Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Salute sana kwa wananchi....!!!

Mzee wenu kipenzi soon atawaponya nyoyo zenu... CCM will never makes mistake hii ya ajabu...!!!

Lowassa anaongoza kila kona, kwa kila kitu kuhusu URAIS wa Tz kwa sasa...!!!

CCM msi test sumu kwa kulamba...!!

🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Unaota ndoto ya mchana siyo?
 
Kama CCM wanajua kusoma alama za nyakati hawata dhubuti kukata jina la Lowasa kwani ndo kiongozi pekee ndani ya CCM anaeungwa mkono hadi na baadhi ya wanachama wa Upinzani..
 
Tafuta YouTube Kuna clip ya jamaa mmoja Hivi mfupi mwenye changamoto ya miguu namnukuu akisema "Nasikia wanataka kumkata lowassa jina kubabake hatutokubali......." itafute Facebook au YouTube.
 
Kwangu kutofautiana huku ambako Mwalimu hakuyumba wala kupepesuka kunaashiria kambi mbili tofauti za manabii hawa. ASILI YA ATOKAKO NABII JKNyerere ni tofauti na kinyume kabisa na ASILI YA ATOKAKO NABII ENLowassa.

Wote wanujasiri wa kutisha.

Niseme hivi:

Nabii Edward Ngoya Lowasa yupo kukamilisha na kukomaza mbegu aliyoiotesha na kuipanda Nabii Julius Kambarage Nyerere.

.

Si ni Mtume 🙂mad:?!)Kawa nabii tangu lini tena?
 
Mpigeni tu mawe.....na akishafika pale Magogoni mwendelee tena kumchafua....Viva Lowassa,ata Masiha yesu kristu alidhihakiwa na hata kusulubiwa lakini akawa mfalme na mwokozi andiko likatimia,Yesu alisalitiwa lakini alisamehe
 
Alishasema kuwa hana plan B wala C.
Yeye unaujua udhaifu wa ccm zaidi hata ya mh. Mnyika kwa taarifa yako. Zungukeni Mbuyu lakini mwisho wake ccm vi vipande vipande na historia iko wazi ni wakati gani kimevunjika na ni nani kakivunja!
UKAWA, hatutaki ngonjera bali siku 100 za kwanza ni KATIBA MPYA na bila kuangaika sana bali tumieni template ya Jaji Warioba
 
Mi si mgawa pumzi, bali tuombe tuwepo wakati el akiapishwa, amejipanga, ana vigezo vyote kwa 'standard' ya nchi yetu
 
Ha ha ha haaa hizi threads sasa baaasi; tumechoka....subirini Jumatatu ijayo kama kuna makato au hayapo !!!
 
hivi kwa wale wafuasi wa lowassa ikiwa huyu ndugu yenu atakatwa mmejiandaa kwa lipi????kupinga mchakato ulivyoenda?kuhamia ACT WAZALENDO/WASALITI?kuanzusha fujo??au kukubali matokeo??taarifa za uhakika ni kwamba ATAKATWA NA NCHI ITATAWALIWA NA UKAWA. Maoni yangu yaheshimiwe tafadhali
MWAMBIE MJINGA WAKO MBOWE ACT ni mchezo mwingine akomae na ccm na fuata upepo wake
 
hivi kwa wale wafuasi wa lowassa ikiwa huyu ndugu yenu atakatwa mmejiandaa kwa lipi????
kupinga mchakato ulivyoenda?
kuhamia ACT WAZALENDO/WASALITI?
kuanzusha fujo??
au kukubali matokeo??
taarifa za uhakika ni kwamba ATAKATWA NA NCHI ITATAWALIWA NA UKAWA. Maoni yangu yaheshimiwe tafadhali

hatakatwa,ila atashirikiana na ukawa kwa kuwa nchi ni moja(japo uwaziri hamtapewa),akiwa madarakani sahauni kupigwa rungu na polisi,kazi ya polisi ni kulinda usalama si kukupiga wewe mwana ukawa, atawaambia na kukaa nao ukawa kuwaleza kwamba shule na maendeleo hayatachagua jimbo,kama mbunge wa ukawa anakwamishwa na halmashauri yoyote bila sababu,amwambie, pamoja tujenge nchi
 
Sioni MTU wa kuishinda sauti za watanzania ;
Nyakati zimebadilika mno Nguvu za Mgombea yeyote sharti zitokane Na Mahitaji yao

Eti anakubalika Na hata Na wapinzani ?? Aibu
 
kama baadhi ya wapinzani wanamkubali.....ok......lakini siyo wa UKAWA
 
Back
Top Bottom