bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,013
- 742
Nina wasiwasi hata wewe mtoa hoja ni team lowasa karibu sana kwenye team kuuuuuuubwa yenye watu wazito.
Siku hizi tunachagua kiongozi bora ,atoke ccm au ukawa hatujali bora aweze kusimamia maslahi ya taifa :Lowassa anafaa sana kama siyo yy bc ni wakati wa kutafuta mabadiliko nje ya ccm

Hii ni siri, siku si nyingi mtaona ktk habari mbalimbali jinsi Lowassa anakubalika nchi nzima...!!!
Inasemekana hadi 87% ya wana CCM wanaapa kumpenda kupindukia, ni mtu wa vitendo, he walks the talk, i.e he does what he says...na wana imani kubwa sana na Lowassa... imefikia ukimsema vibaya tu Lowassa wanaanza kuolkunja nyuso zao na kuondoka, Edo anapendwa sana na kuaminiwa mnoo...!! ni mfano wa kiongozi mwenye akili nyingi na kifua kikubwa cha uongozi wa maendeleo kwa wote kwa haraka...!!!
Pia inasemekana hadi 68% ya wapinzani wanamuunga Mkono Lowassa... ukinzia ktk Waalimu, wakristo, waislam, masheikh, maaskofu, albinos, bodaboda, machinga, wafugaji, wakulima, wafanya biashara wakubwa, wafanya kazi serikalini, vyuo vikuu, vyuo vingine, wavuvi, ana wananchi wengi kwa UJUMLA kila mtaa, miji, vijiji ni Lowassa anapendwa mnooo...!!!
Hakuna sehemu ya Tanzania au nchi jirani za EAC, hadi U.S.A...VOA, CNN, CBS, BBC, washaanza kumtabiria Lowassa ndie Rais ajaye...!!!
So mtajua hizi habari siku chache zijazo....Kama ilivyo REDET, taarifa yake ilifichwa kabisa na watu wenye madaraka ya juu ili habari ya Lowassa kuongoza REDET inawakera sana, sasa na hii habari itwajia muda si mrefu..!!!
Go Lowassa..2015

Jamaa kapost hii umeiona?
Jakaya Kikwete ‏@jmkikwete 13h13 hours ago Tusiwasikilize wanasiasa wanaowagawa Watanzania na kutumia fedha kutafuta madaraka. Mchezo wao ni mauti yetu. Wakatalieni kwa macho makavu.
Source: https://twitter.com/jmkikwete
#watu ... ur out of this world...mentally, psychologically, and in all terms of thinking...!!!
Wananchi kwa wengi wao ndio wanachagua RAIS wa NCHI YAO...!!!
Rais wa sasa, hana haki au madaraka ya kuchagua au kuteua RAIS AJAYE...!!! haiko hivyooo...!!!
Rais JK, yeye anashauri tu, jinsi anavyoona kwa hisia zake kwa sasa, sio za 2005 au 2010...!!! UNAJUA JK aliingiaje madarakani 2005/2010 akitumia upepo au nn..?? UNAJUA VIZURI AU UNAONGEA TU...!!! Use ur head, stop being used by others..!!!