Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Kupitia kipindi cha Kituo cha Azamtv ndani ya kipindi cha #Funguka .
Dk Hamisi Kigwangallah alikuwa Akihojiwa na Tido Mhando.

Ndani ya mahojiano hayo, Tido alihitaji kujua kutoka kwa Dk Kigwangallah ni kwanini anagombea nafasi hiyo akiwa kijana asiye na uzoefu wa kutosha serikali wa miaka 5 tu Bungeni..?

Dk Hamisi Kigwangallah alieleza kwamba kuna mifano mingi ambayo inaakisi uamuzi wake wa kuwania urais akiwa na uzoefu mdogo huo.

Alieleza kwamba hata Mwl J.K Nyerere alianza kutumikia nafasi hiyo akiwa hata bado haja timiza miaka 40.
Akasema pia hata Uingereza imekuwa na taratibu ya kuwa na viongozi vijana yeye.

Akaongeza kwa kusema kwamba haoni tija ya kusita kuwania nafasi hiyo kwa kuwa haoni mgombea mwenye sifa....... akaeleza kwamba anashangazwa wagombea wenye [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Madoa]#Madoa [/URL] ya #ufisadi na walipata kujiuzulu kutoka katika nafasi zao lakini bado wanahitaji nyadhifa za juu zaidi.

Ndani ya Chama chetu, kuna watu wanaogopa kunyoosheana vidole pale ambapo kada anaenda kombo....!
Kuna watangaza nia ambao wanaMadoa ya ufisadi na bado wanatumia walichokivuna kujaribu kununua imani kwa watanzania wenye njaa.

Akasema " nina hakika kwamba chama hakita fanya kosa na kitetenda haki. Naamini kama hata kama chama hakitonipa ridhaa basi nitakiwa tayari kumuunga mkono atakaye chaguliwa, lakini asiwe yule ambaye mwenye [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Madoa]#Madoa [/URL] ya ufisadi na ubadhilifu wa mali za umma."
 
kigwangara hamung'unyi maneno. ..yuko very objectives
 
Tumeshajionea wana Team lowassa wakiwa na frustration katika kipindi cha masaa 48 yaliyopita lakini hakuna aliyekiri kukwama.

Tumeshihudia tabia chafu ya Team lowasa kumdhihaki mwenyekiti..eti EL alimsaidia JK kuingia madarakani na kwamba bila yeye JK angeshindwa!

Yaani EL aliamua na amedhamiria kumblackmail mwenyekiti wa ccm na rais wa JMT.

wafuasi wa EL wameonesha jeuri ya fedha na ubabe dhidi ya mwenyekiti wa ccm na rais wa JMT.

PENGINE EL hausiki bali tatizo ni team aliyoichagua kuitumia #Teamkibonde


Hili ni kosa kubwa lilofanywa na Team El ambalo watalijutia.

El amejitahidi kulirekebisha bila mafanikio na sasa tunaona revelation za wafuasi wake.

Teamlowassa wametumia fedha,hadaa na ubabe iki tu kujionesha kuwa wao ni zaidi ya chama na system na wananchi...huu ni upuuzi !

Kwa taarifa yenu ninyi Teammapesa ni wachache na sisi ni wengi.
Na mkimzidi mwenyekiti wako watu wa kumlinda kwa njia yoyote ile.

EL alikuwa mtulivu kama yeye lakini wapambe wake wamejikweza na malipo wanayoyapata ndio haya sasa....to BOW DOWN WHEN IT IS TOO LATE

RAIS mwinyi alijituliza akapewa nchi lakini ninyi Team mapesa mnajidai wajuaji sasa msubirini #ngariba awaketete.
 
Once mtu akizungumzia Mgombea Mwizi Fisadi Mla na Mtoa Rushwa hata kama hujataja jina kila mtu huwa anajua tunamzungumzia nani wapo wataomtetea na kumshambulia ila sote huwa tunajua anazungumziwa nani? Haya ni mafanikio kwa kiasi fulani
 
HKigwangalla atulie tu nyumbani asimamie bus zake eicher ,manake nimeskia mwaka huu hata bungeni harudi yeye ni mmoja kati ya wabunge vilaza wamezaliwa kwa maslah ya ccm na wala sio ya watanzania. ndiyoooooooo ndio neno lake jepesi kulitamka
 
Last edited by a moderator:
Hajamtaja kwa jina lakini swali lilipoulizwa Tu Na tido kuwa Kuna wagombea wanatumia fedha kusaka uongozi nikajuwa moja kwa moja hapa.mtangazaji amemlenga jambazi Lowasa.
 
Kigwangala chuki binafsi halafu mi nashangaa watia nia 41 wote wanapambana lowassa wanaacha kutueleza watafanya nn wakishinda yeye mwenyewe ana madoa kila mahali...hayaoni
 
Hamis kaiba jina la mtu, alifeli na akachukua jina la mtu ili aende kusoma nalo.. ni mwizi, tapeli, Team Membe thru Wama...!!! Mmanina..!!

mnateseka na kuparamia kila anayeeleza kila anachokiamini nani aliwatuma kuchagua timu wezi?
 
DemiGod

Anapoongelea uchafu wa wenzake je yeye ni msafi wa kuweza kuaminika? Je analipa kodi ipasavyo kwenye makampuni yake? Kama hanyonyi jasho la wanyonge atueleze mara ya mwisho kuwalipa mishara wafanyakazi wake ilikua lini na anawalipa kiasi gani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom