Mwaka huu jiandae kutafuta hifadhi nchi nyingine, vingunevyo ukubali kulala bila............I can't imagine such a crook being vice president.Oh,God, tuepushie janga hili.
Mwaka huu jiandae kutafuta hifadhi nchi nyingine, vingunevyo ukubali kulala bila............I can't imagine such a crook being vice president.Oh,God, tuepushie janga hili.
Ngojeni ntawahabarisha jamaa jina lake uwezekano wa kulikataa ni asilimia 80%.nipo hapa eria C.ntawajulisheni
Mtaji wa lowasa siku zote ni makundi mawili makuu: Matajiri wa kifisadi na masikini wa aina tatu.
1. Masikini wa kipato. Wanaotegemea lita 3 za petrol leo bila kujua kesho yao itakuwaje.
2. Masini wa akili.........wenye elimu ndogo km kina bashe au kingunge
3. Masikini wa taarifa sahihi kuhusu ufisadi na ujambazi wa lowasa
4. Mafisadi na wapigaji dili wa taifa km rostam, chenge, tibaijuka, karamagi etc
Niwachukulie hawa watu wawili Julius K Nyerere na Edward N Lowasa kama Manabii wa ainafulani. Wananguvu kubwa mbele ya umma. JK Nyerere anakiri Uthubutu wa EN Lowasa. Ikimaanisha kuwa JK Nyerere pamoja na nguvu alizokuwa nazo hampuuzi EN Lowasa hata kidogo.
JK Nyerere anamchango mkubwa kuijenga Tanzania lakini anatofautiana kabisa na EN lowasa na kutofautiana kwao hakukuwa kwa juu juu tu. Kulikuwa kwa kina na kwa mapana ya kutosha.
Kwangu kutofautiana huku ambako Mwalimu hakuyumba wala kupepesuka kunaashiria kambi mbili tofauti za manabii hawa. ASILI YA ATOKAKO NABII JKNyerere ni tofauti na kinyume kabisa na ASILI YA ATOKAKO NABII ENLowassa.
Wote wanujasiri wa kutisha.
Niseme hivi:
Nabii Edward Ngoya Lowasa yupo kukamilisha na kukomaza mbegu aliyoiotesha na kuipanda Nabii Julius Kambarage Nyerere.
Edward Ngoyai Lowasa ameshaikamilisha kazi hiyo, sasa aachwe apumzike. Bila upinzani wa kinabii anaoutoa Lowasa kilele cha Utaifa huru wa Tanzania hautafikiwa. Nguvu na mamlaka ya Nyerere yalihitaji kikwazo kizito kama cha Lowasa kuyakamilisha. Tanzania Mpya Yapambazuka Na Azimio Jipya Sasa Liko Yayari kuwekwa Mezani.
Eee Mwenyezi Mungu Ibariki Tanzania.

Safiiiii... let's make it short and very clear...!!!
Lowassa is like Jesus Christ at present...!!!! ili tumalize biashara asubuhi...!!!
CCM...CCM....eeeeeeeehhhhhh.... Lowassa the Highest, the Greatest, the God's son...!!!!

Safiiiii... let's make it short and very clear...!!!
Lowassa is like Jesus Christ at present...!!!! ili tumalize biashara asubuhi...!!!
CCM...CCM....eeeeeeeehhhhhh.... Lowassa the Highest, the Greatest, the God's son...!!!!
Huyu jamaa kweli ameolewa kwa Lowassa na kama ni penzi umekuwa kipofu aisee ..Lowassa Oyeeeeeeeeeee!
ndo kwanza jit linaingia....kwa ustadi mkubwa mtungi unainamishwa ili panya aliyeingia ndani auwawe kirahisi bila kuupasua mtungi...
Apumzike.
Hapo alipofikia panatosha.
Ufisadi alioyenga na msiguano aliyosababisha vimekokomaza chama tyari kwa Upya mpya.
Kazi yake imekwisha. Sasa apumzike.