Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,157
- 10,399
Umejua kuzuia njia mkuu hukua na utani ukipokonya mpira cha kwanza ni clear halafu match up ukilitazama goli tu ni shoot.Amenionea sana huyu jamaa๐๐๐leo nikasema hatoki
LBC imenichoma sana leo, mechi nilizotumia LBC zote nimefungwa.Okay kauli mbiu ni matokeo bila picha ni Uzushi๐๐
Siku ya jana nilianza na Mr Devil
Tokeo ni kama hili hapaView attachment 3324421
Leo nikacheza na Master of Haram Football... NEGAN
Usipocheza Haram Football hapa hutoboi๐๐maana hata magoli yenyewe nimefunga ya papatu papatu
View attachment 3324423
Baadae nikaja kwenye mtani wangu wa siku zote wewe hapo
Kijana wa Gasperini mwenyewe
Nilisema mchezo wangu na wako smart assist ndo inanifanya kila siku nastruggle leo nikawasha and nilikuwa nangojea moment hii๐๐๐
Hii match imekuuma mno๐๐๐ila ndo hvyo kaka pole
View attachment 3324428
Nyingine hizi hapa
View attachment 3324429View attachment 3324430View attachment 3324431
View attachment 3324427
Ila ukwel game zako leo tumesumbuana hata kama nimeshinda nimehangaika sana na Drogba wako
Eniwei sijalipa kisasi bado unaongoza ulishanipiga sita hicho siwezi kulipa๐๐ฅ
Nilud sasa kucheza kawaida niachane na smart assist
๐ ๐ umeni wakilisha vyemaHili la kutoka bila shoot nimekulipia๐คฃ๐คฃ๐
Niliona hicho kitu๐sema nimekosa sana 1v1Kuna muda nilikuwa nikitoa boko tu basi sikabi tena nahisi ulikuwa hujaotea maana ingekuwa faida sana kwako ๐.
๐asee mwamba ana teleza tu kila napo peleka pass yupo .afu niki angalia kikosi chake na anavyo cheza nikawa sielewiMr Devil umepigwa hamsa mkuu๐
Nili badili nikarudi 4-3-3 kidogo match ikatulia ,nimejaribu kutumia iyo smart assist leo ila sija ielewa inavyo fanya kazi4-3-1-2 ina kaudhaifu kwenye kufanya transition na ndo Allianza nayo ๐
Haraam football ilikuwa to the climax leo...Umejua kuzuia njia mkuu hukua na utani ukipokonya mpira cha kwanza ni clear halafu match up ukilitazama goli tu ni shoot.
Ila back pass zako kwa kipa zinakera sana ๐.
Asante kaka๐LBC imenichoma sana leo, mechi nilizotumia LBC zote nimefungwa.
Mechi niliyotumia QC na kufungwa ni hiyo ya 3-1.
Hii LBC inabidi niifanyie kazi ya ziada.
Pia hujanifunga kwa sababu ya smart assist, huo ni uwezo wako mkuu.
Hongera kwa ushindi.
๐๐๐Unacheza na striker mmoja lazima uone haina manufaa.. ila ukiwa na striker wawili ukipiga through huku nyuma ni pasi mbili tu goli๐๐asee mwamba ana teleza tu kila napo peleka pass yupo .afu niki angalia kikosi chake na anavyo cheza nikawa sielewi
Nili badili nikarudi 4-3-3 kidogo match ikatulia ,nimejaribu kutumia iyo smart assist leo ila sija ielewa inavyo fanya kazi
Umenizuia sana leo kupiga nikiwa ndani ya box ndiyomaana hata shots kwangu zimekuwa chache, umenisoma vyema kwamba nikiingia ndani ya box ndo huwa napiga ๐.Niliona hicho kitu๐sema nimekosa sana 1v1
Umenizibia njia mpaka nilikuwa nasema huku nacheka โhuyu jamaa leo kanikamiaโHaraam football ilikuwa to the climax leo...
Nilikuwa naenjoy kukaba leo ๐๐
Kaa na mpira nakuongojea uje nikikaba tu counter ๐๐
Kuna namna nataka nifanye hapa ili niendelee kuwa online tuwe tunagusa, huo mpira uliocheza leo huwa nahangaika sana kupata matokeo nikikutana na mpira wa hivyo.Asante kaka๐
Mchezo wangu unaujua tumecheza mechi nyingi sana...
Leo nimecheza na wewe comfortable kabisa sababu ya smart assist
Sema unaenda offline tuu next games ningecheza nikiwa nimezima uone...
Nasema kila siku weakness ni kwenye direction ya pasi na upokeaji wa mipira na kukadilia pass weakness ambazo smart assist kwangu inazitibu๐๐๐
Smart assist ina cover maeneo gani au inasaidia nini ?๐๐๐Unacheza na striker mmoja lazima uone haina manufaa.. ila ukiwa na striker wawili ukipiga through huku nyuma ni pasi mbili tu goli๐
Mchezaji anayeongoza kwa kupiga pasi kwenye timu yako ni kipa ๐.๐๐๐Unacheza na striker mmoja lazima uone haina manufaa.. ila ukiwa na striker wawili ukipiga through huku nyuma ni pasi mbili tu goli๐
Asante sana๐๐ leo nilikupania umenionea mno๐Umenizuia sana leo kupiga nikiwa ndani ya box ndiyomaana hata shots kwangu zimekuwa chache, umenisoma vyema kwamba nikiingia ndani ya box ndo huwa napiga ๐.
Hongera kwa mara nyingine ๐.
Hiyo ndo haram Football๐๐Umenizibia njia mpaka nilikuwa nasema huku nacheka โhuyu jamaa leo kanikamiaโ
๐๐๐
Fanya mapango kaka....Kuna namna nataka nifanye hapa ili niendelee kuwa online tuwe tunagusa, huo mpira uliocheza leo huwa nahangaika sana kupata matokeo nikikutana na mpira wa hivyo.
Direction ya pasi, uzito wa pass na shoot pia na kuclear mipira inayozagaa kwenye 18 ukiwa umekabwa au adui yupo karibuSmart assist ina cover maeneo gani au inasaidia nini ?
Hili la kipa unalaamika kila siku๐๐ through zako umeziona leo nimepiga ngap pale umeludisha mwenyewe kwa kipa๐๐sasa mimi kila siku napambana nazo kutoka kwako๐๐Mchezaji anayeongoza kwa kupiga pasi kwenye timu yako ni kipa ๐.
Nipo mkuu nafasi ikipatikana tutagusa kama kawaida.