nani ka kwambia..fisadi huyo tutamchapa asb tu......eti anadai ushaidi si akamdai mwakyembe na mbunge.Haha, ukawa wanasali asipite akipita ukawa hawana chao. Watz ni noma wanasahau mapema kila kona lowasa kila sehemu ni lowasa tu
Lowassa ni fisadi ama kwa kuchukua au kutokujua akiwa ktk ofisi ya umma alibariki ufisadi wa richmond...asituombe sisi rais ushaidi bali amwombe mwakyembe na awaombe bungeKatika pitapita yangu mitaa ya mjini jana wakat msanii anasindikizwa uwanja wa ndege kuelekea dodoma yupo jamaa ni mfanyabiashara wa madini alituelezea kuwa jina la LOWASA limeshakatwa na wameamua kumpa AUGUSTINE RAMADHANI.
Haikuniingia akilini kama ccm na utashi wao wakamuacha mtu anayependwa na wananchi, nikawaza neno moja tu kumuomba Mungu afanye muujiza wake pale kikwete atakaposimama na kutaka kutangaza ataje jina la LOWASA kama atatamka vinginevyo namuomba sana LOWASA ajiunge na chama chochote wananchi tumpe nchi.
Nayasema haya kwa sababu ukiangalia sehemu zote ccm ilipopigwa,iwe kwa mwenyekiti wa mtaa, diwani au mbunge ni pale walipomkataa anayetakiwa na wananchi na kumuingiza asiyetakiwa, na katka hili wakikata jina la LOWASA, LOWASA aingie chama chochote achukue nchi.
pole sana hatuchangu mwizi mwaka huu,kama vipi chukueni chama chochote tuone,
Aliekudanganya watu wanampenda Lowasa ni nani. Watu wanafuata hela yake na wengine wanaenda kumshangaa - get out of boxKatika pitapita yangu mitaa ya mjini jana wakat msanii anasindikizwa uwanja wa ndege kuelekea dodoma yupo jamaa ni mfanyabiashara wa madini alituelezea kuwa jina la LOWASA limeshakatwa na wameamua kumpa AUGUSTINE RAMADHANI.
Haikuniingia akilini kama ccm na utashi wao wakamuacha mtu anayependwa na wananchi, nikawaza neno moja tu kumuomba Mungu afanye muujiza wake pale kikwete atakaposimama na kutaka kutangaza ataje jina la LOWASA kama atatamka vinginevyo namuomba sana LOWASA ajiunge na chama chochote wananchi tumpe nchi.
Nayasema haya kwa sababu ukiangalia sehemu zote ccm ilipopigwa,iwe kwa mwenyekiti wa mtaa, diwani au mbunge ni pale walipomkataa anayetakiwa na wananchi na kumuingiza asiyetakiwa, na katka hili wakikata jina la LOWASA, LOWASA aingie chama chochote achukue nchi.
Aliekudanganya watu wanampenda Lowasa ni nani. Watu wanafuata hela yake na wengine wanaenda kumshangaa - get out of box
Huo wizi kakuibia mkeo? Ebu tuambie lowasa kaiba nini na lini.
Nchi haiwezi kuatwaliwa na raisi fisadi kabisa na ikabaki salama..... itakuwa laana! aende akachunge ng'ombe kwenye ranch za taifa alizoziiba!!
Huo wizi kakuibia mkeo? Ebu tuambie lowasa kaiba nini na lini.
Namshauri lowasa akate rufaa haraka sana. Kwani walishamkata tangu jana. Na wameondoka na jina la augustino ramadhan kuwa ndio rais. Na hiyo hivyo vikao ni danganya toto tu kwan mgombea wanae. Lowasa lijue hilo mapema. Lakin sisi tunamtaka lowasa kama wao wana mtu wao basi wabaki na chama chao na mtu wao na sisi na mtu wetu lowasa tutajua la kufanya.