Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Kati ya watia nia wote kupitia chama cha mapinduzi jina la Lowassa ndo limekuwa gumzo kila sehemu tofauti na wagombea wenzake ndani ya chama,ukifanya utafiti kwa kina utagundua kwamba Lowassa anapendwa na watu wengi sana kwa sababu record yake ya utendaji kazi mahiri huko nyuma na zaidi hasa pale alizuia uwanja wa mnazi mmoja usiuzwe alipokuwa waziri wa ardhi nyumba na maendeleo mjini pili kuvunja mkataba wa kinyonyaji kupitia company city water alipokuwa waziri wa maji na mifugo na kingine ni mgombea ambaye ni mkimya sana na hapendi kumchafua mtu au kujibazana hovyo na wenzie na mengine mengi tu ambayo yamfanya watanzania waamini huyu ni Kilongola sahihi ambaye anaijua njia vema ktk kuelekea safari ya matumaini
 
ni kweli kiongozi LOWASA NDO KAMA RAIS AS WE SPEAK,HAITAJI TENA KUFANYA CAMPAIN,JINA LIKIPITA NDO MWISHO WA MCHEZO
 
lowasa ndiye aliyetuleteana kushinikiza kampuni feki ya Richmond ambayo haikuwa na uwezo kifedha,kitechnojia wala uzoefu wala mtaji wala haikua na ofisi. Alilazimisha kuwapazabuni. Kwa mujibu wake na nyie wahuni wenzake hayo yalikuwa maamuzimagumu....ALILAZIMISHA TZ KUINGIA KWENYE MKATABA WAKIHUNI KWA MASLAHI YAKE yeye lowasa na mapacha wake wawili.
KIFUPI lowasa ANA UJASIRI WA KIFISADI. Wewe huwezi jua kwa nn aliufyatakuzungumzia hili sakata wakati aliahidi.YEYE MWENYEWE HAWEZI KULIKANA NA HAWEZIKUJISAFISHA SASA WW ULIYEPEWA MGAO WA UFISADI WAKE UNATAKA KUMSAFISHA

yip!! kimsingi, tunahitaji mgombea wa C.C.M anayekubalika kwa wengi

naye ni lowassa
 
Lowasa hana mtaji wa watu ila anawanunua watu, lowasa anahama na watu kwa kuwalipia nauli na kuwapa posho kama asante ya kumsindikiza. Wengi wao ni watu wasio na kazi na bodaboda ambao wanajaziwa mafuta na kifuta jasho kisichopungua 20,000 kwa mkutano mmoja. Hata hivyo ikumbukwe kuwa Muda wa kampeni bado, nawaombeni wafuasi wa Lowasa kuwa wapole pindi jina lake likatwa kwa kufanya kampeni kabla ya muda.
 
upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM

...wakomesheni mkuu. wanalalamika wakati katika ule mtaji tuliowalipa Bil 120 za RICHMOND-DOWANS, alizokwishatumia hadi sasa hazijafika hata Bil 20. Lowasa lazima apite watake wasitake. Katika wapinyani wake wote nani anamtaji mkubwa kama huo. Si walijifanya wajanja kumuondoa kwa RICHMOND? sasa RICHMOND huyohuyo lazima amrudishe juujuu hadi ikulu.
 
SAFARI ya matumaini kuelekea ikulu imewadia. Tulianza pamoja kwa umoja na tutamaliza pamoja kwa umoja. Tumaini letu ni kwa mgombea mwenye maamuzi.

Njoooni hapa wana LOWASSA tupeane update kwa yanayojili tangu sasa mpaka magogoni. TAREHE 30 mei 2015 Mr Edward Ngoyai lowasa kwa kishindo kikubwa azindua safari ya matumaini jijini arusha. Maelfu wamiminika. Mzee msukuma, kangi lugola na Mzee Kingungwe wasababisha mtikisiko taifa.

Gwajima naye ahofiwa kuleta Maelfu! Safari ya,lowasa yaonesha matumaini kwel kweli TAREHE 31 mei, Mr WASIRA naye akifuata nyayo za mbunge wa monduli atangaza nia. Kikongwe huyu wa miaka 80 anataka kuliongoza taifa la TANZANIA.

Taifa limeshuhudia watu wachache katika ukumbi wakijitokeza kumsikiliza. Pia Tofauti na lowassa ni watu wachache wamejitokeza kumuunga mkono waakiwemo mbunge Nyangwine aliye poteza sifa na kukataliwa na watu wa tarime.

