka me ni changamoto hicho adi leo...ππ..
Me position training nanunua mnoπππnataka saliba apate DM π€£π€£π€£Nilipita nikanunua booster tu.