Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Wakuu,
Msafara wa lowassa umepita sasa hivi hapa magomeni mataa wanatokea kariakoo wanaelekea ilala.
Mwanzoni nilizani kuna bodaboda kagongwa na gari maanaa group kubwa la madereva bodaboda wamepita kwa mbwembwe (walikuwa wakipiga honivna kuinua matairi ya mbele ya bodaboda zao).ilinilazimu nisogee nione vizuri ndipo nilipoona msafara wa magari nyumba ya hizo bodaboda.

Huyu mheshimiwa anatisha sana. Yuko vizuri.

Hao bodaboda wanawekewa mafuta na kupewa hela. Mikoani wanapewa buku kumi, huenda Dar zikawa nyingi zaidi.

Hamna la ajabu hapo, wanafuata hela tu. Wanaweza kukaa vijiweni wasipate mafuta na hizo hela!
 
Wakuu,
Msafara wa lowassa umepita sasa hivi hapa magomeni mataa wanatokea kariakoo wanaelekea ilala.
Mwanzoni nilizani kuna bodaboda kagongwa na gari maanaa group kubwa la madereva bodaboda wamepita kwa mbwembwe (walikuwa wakipiga honivna kuinua matairi ya mbele ya bodaboda zao).ilinilazimu nisogee nione vizuri ndipo nilipoona msafara wa magari nyumba ya hizo bodaboda.

Huyu mheshimiwa anatisha sana. Yuko vizuri.
Huyu jamaa ni soo!, ni noma!. Yaani asipopitishwa yeye ndani ya CCM, patachimbika!, patakuwa hapatoshi kabisa!, hakuliki wala hakulaliki mpaka jamaa atinge ikulu!.

Pasco
 
Wakuu,
Msafara wa lowassa umepita sasa hivi hapa magomeni mataa wanatokea kariakoo wanaelekea ilala.
Mwanzoni nilizani kuna bodaboda kagongwa na gari maanaa group kubwa la madereva bodaboda wamepita kwa mbwembwe (walikuwa wakipiga honivna kuinua matairi ya mbele ya bodaboda zao).ilinilazimu nisogee nione vizuri ndipo nilipoona msafara wa magari nyumba ya hizo bodaboda.

Huyu mheshimiwa anatisha sana. Yuko vizuri.

anatisha kivp na yuko vzur kvp.kiwizi au kiutendaji
 
hembu simulia vizuri hakuwa juu ya machela na ambulance pembeni?
 
SAHISHO:Team Lowassa,mheshimiwa sekondari alisoma Arusha Sec.sio Ilboru
 
Afya mbaya shauri ya manyama yasiyoiva na mitungi kwa wingi
 
Nadhani tokea 1995 Watanzania walinyimwa fursa ya Kuwa Na Kiongozi waliye mtaka.. But Leo fursa hiyo wameipata
 
Pale mlimani Eddo alisomea fani ipi? nataka kuihusisha na ushawishi mkubwa alionao, teh teh!!
 
Leo ni maporomoko ktk jiji la dsm na vionga vyake,ni mh lowassa,avunja record ya kudhaminiwa na wana ccm 212,150 mkoa wa dsm.
 
Kwanza Team Lowwasa ni waongo sana. Before 1990, shule za secondary za vipaji maalum zilikuwa ni PUGU na MINAKI! Shule hizo mbili ndio zilikuwa zinapokezana namba moja na namba mbili since independence up to early 1990s. Hii ina maana kwamba wakati LOWASSA anasoma ILBORU, it was just a normal Secondary school!!!
....bhahahahaaaaa hii inafaa kuitwa mafisadi supporters special junction....
 
Kusema akiwa rais tusiomtaka Lowassa amevunja katiba ya nchi na atatugawa huyu akipewa urais, ashtakiwe jamani
 
Kusema akiwa rais tusiomtaka tuhame ni dhahiri Lowassa amevunja katiba ya nchi na atatugawa huyu akipewa urais, ashtakiwe jamani
 
Nimejiuliza sana,
Mkuu wa wilaya ya kinondoni ni adui mkuu wa mh.LOWASSA,
Lakini ajabu yake ni kwamba ndipo lowssa alipofanikiwa kupata wadhamini wengi zaidi,inakisiwa ni zaidi ya laki 20 na ushee!
je mkuu huyo wa wilaya alishindwa kabisa kublock idadi ya wadhamini?
au NGUVU NA MATAKWA YA UMMA YALIUSHINDA UFEDHULI?
sipati jawabu!
 
Back
Top Bottom