Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,574
Mko wenye team yenu? Team lowasa!
Hamjambo hamjambo huku team
Wewe unataka rasmi ipi tena, babu yako hana chake, kama ulioewa kibarua ujue tayari kimeshaota nyasi kazi basi, rudi nyumbani tu ukale malimao na akina GwajimaJaman hayo yanatoka wapi? kwani majina yamewekwa wazi? Nchimbi alisema kuwa leo saa4 asubuh. wacha tuone rasmi
Akachunge Ng'ombe huko......hana sifa za kuingia Ikulu!