Edward Ngoyai Lowassa anaendesha siasa za vitisho na visasi Monduli

thereitis

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
297
41
Nilibahatika kufika Monduli wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Engutoto. Niligundua mambo kadha wa kadha wa kadha ambayo yanafanywa na EL kwa kushirikiana na wapambe wake kama ifuatavyo:
  1. Kwamba EL hupokea taarifa za umbea kuhusu watu wanaodaiwa kutokumuunga mkono kkt harakati zake za siasa kutoka kwa wapambe wake
  2. EL akishapokea taarifa hizo huwashughulikia watuhumiwa(wasiomuunga mkono) kwa namna mbaimbali kama vile:
    1. Kuwaamuru wenye nyumba kuwafukuza mahasimu wake kutoka ktk nyumba zao walikopanga
    2. kama mtuhumiwa ni mfanyakazi wa serikali huhamishiwa kituo kingine ambako ni porini au hata kubambikizwa kesi ya uwongo
Mambo haya anayoyafanya EL ni kinyume cha haki za kidemokrasia. Mtu huyu ni hatari sana hafai kuwa rais wa nchi hii, atadidimiza demokrasia

Source vijiweni Monduli.
 

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,899
3,390
Ana mali nyingi lakini bado anatamani kuwa rais wa nchi yetu
amekalia maombi ya mnigeria,ataona yote,nimempania kinoma
 

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
Ana mali nyingi lakini bado anatamani kuwa rais wa nchi yetu
amekalia maombi ya mnigeria,ataona yote,nimempania kinoma

Taratibu mkuu, mbona jamaa hana kitu ktk hizo mishemishe zake za Urais
 

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,925
1,827
Toto lake limegonga trafiki , hebu muulizeni je, akiwa rais tutapona kweli? Sio rais anagonga watu makusudi, je akiupata uraisi si watasema tuwatawadhe wakinya?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom