eFootball Special Thread


Nikifanikiwa kuwapata Batistuta na Owen wote nawasimamisha mbele halafu Owen kwa baadhi ya sifa zake nitamfanya awe SS.

Ili kuweza kuwapata wote hao inabidi mmoja apatikane kwenye free spin.
 
Eeh kaka...


NEGAN nadhani una Neymar wa 102 huyo yule anayuzwa pack... Kwahiyo Marquinhos unaye vip unamzungumziaje kabla hajala kazi ya namba sita kwangu😃
Marquinhos sita anapiga vizuri lakini huyu hana one touch pass na low pass ya 79 atachoma sana pale kati mtumie kama CB tu
 
Hii event ya penalty ni changamoto sana aisee, nimeclear event zote bado hii tu.
👇

Kukikucha niimalizie ili niendelee na friend match pamoja na my league.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…