Kuthibitisha kuwa Lowassa ni Jembe Wassila hakusita kuonesha woga wake. Alimtupia Kijembe Lowassa kwa ile hoja dhaifu akidai kuwa eti ikulu haiongozwi na mafisadi.

TUNAMTAKIA MAPUMZIKO MEMA WASSIRA kwani hawezi kufurukuta katika nafasi ya uraisi, hata jimboni kwake anamshindani wake pia.

====================================
Endelea kufahamu kidogo kidogo kuhusu Lowassa
====================================

Lowassa alizaliwa tarehe 26 August 1953 mkoani Arusha. Ni waziri wa 8 wa JMT akipokea kijiti kutoka kwa Mh Fredrick Sumaye kutoka 30 Desemba 2005 hadi 7 Februari 2008 na kumuachia Mh Mizengo Pinda ambaye hadi tunavyooandika hapa ndie waziri mkuu wa JMT nae ametangaza nia ya kugombea urais kwa tiketi ya ccm mwaka 2015!

Kabla ya kuwa waziri mkuu, Lowassa alikuwa waziri wa Maji na Maendeleo ya mifugo kuanzia mwaka 2000 hadi 2005 akiwa chini ya rais Mkapa. Wizara hii alimuachia Mh Stephen Wassira baada ya yeye kuteuliwa kuwa waziri mkuu mwaka 2005. Aliingia bungeni kama mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CCM mnamo Novemba, 1995.

Lowassa aliwahi kuwa waziri katika ofisi ya waziri mkuu kipindi cha pili cha urais wa Mh Ali Hassan Mwinyi. Mwaka 1995 alianza harakati zake za kuwania urais wa JMT ndani ya CCM. Hakufanikiwa kupata ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM mwaka huo wa 1995 hivyo aliamua kugombea ubunge wa jimbo la monduli na kushinda kwa zaidi ya 90%.

Mnamo mwaka 1997 aliteuliwa kuwa waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais - mazingira na umaskini. Lowassa alidhihirisha uwezo wake wa kiongozi zaidi akiwa waziri wa Maji na Mifugo kuanzia mwaka 2000 hadi 2005.

Mwaka 2005 Lowassa aliacha harakati zake za kuusaka urais badala yake akaanza harakati za kumuunga mkono Mh Jakaya Kiwete kwenye mbio zake za urais. J Kikwete alikuwa ni rafiki yake wa muda mrefu sana, naye Lowassa alikubali kuwa campain manager kwenye mbio zake urais, ambapo Mh Jakaya Kikwete alishinda urais wa JMT kwa zaidi ya 80% chini ya menejimenti ya Lowassa

===================
Elimu ya Edward Lowassa
===================

Lowassa alipata shahada yake ya sanaa na elimu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na Shahada ya uzamili ya Maendeleo ya jamii kutoka Chuo Kikuu cha Bath kilichopo UK. Elimu yake ya sekondari alipata kutoka shule ya Ilboru moja ya shule maalum kwa ajili ya wanafunzi wenye vipaji maalum darasani wakati huo; na kumalizia elimu yake ya kidato cha 5 na 6 kutoka shule ya sekondari Milambo mwaka 1977. Lowassa anapozungumzia maendeleo anajua anachozungumzia, habahatishi.

===================================
General summary kuhusu utumishi wa Lowassa
===================================

  • Mkurugenzi Mtendaji, AICC, 1989 - 1990
  • Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais (Sheria na mambo ya bunge), 1990 - 1993
  • Waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi, 1993 - 1995
  • Waziri wa nchi, makamu wa rais - mazingira na umaskini, 1997 - 2000
  • Waziri wa maji na mifugo, 2000 - 2005
  • Waziri Mkuu, 30 Desemba, 2005 - 7 Februari 2008

Alianza kuwa mbunge tangu mwaka 1990, na kuteuliwa kuwa waziri kama tulivyoonyesha hapo juu! Hadi sasa bado ni mbunge alietia nia kuwania urais kwa tiketi ya CCM mwaka 2015

Kauli mbiu yake: Safari ya matumaini

=========
updates
=========

Steven Wassira na Makongoro Nyerere wakutana na kihunzi kikali ndani ya ya fomu ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM. Kwa maelezo zaidi soma hapa chini:

Baada ya kumaliza kusoma hio comment hapo juu sasa soma hii thread hapo chini:

Makongoro Nyerere na Steven Wassira wanyong'onyea ghafla kwenye mbio za urais, Lowassa anaendelea kufanya yake

----------------------------------------------------------------------------------------------------------

(d).Uanachama katika vyama vingine

i. Sijapata/nimepata kuwa mwananchama wa chama kingine cha siasa (Ukiacha TANU na ASP)

ii. Kama umepata taja jina la Chama hicho na muda ulio kitumikia........

