Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Kwa habari zi sizo rasimi M/kiti ameonekana mkingia kifua Edward Lowassa wale waliokuwa wakisema kwa dhiaka juu ya EL nasikia wameufyata!hili hali M/kiti akiwa mbogo kwa kila mtu!
Waliotegemea kumchekea waishia kununa!
kwa hiyo mafisadi kukingiana vifua ndo wamekutuma utuambie au.
 
kwa hiyo mafisadi kukingiana vifua ndo wamekutuma utuambie au.

Huwezi hukumu mtu kwa ushahidi wa jf mkuu, mie leo mkinipa ushahidi wa ufisadi wa Lowassa naacha kumuunga mkono, kila siku tunaomba ushahidi hapa mnaishia kutukana tu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Urais ni taasisi kubwa sana ambayo inahitaji zaidi mtu mwenye upeo na maono ya kuibeba, na CCM inahitaji mwenyekiti shupavu ili kuendelea kuing'arisha Chama, LOWASSA ndiyee pekee
 
haa haa kwenye ccm ya sasa lolote linawezekana. jk kumkingia kifua lowasa sio jambo la kushangaza kamwe. ni mwanamtandao mwwenziwe.
 
Mtu kuwa na ushahidi ndio uthibitisho tosha katika kumuweka mtu hatiani sa hamna uthibitisho tufanye nini?
 
Mh JK ni mpenda haki na anajua Lowassa ana uwezo mkubwa ktk uongoz so hawez kufanya ujinga wa kumkata Lowassa
 
CCM ni wahuni sana, wanajua kuna uhuni utafanyika kwenye Vikao vya chama ndo mana wakaona Rais ahutubie Bunge kabisa kwa kuwa kuna uwezekano hali itachafuka hivyo Wabunge wengi kumsusia kwa hasira ya Mgombea wao kutotendewa haki kwenye CC
 
Back
Top Bottom