Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,103
- 128,718
Wanabodi
Leo ni siku ya Jumapili,najitahidi siku za Jumapili,niwe naleta mada za holistic approach
Huu ni uzi wa swali tuu, nimeona jinsi washabiki wa NRNE walivyo chachamaa kwenye mitandao ya kijamii,utadhani wametiwa ndimu!,mtu yoyote ukiposti chochote,wanakuja na NRNE sio tuu za kutosha,bali za kukera!
Ninachoweza kufanya kwa sasa, ni kuwaombea tuu kwa Mungu,awasamehe ”Ee Mungu Baba,Wasamehe!,Kwa Maana Hawajui Watendalo!”
Japo kwa sasa wako moto sana,utadhani wametiwa ndimu, lakini baada ya uchaguzi,kama ni kweli Chadema haitashiriki uchaguzi huu,itakuwa ni imejiua kabisa,kwisha habari yake!。
Can you imagine Chadema 2025 -2030 watakuwa wanafanya nini?!。 Sio wataishia kulia sana na kusaga meno kwa miaka 5 bila diwani,bila mbunge na bila ruzuku?Will they survive na hii tone tone yao?
Hapa ni mimi nauliza tuu!,na hata Lissu mwenyewe,nilimuuliza
View: https://youtube.com/shorts/iv7asnge8Qo?si=7i5EQ2XA_8QxfR7d
Time will tell!
Jumapili Njema!
Paskali。
Rejea za Mwandishi kuhusu NRNE

- Ushauri wa Bure Chadema: Moja shika sii Kumi nenda rudi! Hoja ya Reforms japo ni hoja ya msingi sana kufanya maandalizi ya Uchaguzi ni busara muhimu!
- Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia Uchaguzi
- Pre GE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!
- Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA
- The Voices From Within: Tundu Lissu ni Mpango wa Mungu, NRNE ni Mpango wa Shetani, ni li Pepo! Limemkumba Lissu!, Akiachana Nalo, Anatinga Ikulu 2025!
- Kama gaidi alisamehewa licha ya kukutwa na Prima Facie, mhaini pia anaweza kusamehewa. Tumuombee msamaha wa 'Kusameheana Kupo' au akomae nao mpaka?
- Pre GE2025 - Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?
- Pre GE2025 - DSM - Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati
- Maswali ambayo Pascal Mayalla amemuuliza Tundu Lissu, nimeona ni muda sahihi Pascal ku-step down.!
- Pre GE2025 - Lissu na kauli mbiu ya “No Reforms, No Election” ni mipango ya Mungu au ya Shetani kutusambaratisha?
- Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
- Pre GE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
- Pre GE2025 - Je, Wajua bila minimum Reforms za Katiba, Uchaguzi Mkuu wote utakuwa ni batili?Sababu,INEC,Katiba ya ZnZ na Sheria Mpya ya Uchaguzi Zote ni Batili
- Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa Tanzania,2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa Uongo?