KODI YA MAPATO

Je umewahi kupatikana na hatia mahakamani kwa kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyote ya Serikali? (ndiyo/hapana)..........

Kama ndiyo eleza ni kodi gani na ulipewa adhabu gani?.....................

6. TABIA

(a). Mashitaka dhidi yangu

i. Je umewahi kushitakiwa kwa makosa ya jinai na kuhukumiwa? (ndiyo/hapana).
(Kama ndiyo, taja kosa na adhabu uliyopewa).....

ii. Nimepata/sijapata kudhibitiwa ndani ya chama au Jumuiya ya chama kwa kosa lolote. (kama umepatata eleza)......

-------------------------------------------------------------------------------------------------------

Members wanaendelea kudadavua hizo vipengele tajawa hapo juu:
WEWE MWEKA TAARIFA NJAA INAKUSUMBUA NDO MAANA UNATUMIKISHWA NA MAFISADI ILI USHIBISHE TUMBO LAKO PAMOJA NA HAO WENZAKO MNAOJIITA TIMU LOWAHASWA! Hamna cha maana hapo zaidi ya kufuata mshiko nyie vijana. Mtakuja kuuzwa kama pipi na hao matajiri
 
Watanzania bwana kwa kupenda vijisenti,mpaka wamepoteza kabisa hata uwezo wa kufikiri.Jamani hata Lowasa mtu anadhani anaweza kuwa raisi simply because ana vijihela vichafu alivyowaibia Watanzania.Kazi kweli kweli.
Wakuu!

Sometimes tujiongeze kidogo! Mara nyingine sisi tunasema ukiuliza swali gumu hakikisha kuwa una uwezo wa kuelewa na majibu magumu pia.

Kuna baadhi ya watu wanahoji mbona Lowassa anapambana sana kupata urais? Ooohhh mtu huyu anataka sana urais, Oohh anatumia sana pesa japo hili la pesa halina ushahidi wowote!

Hivi mnadhani urais ni jambo dogo sana kiasi kwamba huonyeshi dhamira ya kupambana kupata? Kama huna uwezo wa kuonyesha uwezo wa kupambana ili upate urais, sasa utawezaje kuaminiwa kupambana kukomboa Taifa hili?

Kupambana ni pamoja na kujijengea ushawishi ndani ya chama chako cha siasa na jamii pana ya watanzania.

Unadhani urais unapewa kwenye kisosi ama kisahani? Acheni kudharau urais kiasi hiki! Lazima uonyeshe uwezo wa kupambana kwa hali na mali! Urais sio lelema!

Lowassa for Presidency 2015
 
SAFARI ya matumaini kuelekea ikulu imewadia. Tulianza pamoja kwa umoja na tutamaliza pamoja kwa umoja. Tumaini letu ni kwa mgombea mwenye maamuzi.

Njoooni hapa wana LOWASSA tupeane update kwa yanayojili tangu sasa mpaka magogoni. TAREHE 30 mei 2015 Mr Edward Ngoyai lowasa kwa kishindo kikubwa azindua safari ya matumaini jijini arusha. Maelfu wamiminika. Mzee msukuma, kangi lugola na Mzee Kingungwe wasababisha mtikisiko taifa.

Gwajima naye ahofiwa kuleta Maelfu! Safari ya,lowasa yaonesha matumaini kwel kweli TAREHE 31 mei, Mr WASIRA naye akifuata nyayo za mbunge wa monduli atangaza nia. Kikongwe huyu wa miaka 80 anataka kuliongoza taifa la TANZANIA.

Taifa limeshuhudia watu wachache katika ukumbi wakijitokeza kumsikiliza. Pia Tofauti na lowassa ni watu wachache wamejitokeza kumuunga mkono waakiwemo mbunge Nyangwine aliye poteza sifa na kukataliwa na watu wa tarime.

Kuthibitisha kuwa Lowassa ni Jembe Wassila hakusita kuonesha woga wake. Alimtupia Kijembe Lowassa kwa ile hoja dhaifu akidai kuwa eti ikulu haiongozwi na mafisadi.

TUNAMTAKIA MAPUMZIKO MEMA WASSIRA kwani hawezi kufurukuta katika nafasi ya uraisi, hata jimboni kwake anamshindani wake pia.

