Edward Lowassa: Wako waliosema nitakufa lakini mpangaji wa yote ni Mungu

Status
Not open for further replies.
Ndiyo yameniingia kwa sababu nategemea zaidi kutoka kwa Kiongozi wa Kisiasa zaidi ya kupiga ramli hapa, kwani kuna tofauti gani fisadi Lowasa asipokufa leo? Si ni swala la muda tu kabla na yeye au Binadamu mwingine yoyote yule hajafa, sasa kwa nini hata anaongelea jambo la kijinga namna hiyo?

Tunataka kusikia chadema kama Chama cha Siasa wana ajenda gani kwenda mbele na siyo kuongelea vifo.
Na Lowassa hapaswi kuyaongelea hayo. Mtu huwezi kuzungumza mbele za watu kwamba "Mimi sijawahi kulazwa" Mungu atakusikia. Nadhani nimeeleka tens sana sana
 
Amen, rais wa kweli wa Tanzania. Nasema kwa kunong'ona ili mitume wa malaika mkuu wasinisikie.
 
"Bila Ujasiri na Umoja wa Dhati hawa jamaa lazma wataendelea kutupiku lakini niwashukuru vile vile kwa kukubali kubeba lawama juu yangu wako waliosema huyu ni mgonjwa na atakufa bado mlinipigia kura nyingi ila Mungu ndiye hupanga yote"

Edward Lowassa - Mbinga
huyu mzee si alisema baada ya uchaguzi atakwenda kwao kuchunga ng'ombe???mjini bado anatafuta nini?
 
ni wenye akili timamu tu ndio watakuelewa mzee..lakini wenye akili zilizo jaa njaa kamwe hawatakuelewa!
 
"Bila Ujasiri na Umoja wa Dhati hawa jamaa lazma wataendelea kutupiku lakini niwashukuru vile vile kwa kukubali kubeba lawama juu yangu wako waliosema huyu ni mgonjwa na atakufa bado mlinipigia kura nyingi ila Mungu ndiye hupanga yote"
View attachment 439791
Edward Lowassa - Mbinga
Mungu akulinde mzee wetu, hakika wewe ni tunu na mwangaza wa mafanikio katika maisha yetu, tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom