eFootball Special Thread

Mkuu Mill broh heshima kwako...
Nimepigiwa simu game ya mwisho ndo maana umeona nimetoka nilifanya makosa sikuzima main card leoπŸ™

Leo umeninyoosha kama kawaida 🀣🀣🀣 hakuna cha haram Football leo
Razorblade nitafata ushauri wako tuwe tunamkimbia huyu tutamuachia NEGAN πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Ukipata time tena mkuu tutapasha tenaπŸ™
 
Mill broh tumepiga mechi 2 kanifunga zoteπŸ˜ƒ yupo vizuri kwa counter attack anashambulia kwa kasi.

Sema yupo serious na kazi huyo kila akitangulia kufunga goal 1 aliniwekea full blueπŸ˜ƒ hapa najifua tena turudiane.
 
Me yorke ananisumbua kila game ananiweka.

Na Vini nae speed pale mbele ananiacha mno

Anyway ngoja tujifue tuu
 
Hana baya huyo πŸ˜‚, nitamtafuta siku nikitulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…