====================================
Endelea kufahamu kidogo kidogo kuhusu Lowassa
====================================

Lowassa alizaliwa tarehe 26 August 1953 mkoani Arusha. Ni waziri wa 8 wa JMT akipokea kijiti kutoka kwa Mh Fredrick Sumaye kutoka 30 Desemba 2005 hadi 7 Februari 2008 na kumuachia Mh Mizengo Pinda ambaye hadi tunavyooandika hapa ndie waziri mkuu wa JMT nae ametangaza nia ya kugombea urais kwa tiketi ya ccm mwaka 2015!

Kabla ya kuwa waziri mkuu, Lowassa alikuwa waziri wa Maji na Maendeleo ya mifugo kuanzia mwaka 2000 hadi 2005 akiwa chini ya rais Mkapa. Wizara hii alimuachia Mh Stephen Wassira baada ya yeye kuteuliwa kuwa waziri mkuu mwaka 2005. Aliingia bungeni kama mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CCM mnamo Novemba, 1995.

Lowassa aliwahi kuwa waziri katika ofisi ya waziri mkuu kipindi cha pili cha urais wa Mh Ali Hassan Mwinyi. Mwaka 1995 alianza harakati zake za kuwania urais wa JMT ndani ya CCM. Hakufanikiwa kupata ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM mwaka huo wa 1995 hivyo aliamua kugombea ubunge wa jimbo la monduli na kushinda kwa zaidi ya 90%.

Mnamo mwaka 1997 aliteuliwa kuwa waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais - mazingira na umaskini. Lowassa alidhihirisha uwezo wake wa kiongozi zaidi akiwa waziri wa Maji na Mifugo kuanzia mwaka 2000 hadi 2005.

Mwaka 2005 Lowassa aliacha harakati zake za kuusaka urais badala yake akaanza harakati za kumuunga mkono Mh Jakaya Kiwete kwenye mbio zake za urais. J Kikwete alikuwa ni rafiki yake wa muda mrefu sana, naye Lowassa alikubali kuwa campain manager kwenye mbio zake urais, ambapo Mh Jakaya Kikwete alishinda urais wa JMT kwa zaidi ya 80% chini ya menejimenti ya Lowassa

===================
Elimu ya Edward Lowassa
===================

Lowassa alipata shahada yake ya sanaa na elimu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na Shahada ya uzamili ya Maendeleo ya jamii kutoka Chuo Kikuu cha Bath kilichopo UK. Elimu yake ya sekondari alipata kutoka shule ya Ilboru moja ya shule maalum kwa ajili ya wanafunzi wenye vipaji maalum darasani wakati huo; na kumalizia elimu yake ya kidato cha 5 na 6 kutoka shule ya sekondari Milambo mwaka 1977. Lowassa anapozungumzia maendeleo anajua anachozungumzia, habahatishi.

===================================
General summary kuhusu utumishi wa Lowassa
===================================

  • Mkurugenzi Mtendaji, AICC, 1989 - 1990
  • Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais (Sheria na mambo ya bunge), 1990 - 1993
  • Waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi, 1993 - 1995
  • Waziri wa nchi, makamu wa rais - mazingira na umaskini, 1997 - 2000
  • Waziri wa maji na mifugo, 2000 - 2005
  • Waziri Mkuu, 30 Desemba, 2005 - 7 Februari 2008

Alianza kuwa mbunge tangu mwaka 1990, na kuteuliwa kuwa waziri kama tulivyoonyesha hapo juu! Hadi sasa bado ni mbunge alietia nia kuwania urais kwa tiketi ya CCM mwaka 2015

Kauli mbiu yake: Safari ya matumaini

=========
updates
=========

Steven Wassira na Makongoro Nyerere wakutana na kihunzi kikali ndani ya ya fomu ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM. Kwa maelezo zaidi soma hapa chini:

Baada ya kumaliza kusoma hio comment hapo juu sasa soma hii thread hapo chini:

Makongoro Nyerere na Steven Wassira wanyong'onyea ghafla kwenye mbio za urais, Lowassa anaendelea kufanya yake

----------------------------------------------------------------------------------------------------------
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
(d).Uanachama katika vyama vingine

i. Sijapata/nimepata kuwa mwananchama wa chama kingine cha siasa (Ukiacha TANU na ASP)

ii. Kama umepata taja jina la Chama hicho na muda ulio kitumikia........

KODI YA MAPATO

Je umewahi kupatikana na hatia mahakamani kwa kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyote ya Serikali? (ndiyo/hapana)..........

Kama ndiyo eleza ni kodi gani na ulipewa adhabu gani?.....................

6. TABIA

(a). Mashitaka dhidi yangu

i. Je umewahi kushitakiwa kwa makosa ya jinai na kuhukumiwa? (ndiyo/hapana).
(Kama ndiyo, taja kosa na adhabu uliyopewa).....

ii. Nimepata/sijapata kudhibitiwa ndani ya chama au Jumuiya ya chama kwa kosa lolote. (kama umepatata eleza)......

