Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Kuna uzi wa huyo jamaa yenu utafute mkajihesabieni.acha kutujazia server na huyo mze wenu.kuongea kwenyewe hajui hana tofauti na bilali.
 
Kujua wanaomuunga mkono haijalishi. labda ungeniambia. wangapi kutoka halmashauri kuu ya ccm.pamoja na cc ya ccm wanaomuunga mkono. pia vigezo vingapi anawazidi wagombea wenzake. ksb jina lake linapitia ngazi nyingi ambazo sio za mashekhe wanachuo machinga dereva bod.. etc. sisi tuko wengi Sawa lkn Kumbuka oale juu Pana kamati isiyozidi watu 35 wenye dhamana kubwa. yasije kuwa ya mrema 1995
 
Uhuru Wa Taifa ni nuru .. ! Tangu 1961 nuru polepole ilianza kuingiliwa na Giza ambalo limeendelea kukuwa na kuigubika Tanzania kwa kipindi chote hadi sasa Nabii Wake Mkuu ni EDWARD NGOYAI LOWASSA.

Tunahitaji waasisi wengine wa Taifa la Uhuru wa Pili.
Nuru ya kuiangamiza GIZA KUU LA TAIFA.
 
1 Rostam Aziz-alijivua gamba kwa tuhuma za ufisadi.

2.Kingunge N Mwiru-alishutmiwa kuiba mapato ya Ubungo Bus Terminal

3.Madabida-alishutumiwa kuuza ARV feki

4.Emmanuel nchimbi-alishutumiwa katika operesheni Tokomeza

5.Fazaal -mmiliki wa leopard tours alishutumiwa kuwanyanyasa watumishi wake.

source:hapahapa JF

WanaJF hebu ongezeeni Team lowassa members mnaowafahamu!
 
Niko curious na Elizabeth Misokia....sijui kama nimepatia jina lake
anyone knows vizuri historia yake?
 
Pia Kikwete ni team Lowassa.

*Source:Lowassa mwenyewe amekuwa akikiri kuwa hawakukutana barabarani, na katika issue ya Richmond walikuwa bega kwa bega kupiga issue.
 
Habari zenu waungwana naona me ni mgeni kidogo wa jukwaa hili ila wengi wenu huwa tunakutana kule jukwaa la wataalamuna na lile la madali naomba tujihesabu humu tunao muunga mkono waziri mkuu alie jiuzuru Edward LOwassa....ili tukate mzizi wa fitina
Nawasilisha pamoja sana.

Nina muunga mkono Lowasa kwenye mpango wa kukosa Urais.
 
Back
Top Bottom