Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Mwenye ushahidi wa kuwa Lowassa ni Fisadi auweke hapa, tumalize mjadala huu, maana sasa kila siku Fisadi, ushahidi uwekwe hapa mtushawishi na sisi.
Hakuna ushahidi mkuu zaidi ni maneno ya vijiweni. Hata huku chamani nao hawana ushahidi. Hii ni ishara njema kuwa wanamchafua kwa maslahi yao binafsi.
 
Rais akitoka tena ccm basi Tanzania si sehemu salama ya kuishi,mbali ya tuhuma chache sana kwa mzee EL ila hilo genge la ccm ndio linanipa mashaka makubwa
Rais wa Tanzania Mh Kibaka ....................
Ha haaaaa!
 
Edward Ngoyai Lowassa namfananisha na John F Kennedy maana hakuna Rais wa Marekani aliekuwa anapendwa na Wamarekani kama John Kennedy, hata Obama haoni ndani. Lowassa anapendwa na Watanzania mwenyewe anapenda kusema mahaba
Wenzio wamekufuru kiasi cha kumfananisha na Mtume Muhammad SAW, soon utamfananisha na Mungu.

Njaa ni mbaya sana aisee
 
WATU KUPIGIKA NA SHS KUPOROMOKA NI MATUNDA YA RAIS GANI?
***BY NATURE WAMASAI SIO WAONGEAJI SANA BALI KAZI NDIO ZAIDI,ACHANA NA HAWA WAMASAI WA MOROGORO WALIOJAA DAR!***
/ii

Ndio maana wanaotaka lowasa awe rais marazote huwa hawana sababu zozote za msingi na hapo ndipo nguvu ya pesa inapojidhihirisha.
Mtaji wa lowasa ni masini wa aina tatu
1. Masikini wa kipato
2. Masikini wa akili (elimu ndogo)
3. Masikini wa taarifa zinazomhusu lowasa

WEWE UKO KUNDI GANI?
 


General summary kuhusu utumishi wa Lowassa


  • Mkurugenzi Mtendaji, AICC, 1989 - 1990
  • Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais (Sheria na mambo ya bunge), 1990 - 1993
  • Waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi, 1993 - 1995
  • Waziri wa nchi, makamu wa rais - mazingira na umaskini, 1997 - 2000
  • Waziri wa maji na mifugo, 2000 - 2005
  • Waziri Mkuu, 30 Desemba, 2005 - 7 Februari 2008


Yaani ni hivi tu?! Kwa uzoefu kumbe anazidiwa sana na JK, Mkapa, na Mwinyi walipopitishwa kugombea urais. Aliongoza wizara za hivi hivi tu ..
 
Wenzio wamekufuru kiasi cha kumfananisha na Mtume Muhammad SAW, soon utamfananisha na Mungu.

Njaa ni mbaya sana aisee


Lowassa ni kama Yesu au Mtume SAW...!!! He has all signs and characters of the greatest leaders around the World...!!
 
fanyen uchunguz kwenye vyuo vikuu vyote vya tz muone je lowasa wasomi wanamuelewa au kumkubali exactly NO,,wote wanaomsapoti lowasa ni wale mambumbumu wasio kuwa na uelewa,wenye maradhi ya kusahau haraka maana 2008-2015 sio miaka mingi yakutufanya kumsahau huyu lowasa
 
fanyen uchunguz kwenye vyuo vikuu vyote vya tz muone je lowasa wasomi wanamuelewa au kumkubali exactly NO,,wote wanaomsapoti lowasa ni wale mambumbumu wasio kuwa na uelewa,wenye maradhi ya kusahau haraka maana 2008-2015 sio miaka mingi yakutufanya kumsahau huyu lowasa

Mimi ni miongoni mwa Wasomi wa chuo kikuu Mlimani wa wakati ule ambapo ili uingie pale ni lazima uwe cream. Nimemaliza Engineering baada ya kutoka Ilboru. Kati ya wagombea wote wa CCM hakuna anyeweza kufikia uwezo wa Lowasa. Namuunga mkono Lowasa. Sasa wewe waomi unaotaka wewe ni wasomi gani? Hawa wa Div5? Wacha ulimbukeni wewe ngumbaru!
 
1435594773373.jpg
 
Hakika huyu ndie Messiah....!!!!

CCM CCM.....2015...Lowassa hakuna hata wa kumkaribia tu...!!!!

🙆🙆🙆🙆🙌🙌🙌🙌🙌
 
Mafuriko ya wadhamini jumla ya 212, 150 wa Ilala, Temeke na Kinondoni Jumamosi tar. 27 June 2015 ilikuwa hatariii Dar...!!!

Mungu sio Athuman...!!! 👋👋🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom