Edward Lowassa special thread

Ukawa mbele kwa mbele nyuma mwiko mbele daima ukawa ndiyo nyumbani
 
Hatima ya sisiemu ipo mikononi mwa Lowassa kubali usikubali
 
asante kwa taarifa yako kaka hemedi,
 
Lowassa mwana wa Mungu, soon ataingia Ikulu...!!! Nani atamzuia...!? mtajeni hapa...!!!
 
Vijana mbalimbali mkoani kigoma,wameapa kuwapa UKAWA ushindi katika uchaguzi mkuu ujao iwapo CCM kwa makusudi itaamua kuondoa jina la lowasa bila sababu za msingi.

CCM ujumbe ndio huo,sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU,kazi kwenu.

Wabaki huko huko watawambukiza Magamba yaliyoshindikana.
Ila wasitumie jina la UKAWA vibaya waweke wazi kuwa watakuwa wanachama wa ACT-Masilahi.Na kule milango iko wazi siku nyingi.
Zitto anachotaka kwa kuanzia ni kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu- hiyo ndiyo ndoto yake kwa sasa baada ya Katiba kuwa kikwazo kuwa mgombea Uraisi.

 
Mtaji( idadi ya wapiga kura)wa sisiemu kwa kiwango kikubwa imeongezwa na Lowassa, sidhani kama jitihada zake za ushawishi zitakuwa puuzwa. Na yeye binafsi sidhani kama atakuwa tayari
 
Akipitishwa tu Lowasa najinyonga pale MTO makiri. Lemudava.
sasa wewe naona unakua nape wa pili aliyesema kikwete akishinda nahama nchi,watanzana kwa midomo hatujambo ila action zerooo........ukijinyonga uache na wosia kua ni sababu ya lowasa kupitishwa tuache midomo mbelembele kama chiriku...
 
Wote mlioenda kinyume na mtoa mada mnawazia matako....kama mna hoja mkosoeni kwa kuchambua alichokiongea kimoja baada ya kingne na mthibitishe uongo wa mtoa mada.
 

Unaamaanisha nini sasa? kwani Sitta aliyevuruga katiba yetu si alianza kazi enzi za Mwl? Kingunge anayejivua nguo leo hakuwa karibu na Mwl? acha kujibana, hawa tunawahukumu kwasababu ya makosa yao ya leo na si kwasababu ya eti ama waliwahi ama hawakuwahi kuwa chini ya Mwalimu.
 

....which is why this is a very good and exciting piece of news to UKAWA.

Lowasa hawezi kuondoka CCM - yet - lakini hatabaki ili kuiimarisha CCM bali ku-embark on a vendetta dhidi ya mahasimu wake ndani ya chama.

"kama noma na iwe noma, tukose wote" this is what Lowasa will be saying to himself and his gang as all of them will be having nothing to lose.

what a sweet windfall for UKAWA as a result!
 
chaguo la wapuuzi walioshindwa kutumikisha vichwa vyao kwa umakini...."think and decide with the help of Tumbo"TYPE
 
Na wiki hii lazima mzimie mana taarifa zinasema mpaka muda huu kazi imeshafanyika
 
Lowassa akipitishwa....CCM hawana haja ya kufanya kampeni...!!!! Rais tayari mapema... very easy... Ni kuchukua kura tu, na kuenda Ikulu kutumikia wananchi....

CCM itashinda saa 2 asubuhi ikimweka Lowassa... Shauri yao waende kinyume na hapo... CCM itakuwa KANU...!!!
 
Lowassa ndio kama Yesu kwa sasa...

Mtakoma mkomae...mamaaeee...!!!

Rais ajaye ni Lowassa tu...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…