Lowassa ndiye ajaye baada ya Kikwete, hilo halina ubishi! Hakuna namna tunaweza kuacha kwenda na LOWASSA oct 2015.Low asa na ndoto zake, akiamka atakuta pesa imeisha na urahisi wanao wengine.
Lowassa ndiye ajaye baada ya Kikwete, hilo halina ubishi! Hakuna namna tunaweza kuacha kwenda na LOWASSA oct 2015.
Nendeni naye tu ili mmfariji katika matumaini yake.
Mnashida na hilo fisadi lenu.Mafuriko ya wadhamini jumla ya 212, 150 wa Ilala, Temeke na Kinondoni Jumamosi tar. 27 June 2015 ilikuwa hatariii Dar...!!!
Mungu sio Athuman...!!! 
Hakuna mungu anayeambatana na mafisadi...Tushaamua, ww ulie tu... UNAPINGANA NA MUNGU WW..!? Katubu haraka sana...!!!
Hakuna mungu anayeambatana na mafisadi...
Hakuna mungu anayeambatana na mafisadi...
Akili zngne bana hazna tofauti na kuku, yaani kupewa vijimaneno vitamu oh sijui safari ya matumaini, watu wanashangilia kwa vifijo na nderemo mmesahau safari ya maisha bora kwa kila mtz ilipofia? Watz kataeni Ccm hawana jipya la kuleta ktk inji hii.
Lowassa ni sawa na JOSHUA,
"Lowassa aliambiwa hivi, Je si mimi niliyekuamuru kuwa Uwe hodari na moyo wa ushujaa,usiogope wala usifadhaike, kwakuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako!"
Hakika Tanzania ya LEO tunaye Joshua wetu wa kututoa hapa tulipo na kutusogeza hatua kadhaa mbele zaidi!