-------------------------------------------------------------------------------------------------------
-------------------------------------------------------------------------------------------------------

Members wanaendelea kudadavua hizo vipengele tajawa hapo juu:

Kanunuliwa yeye kwanza,halafu kawanunua watu ambao ndo khaki wake.
 
Team wachumia tumbo kazini.

wanajidanganya ccm haiwezi kumpitisha jambazi na kundi lake la wezi waaini,wamekibomoa chama kwa mitandao yao michafu ili kuingia ikulu takatifu,kln ccm makini mungu yupo pamoja nao watampitisha chaguo la mungu sio changuo la majambazi,
 
Kanunuliwa yeye kwanza,halafu kawanunua watu ambao ndo khaki wake.

mwaka 1995 kwenye NEC nyerere alimwambia ccm haitafuti rais maarufu inatafuta rais msafi na mwadirifu,je ajipime yeye kwa kigezo hicha anafaa.
 
WEWE MWEKA TAARIFA NJAA INAKUSUMBUA NDO MAANA UNATUMIKISHWA NA MAFISADI ILI USHIBISHE TUMBO LAKO PAMOJA NA HAO WENZAKO MNAOJIITA TIMU LOWAHASWA! Hamna cha maana hapo zaidi ya kufuata mshiko nyie vijana. Mtakuja kuuzwa kama pipi na hao matajiri

LOWASA Na wafasi wake wananichekesha eti lowasa ana watu? watu ni wa ccm sio wa lowasa na aliwakuta ccm ataondoka na atawaacha ccm yeye ni nani,aliwaacha nyerere sembuse lowasa,mnamtisha nani nyie msio wazarendo kwa taifa lenu na watumwa wa genge la wezi?
 
Hatumpitish mtu eti kwa kuwa ni maarufu bali kwa kuwa ni mwadilifu jiulze nani mwadilifu ndan ya chama.
 
mwaka 1995 kwenye NEC nyerere alimwambia ccm haitafuti rais maarufu inatafuta rais msafi na mwadirifu,je ajipime yeye kwa kigezo hicha anafaa.

Unaugua ugonjwa wa EL..political fever...na utakoma...EL ndio Rais ajaye...vua nguo inama wanaume tunakuja...paka na ky kabisaaa...hatutaki shidaaa..!!
 
Bado kampen hazjaanza kachoka hvyo...
 
Attachments

  • 1434544874772.jpg
    1434544874772.jpg
    22.9 KB · Views: 90
#teamlowassa wanaweweseka.....I wrote and said it here on JF with confidence LOWASSA Hawezi Kuwa mteule wa CCM!

july 12th nitakazia tena maandiko yangu!!!!!!!!!!
 
MPEKUZI
Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates
HomeDisclaimerPrivacy PolicyAdvertise Here

Wednesday, June 17, 2015
Urais 2015: Mafuriko Ya LOWASSA Yatua Singida Kwa Kishindo.......Apata Wadhamni 22, 758

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wea Monduli, Mh. Edward Lowassa, akitoa hotuba ya shukrani kwenye makao makuu ya CCM mkoa wa Singida baada ya kupata wadhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
-
Mh. Lowassa ameweka rekodi mpya baada ya kupata wadhamini 22, 758 tangu aanze kutafuta wadhamini mapema mwezi huu

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia -wana CCM na wakazi wa Manispaa ya Singida- waklati akiondoka makao makuu ya CCM mkoani Singida Juni 16, 2015 baada ya kupata wadhamini.

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono wana CCM na wakazi wa Manispaa ya Singida wakati akiondoka makao makuu ya CCM mkoani Singida, Juni 16, 2015 baada ya kupata wadhamini.

Mpekuzi blog

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

‹
›
Home
View web version
 
mwaka 1995 kwenye NEC nyerere alimwambia ccm haitafuti rais maarufu inatafuta rais msafi na mwadirifu,je ajipime yeye kwa kigezo hicha anafaa.

Who is nyerere? Acha kuabudu watu wewe!!!
 
Huyu mzee inawezekana ana matatizo ya kisaikolojia. sio bure, kisa cha kupoteza muda na kuwapa watu kazi zisizo na sababu ni nini?

Hivi kuna mtu anayeambiwa akalete vitu 30 halafu analeta vitu elf ishirini naa?

Yani hivi vituko na ulimbukeni vinaonesha hana jipya na nia yake ni kuwa raisi basi.
 
Back
Top Bottom