Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,882
- 12,253
Upo tuguse?Nitafute kwa muda wako😃😃😃otherwise utafungwa mpaka uhame uwanja🤣🤣🤣🤣(Jokes)
Natania bhana me mwenyewe nashindaga bahati nasibu tuu game nzima kazi yangu ni kukaba
Twende kakaUpo tuguse?
Hamna kuna namna unacheza na mimi ninavyokaba vinakinzana tactic yangu haitanyi kazi kwako.Kuna siku Razorblade kanipiga sita sijui 😃😃nashangaaa tu akienda golini kwangu goli ..
Afu nakuja humu nashangaa wewe unamfunga anaapa kulipa kisasi🤣🤣🤣sasa najiuliza mechi zangu na wewe huwa unanilegezea kwa sababu ya ugen au la🤣🤣
Poa mkuu, inabidi nicheze friends mchana huu baada ya hapa simu yenye game sitokuwa nayo kwa muda.Sichezi na wewe nalinda rekodi yangu (jokes)
Simu ina 2% subiri nusu saa tupige 2
Saa 8 kamilli tuchezePoa mkuu, inabidi nicheze friends mchana huu baada ya hapa simu yenye game sitokuwa nayo kwa muda.
Haupo online mkuu.Twende kaka
Poa.Saa 8 kamilli tucheze
Kanipiga mechi zote 2😃Matokeo mnayaacha hukohuko room au mbona hamtuletei 😂.
Matokeo bila picha ni uzushi 😂.Kanipiga mechi zote 2😃
Sio kwa unafki huo😃🙌Matokeo bila picha ni uzushi 😂.
Mnatuletea story tu sasa tutaamini vipi 😂.Sio kwa unafki huo😃🙌
Amekupiga? 😃Siku mbaya kazini, leo nimezidiwa 😂.
We acha tu mkuu 😂, anaziba njia mkuu sijui kajifunzia wapi, anapiga mashuti balaa 😂.Amekupiga? 😃
Kajifunza match up 😃We acha tu mkuu 😂, anaziba njia mkuu sijui kajifunzia wapi, anapiga mashuti balaa 😂.
Ataleta tu matokeo hapa huyu mpinzani wangu furaha yake ni kunifunga na leo kafanikiwa, sijui analala anacheza game huyu 😂.
Haupo online?Kajifunza match up 😃
Na haya mashuti sasa 😂.Kajifunza match up 😃
Namalizana na SelikavuHaupo online?