Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

1 Rostam Aziz-alijivua gamba kwa tuhuma za ufisadi.

2.Kingunge N Mwiru-alishutmiwa kuiba mapato ya Ubungo Bus Terminal

3.Madabida-alishutumiwa kuuza ARV feki

4.Emmanuel nchimbi-alishutumiwa katika operesheni Tokomeza

5.Fazaal -mmiliki wa leopard tours alishutumiwa kuwanyanyasa watumishi wake.

source:hapahapa JF

WanaJF hebu ongezeeni Team lowassa members mnaowafahamu!

Karamagi
Husein Bashe
Abubakar LYONGO- Huyu amekula posho za waandishi kwenye safari ya matumaini
 
Cheki huyu boya wa chadema anavyoangaika na wagombea wa CCM ... watu wa CCM Wanakuhusu nini..??? Mwaka huu msipokuwa vichaaa sijui
 
1 Rostam Aziz-alijivua gamba kwa tuhuma za ufisadi.

2.Kingunge N Mwiru-alishutmiwa kuiba mapato ya Ubungo Bus Terminal

3.Madabida-alishutumiwa kuuza ARV feki

4.Emmanuel nchimbi-alishutumiwa katika operesheni Tokomeza

5.Fazaal -mmiliki wa leopard tours alishutumiwa kuwanyanyasa watumishi wake.

source:hapahapa JF

WanaJF hebu ongezeeni Team lowassa members mnaowafahamu!

6.bucho
7.stata mzuka
 
maiti inayonadiwa na mashetani kuwa inafaa sana kuliongoza taifa hili...
 
Nimecheka sana ila najua mwisho wa ubaya aibu...kubali au kataa kwa sasa hakuna zaidi ya lowasa hata kilanja wa taifa anajua ngoma inogire wajameni coz mtabandika picha kwenye office zenu....na kujipanga barabarani.
 
Ccm top 5- 2015 1. Lowasa 2. Mwandosya 3. Membe 4. Ramdhani 5. Migiro "ukawa na watz wote mpoo"
 
Acha wajihesabu tujue idadi yao tukizidisha x 100,000/= tutapata jumla ya fedha alizohonga Lowasa ili kupata wafuasi.
 
Hakuna mtu mwenye busara anayeweza kumuunga mkono EL.Ukiona mtu anamuunga mkono Lowasa ujue ni mchumia tumbo au busara zimehama au ana vyote viwili!
Habari zenu waungwana naona me ni mgeni kidogo wa jukwaa hili ila wengi wenu huwa tunakutana kule jukwaa la wataalamuna na lile la madali naomba tujihesabu humu tunao muunga mkono waziri mkuu alie jiuzuru Edward LOwassa....ili tukate mzizi wa fitina
Nawasilisha pamoja sana.
 
...mkahesabiane chooni, huku watu tunaojitambua tuko bize....
 
maiti inayonadiwa na mashetani kuwa inafaa sana kuliongoza taifa hili...

Makundi yatatutukanisha sana mwaka huu... Wagombea wanaitwa maiti na wapiga kura wanaitwa mashetani...

Jamani upinzani wa kisiasa si ugomvi...
 
.........Kikwete anatuhumiwa kuliingiza taifa katika Ufisadi wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom