Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,957
- 12,420
Selikavu unaitwa.Nani anacheza hivyo, aje
User name yako mtaalam tuku add kwenye list .....Nani anacheza hivyo, aje
Sawa mtaalam mda gani utakuwa online?πOwaa kumbe ni Id yakoπ€£π€£π€£π€£me hata sijui nilishasahau nikajua ni moja ya watu wangu wa Onlineπππ
Kaka naomba tuludi tenaπππgame ya kwanza ulichonifanya sijapenda π€£π€£π€£
Mzee wa italian Prince Tottiπ€£π€£Njoo nae nikushow
Acha tuu kakaπ€£π€£Hiyo inaitwa ulipo nipo π.
Huyo totti anachungwa mno nikisema weka iD tukamkamie hawekiπππWeka id hiyo tumpige Tottiπ
Hajawai weka huyo totti anachungwa kama kibwasalaπUser name yako mtaalam tuku add kwenye list .....
Hata muda huu maana saa nne leo Uefa kakaSawa mtaalam mda gani utakuwa online?π
Drone football π.ππAnataka akaone Aviatorπ€£
NI muchi tuMzee wa italian Prince Tottiπ€£π€£
List ya nn?mnielewehseUser name yako mtaalam tuku add kwenye list .....
ASKJ331709026Hajawai weka huyo totti anachungwa kama kibwasalaπ
Me natunza kwa ajili ya kocha wa Qc wa booster mbiliView attachment 3327166
Haya wale wakuchoma coins epic ya kesho hiyo.
Ningekuwa na coins ningechoma kwaajili ya Gullit na RaΓΊl.
Username yako ya kwenye game mkuuπList ya nn?mnielewehse
Mie sasahivi nataka nijaribu kuzitunza mpaka December π.Me natunza kwa ajili ya kocha wa Qc wa booster mbili
June tu hazifiki sembuse December πMie sasahivi nataka nijaribu kuzitunza mpaka December π.
Maombi yanahitajika sana π.
πππ Tuendelee kesho nasikia kuna epic inaaachiwa za bure ngoja tuoneMie sasahivi nataka nijaribu kuzitunza mpaka December π.
Maombi yanahitajika sana π.