Embu ngoja tuoneUnachagua bhana.
Unachagua baada ya wiki 3 sasa hivi ni ku spin tuKumbe ya kuspine tena me nikajua kuchagua๐ด
Kumekucha.Tayali huko
Angekuwa Build up ningemfikiria.Kuna beki destroyer pale Van buyten ananipa kiwewe๐๐๐
Nimeona mkuuUnachagua baada ya wiki 3 sasa hivi ni ku spin tu
Ninaye ni mzit8 kama treni๐Kuna beki destroyer pale Van buyten ananipa kiwewe๐๐๐
Nimempata wa hovyo na tayari release imemuhusu ๐.Yes kazi imeanza๐ ๐
View attachment 3327650
Mimi na save nita spin zote wiki ya 3Yes kazi imeanza๐ ๐
View attachment 3327650
Nimeangalia naona upo unacheza English Clubs kikosi chako cha Premier league tu kikali๐๐๐Ninaye ni mzit8 kama treni๐
Kumbe ndo trick yako๐๐๐Mimi na save nita spin zote wiki ya 3
Hakuna trick unaweza ku save na ukaambulia patupu๐Kumbe ndo trick yako๐๐๐
Ukicheza mda mrefu utakipata๐Nimeangalia naona upo unacheza English Clubs kikosi chako cha Premier league tu kikali๐๐๐
Ya leo nimeipoteza ila huu ndiyo mpango wangu na mimi, ni kufanya wachanganyikiwe kwa spin nyingi siku 1.Mimi na save nita spin zote wiki ya 3.
Ngoja nijaribu hii nione ๐๐Hakuna trick unaweza ku save na ukaambulia patupu๐
Wachanganyikiwe sio๐๐Ya leo nimeipoteza ila huu ndiyo mpango wangu na mimi, ni kufanya wachanganyikiwe kwa spin nyingi siku 1.
Eeh ni kuwavuruga akili tu ๐Wachanganyikiwe sio๐๐
View attachment 3327697