eFootball Special Thread

Ila haram Football ni hatare naomba tu niishike vizuri..

Game ya kwanza nimejikuta naenda toe toe na huyu jamaa kanipiga tano😃nunge na bila shoot hata moja

Game ya pili nimeingia tena hvyo hivyo jamaa akanipiga nne kipind cha kwanza 😃😃😃nikasema imeisha hapa nizuie tuu
Nikaanza haram Football kilichotokea🙌jamaa hajaamini kabisa na kikosi chake cha 3150
Nilichogundua uwanjani kazi yangu ni kukaba tuu basi😃😃na kuongojea nafasi mpira mzuri nauacha😃😃
 
Idumu haram football idumu😃
 
Kaka huyu si ndio mimi mbona nimepigika kipigo kitakatifu hivyo😅🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…