Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

I am sure pamoja na matusi yote hapa Lowasa he won't make it . Hakuna wa kumkemea lakini he will be told in the open kwamba hafai na hata amini . Matusi si bisara na haiwezi msaidia Lowasa .
Lowasa ana hasira na amejawa na umimi, hana vision hawezi kujieleza .Kashindwa hata kusema why he stepped down as a PM , kama hahusiki na kashfa then why did he step down ?

Wana CCM wana mheshimu late Mwalimu , so kwa kuwa alisha kataliwa mapema kwa matendo yake nina hakika they are ready to be a cursed political party .Lowasa hana la kutueleza sisi watanzania la kunifanya nimwelewe hana hata mfano kuanza Monduli hadi alikpokuwa Waziri Mkuu . Hana na nasema hana . Tujenge hoja tuone ukweli upi matusi si faida wala msaada kwa a soon ditched Lowasa .

Inabidi uwe na jicho la Tatu. We unaishi Tanzania ipi!!!
 
MIKOA 31 WAZAMINI LAKI8.hi ni mujibu wa magazeti ya asubuhi morning star radio
 
Alichukua form wa kwanza wenzake waliochukua nyuma wameisha rudisha yeye bado tu, mala kafunga Morogoro mala mafuriko Arusha mala kazoa wadhamini Mbeya mala kafunika DSM, Hii yote inasaidia nini si kampeni hizo? NEC mnafanya nini? Au na nyie Lowassa kawawekeni mfukoni.

Mbwembwe zake zinachosha sasa.
 
Kwanza tuambie uko kambi gani kabla ya kutoa hizo shutuma maana watia nia wengi wanapiga kampeni
 
wadhamini wanaotakiwa na ccm ni 450 tu lakini lowasa ana laki 8. lengo la lowasa ni kukitisha chama chake ili kisikate jina lake na cc.
 
Toba!!
NEC - National Electorate Commission bado haijapuliza kipenga, hawahusiki.
NEC - National Executive Committee ya CCM, pia ni kikao cha kupiga kura tu, ila CC - Central Committee ya CCM nina imani itachukua hatua, hasa kwa fedha zinazo mwagwa na muhusika kupiti marafiki
 
laki 8 gawa kwa 20 mil idadi ya wanaotarajiwa kupiga kura zidisha kwa 100%


800000/20000000 ×100%= 4%

haaa pole yake....
 
Lowassa ni msanii nguli wa maagizo. CCM inataka jumla ya wadhamini 450 tu, tena nchi nzima, sasa hao laki moja wa nini?
Ukiangalia data za CCM morogoro mjini zinaonyesha wanachama wa CCM walio hai hawazidi Elfu 25, sasa hao Laki moja waliomdhamini Lowassa wametoka wapi?
Mkuu sio morogoro mjini. tunazungumzia mkoa wa morogoro. Pia hizo data zako za mwaka gani.Tuulize sie tuliopo huku.
 
Kumpa Nchi huyu Mmasai nchi ni sawa na kumuongezea Muda Mkwere kwa kuwa wote ni vijakazi vya Wanamtandao chini ya Kingmaker Rostam. ila naunga Mkono tuwaongezee Muda wana Mtandao mpaka akiliza wa Tz zikae sawa
 
Hivi mwaka huu mnapiga kura wenyewe? Maana naona kura za akina CCM tu zinawafanya mhisi ataweza tununua na sisi wengine
 
Back
Top Bottom