Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

#watu ... ur out of this world...mentally, psychologically, and in all terms of thinking...!!!

Wananchi kwa wengi wao ndio wanachagua RAIS wa NCHI YAO...!!!

Rais wa sasa, hana haki au madaraka ya kuchagua au kuteua RAIS AJAYE...!!! haiko hivyooo...!!!

Rais JK, yeye anashauri tu, jinsi anavyoona kwa hisia zake kwa sasa, sio za 2005 au 2010...!!! UNAJUA JK aliingiaje madarakani 2005/2010 akitumia upepo au nn..?? UNAJUA VIZURI AU UNAONGEA TU...!!! Use ur head, stop being used by others..!!!

Sawa mkuu tumekubali jamaa yenu ndo rais ..umefurahi sasa?
 
SAFARI ya matumaini kuelekea ikulu imewadia. Tulianza pamoja kwa umoja na tutamaliza pamoja kwa umoja. Tumaini letu ni kwa mgombea mwenye maamuzi.
 
Edward Lowasa ni fisadi na wanaomuunga mkono kwenye mbio hizi za uraisi inadhihirisha hivyo. Nyuma yake wako Chenge, Karamagi, Rostam Azizi wote majizi yaliyokubuhu na waujumu uchumi wakuu. Sasa akipata urais hawa marafiki zake watanufaika vipi? Jiulizeni. Kingunge naye anatafuta mtu wa kumlindia kijana wake anayefanya biashara ya kuuza unga huko South Afrik kutokea tanzania, na ubadhirifu wake pale stendi ya mkoa Ubungo. Hatutaki fisadi atawale nchi, mnaomuunga mkono fikirieni mara kumikumi.
 
Hamna sehem ambayo anakubalika miaka ya nyuma alitumia ela kuwapa watu ili mkwe wake awe mbunge amshinde Nassari Arusha watu wamekula ela na ubunge wakamtosa na hv kwny urais watakula ela na jina wanakata wanao muunga mkono watahamia kwa mgombea mwngne
 
Nakumbuka hata wakati wa Jakaya anatia NIA ya kugombea URAISI alitukanwa na aliitwa kila aina ya majina ya kashfa lkn Mungu alimwangazia na kamaliza kipindi chake. "Kelele za CHURA............"
 
Nguvu aliyonayo ENL inaelekea kuizidi ujanja CCM. Hakuna anayethubutu sasa kati ya wote kuikatisha safari yake. Hofu ya kukivunja chama na wasiwasi wa kuifuta CCM kama chama tawala nayo imetanda endapo ENL hatapitishwa kwa kile ambacho amekuwa akikitafuta zaidi ya miaka 20 sasa. Njia ambayo CCM wameona waitumie, ni kumuomba ENL akubali ombi la chama, ombi la kukubali kuwa mgombea mwenza wa urais ili endapo CCM itashinda uchaguzi basi awe Makamu wa Rais. Wasiwasi uliobaki miongoni mwao na hao ambao wametumwa wakamshawishi ENL ni je, atakubali kuachia kugombea nafasi ya juu ili agombee kama mwenza? Tusubiri kipenga, ila mwaka huu nguvu ya ENL yaweza kukijenga au kukiboa chama chake endapo tu hatapitishwa kwa nafasi anayoitaka na kwenda kule ambako makao yake yameandaliwa kwa nafasi hiyohiyo ya urais. Yeye mwenyewe amenukuliwa, tena mara kadhaa akimnukuu Baba wa Taifa, kwamba "Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM". Nawahurumia Nape Nnauye na Makonda.
 
I can't imagine such a crook being vice president.Oh,God, tuepushie janga hili.

Mgombea yeyote atayekubali awekewe Mamvi kama mgombea mwenza ajue kajipunguzia siku zake za kuishi kwa ujinga wake mwenyewe. Make mamvi alivo nauchu wa urais yupo tayari kumuua rais ili nafasi iwe yake make katiba inaruhusu, rais akifa makamu ndo anakuwa prezidaa.
 
Yani wanatanzania wamefikia ujinga huu!!! Eti lowasa mwizi Leo ndiyo wanamshadadia!!!
 
Huyu mzee inawezekana ana matatizo ya kisaikolojia. sio bure, kisa cha kupoteza muda na kuwapa watu kazi zisizo na sababu ni nini?

Hivi kuna mtu anayeambiwa akalete vitu 30 halafu analeta vitu elf ishirini naa?

Yani hivi vituko na ulimbukeni vinaonesha hana jipya na nia yake ni kuwa raisi basi.

Hujui hata unachokisema...wanatakiwa 30 ndio ila hawakuambiwa wapate 30 tu kwa kila mkoa....na sio yeye aliyepata zaidi ya 30 kuna watia nia wengine pia walipata zaidi ya 30 acha kuweweseka mtoto mdogo ktk uelewa ingaweje unaweza kuwa mtu mzima...n kama unafuatilia mambo ilisemekana atapeleka idadi ile tu ya wanaohitajika na hao wa ziada anaweza kuweka ktk maktaba yake ya nyumbani kwake kama kumbukumbu...kapime uelewa wako wa mambo kisha urudi..
 
Humu kwenye hii thread watu wanapeana moyo kinyama aisee.
 
Hujui hata unachokisema...wanatakiwa 30 ndio ila hawakuambiwa wapate 30 tu kwa kila mkoa....na sio yeye aliyepata zaidi ya 30 kuna watia nia wengine pia walipata zaidi ya 30 acha kuweweseka mtoto mdogo ktk uelewa ingaweje unaweza kuwa mtu mzima...n kama unafuatilia mambo ilisemekana atapeleka idadi ile tu ya wanaohitajika na hao wa ziada anaweza kuweka ktk maktaba yake ya nyumbani kwake kama kumbukumbu...kapime uelewa wako wa mambo kisha urudi..

Kwa hiyo umekiri kuwa fisadi unayemshangilia, amepoteza muda kuzunguka miko 31 kufanya kitu asichotakiwa kufanya, just to service his ego,right?!

He must be in good company, kama mashabiki wake ndio sampuli yako.
 
Hujaelewa bado...na siwezi kuendelea Kukuelewesha mfuate housegirl wako nadhani anaweza kukusaidia....nitapoteza waasaa tu hapa..sijui kama unaelewa maana ya kukiri...sidhani....
 
Hoja yenu dhaifu wananchi wameichoka hakuna atakaye kuelewa sikuhizi ukisema LOWASSA ni fisadi. Pia tumeanzisha uzi huu tutiane moyo, tuufaamishe UMMA wa JF na watanzania kwa ujumla kwamba E.L ni nani hasa cha kushangaza unaingia kichwa kichwa na point zako dhaifu

Vile vile hakuna atakaye amini kwamba lowasa siyo fisadi
 
Back
Top Bottom