Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,956
- 12,412
Ila kipa wako kazidi 😂.Hili la kipa unalaamika kila siku😃😃 through zako umeziona leo nimepiga ngap pale umeludisha mwenyewe kwa kipa😃😃sasa mimi kila siku napambana nazo kutoka kwako😃😃
Mie bado nahangaika kuvuka dvn 3 aisee.View attachment 3324682
Daah kwa tabu sana.maana kila ikibaki game moja ndo unafungwa😅View attachment 3324684
Ni wakati sasa nitafute hii badgeView attachment 3324682
Daah kwa tabu sana.maana kila ikibaki game moja ndo unafungwa😅View attachment 3324684
Sawaa kakaNipo mkuu nafasi ikipatikana tutagusa kama kawaida.
😃😃😃Na game zako nataka awe anacheza Ederson maana ana kicking power 90Ila kipa wako kazidi 😂.
Division 3 si ndo upo Division 2😃😃Mie bado nahangaika kufika dvn 3 aisee.
Typing error... Nilimaanisha kuvuka siyo kufika.Division 3 si ndo upo Division 2😃😃
Namna hiyo idumu haram football idumu. 😃Mikasa ya hapa na pale imenikuta asubuhi hii ila hatimae nimetoa gundu la dvn 3.
Konami wakaniletea hiki kiumbe kwenye mechi ya mwisho.
👇
View attachment 3324976
Nilikuwa sielewi naanzaje kupata ushindi ila kufika dakika ya 70+ kijana mdogo akapiga outside curl mpaka nikashituka maana mechi ya maamuzi halafu unapiga goli tamu la nje ya box.
👇
View attachment 3324977
Akafanya dakika 90 kukamilika kwa ushindi muhimu wa goli 0-1.
👇
View attachment 3324978
Ushindi uliofanya kufikisha alama zinazohitajika ili kufika dvn 2.
👇
View attachment 3324979
Na hatimae nikatangazwa kuwa ni miongoni mwa wanafamilia wa dvn 2.
👇
View attachment 3324981
Ila huyu jamaa amejua kuwanyoosha nahisi waliyekutana na mimi nikicheza harram football wanasimulia ubaya wake 😂.
👇
View attachment 3324982
Ahsante harram football 😂.
Jini katoka ila mganga kalazwa ICU 😂.
Mitano tena kwa harram football 😂.Namna hiyo idumu haram football idumu. 😃
Hongera kaka nitafute sasa badge ya division 1😃😃😃Mikasa ya hapa na pale imenikuta asubuhi hii ila hatimae nimetoa gundu la dvn 3.
Konami wakaniletea hiki kiumbe kwenye mechi ya mwisho.
👇
View attachment 3324976
Nilikuwa sielewi naanzaje kupata ushindi ila kufika dakika ya 70+ kijana mdogo akapiga outside curl mpaka nikashituka maana mechi ya maamuzi halafu unapiga goli tamu la nje ya box.
👇
View attachment 3324977
Akafanya dakika 90 kukamilika kwa ushindi muhimu wa goli 0-1.
👇
View attachment 3324978
Ushindi uliofanya kufikisha alama zinazohitajika ili kufika dvn 2.
👇
View attachment 3324979
Na hatimae nikatangazwa kuwa ni miongoni mwa wanafamilia wa dvn 2.
👇
View attachment 3324981
Ila huyu jamaa amejua kuwanyoosha nahisi waliyekutana na mimi nikicheza harram football wanasimulia ubaya wake 😂.
👇
View attachment 3324982
Ahsante harram football 😂.
Jini katoka ila mganga yuko ICU 😂.
Kaza vidole 😂.Hongera kaka nitafute sasa badge ya division 1😃😃😃
Smart assist ina cover maeneo gani au inasaidia nini ?
Hii week sidhan kama nitacheza hiiKaza vidole 😂.
Umempata??
Drogba anamsubiria huyu jamaa wapige kazi vizuri.
Ndiyo nimempata leo😃Umempata??