Ramea
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,146
- 4,090
Laki 20??
Kwi Kwi Kwi!! Kwa Kwa Kwa!!
Laki 20??
Huyo jamaa yako anafanya kampeni na si kutafuta wadhamini.Nimejiuliza sana,
Mkuu wa wilaya ya kinondoni ni adui mkuu wa mh.LOWASSA,
Lakini ajabu yake ni kwamba ndipo lowssa alipofanikiwa kupata wadhamini wengi zaidi,inakisiwa ni zaidi ya laki 20 na ushee!
je mkuu huyo wa wilaya alishindwa kabisa kublock idadi ya wadhamini?
au NGUVU NA MATAKWA YA UMMA YALIUSHINDA UFEDHULI?
sipati jawabu!
Laki 20??
Nimejiuliza sana,

Huyo jamaa yako anafanya kampeni na si kutafuta wadhamini.
Wanatakiwa wadhamini 450 nchi nzima yeye anabeba watu mamilioni, kwani kampeni zimeanza?
Halafu akija katwa jina, utasikia oooooh kaonewa!
Mwambieni Play by the Rules!
We ni ndugu na mulugo?laki 20????????????
We ni sawa na nyau wengine woote waliopata zaidi ya 450 huwaoni.punguani weweHuyo jamaa yako anafanya kampeni na si kutafuta wadhamini.
Wanatakiwa wadhamini 450 nchi nzima yeye anabeba watu mamilioni, kwani kampeni zimeanza?
Halafu akija katwa jina, utasikia oooooh kaonewa!
Mwambieni Play by the Rules!
Huyo jamaa yako anafanya kampeni na si kutafuta wadhamini.
Wanatakiwa wadhamini 450 nchi nzima yeye anabeba watu mamilioni, kwani kampeni zimeanza?
Halafu akija katwa jina, utasikia oooooh kaonewa!
Mwambieni Play by the Rules!
Sasa mkuu wa wilaya ana uhusiano gani na wanachama wa chama na wanachofanya? Uzi wakishabiki huu
***ni washamini laki moja na ishirini na ushee! sorry for that audiancy!***
Kwani maccm wao wanataka utaratibu ufwatwe au kushinda hata kwa bao la mkono!
We ni sawa na nyau wengine woote waliopata zaidi ya 450 huwaoni.punguani wewe
Mpango wa kumkata jina nasikia usha wiva, na ushahidi ndo hiyo kampeni anayofanya badala ya kutafuta wadhamini.acha ushabiki maandazi....kati ya wagombea nani kapeleka wadhamini 450??? kila mmoja kazidisha
Nimejiuliza sana,
Mkuu wa wilaya ya kinondoni ni adui mkuu wa mh.LOWASSA,
Lakini ajabu yake ni kwamba ndipo lowssa alipofanikiwa kupata wadhamini wengi zaidi,inakisiwa ni zaidi ya laki 20 na ushee!
je mkuu huyo wa wilaya alishindwa kabisa kublock idadi ya wadhamini?
au NGUVU NA MATAKWA YA UMMA YALIUSHINDA UFEDHULI?
sipati jawabu!
Nimejiuliza sana,
Mkuu wa wilaya ya kinondoni ni adui mkuu wa mh.LOWASSA,
Lakini ajabu yake ni kwamba ndipo lowssa alipofanikiwa kupata wadhamini wengi zaidi,inakisiwa ni zaidi ya laki 20 na ushee!
je mkuu huyo wa wilaya alishindwa kabisa kublock idadi ya wadhamini?
au NGUVU NA MATAKWA YA UMMA YALIUSHINDA UFEDHULI?
sipati jawabu!
Watu walivyopigika na hii shilingi inavyoporomoka, wanafuata hela hawafuati mtu.
Ukweli juu ya lowasa utatuweka HURU!
Ukizingatia historia yake kiuongozi, elimu yake na matokeo ya madarasani, hoja zake, sauti yake, upangaji wa mada, maana za hotuba anazotoa, na hasa ukiangalia hotuba yake siku ya kutangaza nia utaona kuwa ana upeo mdogo sana na hana uelewa wa kutosha wa mambo. Ana chuki sana, mdomo sura na matendo yake viko mbalimbali, ana hasira sana, ni mtu wa kukurupuka sana bila kufanya utafiti, ni jeuri na ana kisasi sana. Utafiti umeonesha kuwa IQ ya lowasa ni below 30%. Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe wala sio watu.
ANAAMINI PESA NI KILA KITU KWAMBA INAWEZA KUWANUNUA WATZ NA AKAWA RAIS WAO.
Nahisi lowasa hata bange anavuta.
Jambazi sugu na fisadi papa na mgonjwa lowasa kamwe hawezi kuwa rais.....