Edward Lowassa special thread

huyo ni mwizi tu mida alitakiwa awe segerea na kazi ngumu
 
Reactions: DSN
Kwe hujafunzwa na mumeo nidhamu mwisho watu wa tigo watakujia na utakungutwa na manesi ukienda kujifungua
 

Na ndicho kipindi tulichoshudia idadi ya Masai ikiongezeka kwenye nafazi za U DC na U DED.
 
Prognosis ya lowassa baada ya matokeo ya CCM ni 0.009 hours ,atapigwa na stroke kama hajapata counselling vizuri
 
Lowassa akipita katika machujio haya,ndio nitaamini yeye ndio rais.

1)kamati ya nidhamu ya CCM.
2)kamati ya usalama ya CCM.

Lakini katika machujio hayo kukatwa ni lazima,kwa huyu
mtumia fedha/mtakatishaji fedha kwa maslai yake na kikundi cha mafisadi nyangumi.Huku akitaka kutumia ufakara uliokithiri wa watanzania .
 
Reactions: DSN
Kama mwanachama alijiunga asubuhi na jioni akamdhamini EL kuna shida,
anachonikera EL sarakasi nyingi sanaa wakati anajua hatapitishwa
 
Duh! inaelekea mods wa JF wanakuogopa kwelikweli, kwa mitusi yote hii bado wanakuvumilia tu!

CC.
Moderators of this Forum



 
Ndani ya ccm hakuna mwenye sifa za kugombea uraisi wa tanzania .

Sasa mkuu kama unajua hakuna mwenye sifa mbona unahaha sana na Lowassa kabla hata chama chake hakijampitisha?huu ni mchakato wa ndani wanapaswa wagombane wao kwa wao..nakuona unahaha na Lowassa hadi nkadhani we team yako ni ile inayobebwa ila bado inakula mabao tu...tulia..au ndo unataka kutuaminisha rais lazma atoke ccm😕
 
Kuna mambo yanafanyika Tanzania huwez kuamini inabidi ukubali tu
 
Kwa mtazamo wangu!.
Watanzania inabidi tubadilike, tuache kulalamika lalamika, tuache uvivu, tuchape kazi kwa pamoja tujenge nchi yetu, tuige mifano mizuri ya Malaysia, China, Phillipines, korea, Singapore nk. nchi ambazo miaka ya 1960's tulikuwa karibu sawa katika hatua za kimaendeleo, tujifunze kwa wenzetu hawa.
Wananchi wamepata maono ya mtu anayewafaa katika mapambano dhidi ya majanga makubwa ya kitaifa, Maradhi, Umasikini, Ujinga na Uongozi bora. Mh. Lowasa ni kiongozi bora, na hayo yalijidhihirisha wazi pindi alipokuwa waziri mkuu (2005). Kwani aliweza kupambana na viongozi wavivu katika idara mbalimbali za serikali, tuliona uwajibishwaji wa wazi wazi kwa viongozi wasio kuwa na uzalendo wa dhati katika kusimamia rasilimali na miradi mbali mbali ya kimaendeleo kwa jamii. Pia kiongozi huyu alikuwa mstari wa mbele katika kuipa ELIMU kipaumbele, maana pasipo ELIMU BORA maendeleo katika jamii yeyote, huwa duni sana.Maana Elimu Bora huleta maarifa, na Maarifa ndiyo humkomboa mwanadamu aweze kupambana na changamoto za kimazingira kufikia hali bora ya kimaisha.Mh. Lowasa, alisimamia kikamilifu ujenzi wa shule za kata, pia chuo kikuu cha Dodoma nk. Nchi yetu inahitaji kiongozi mwenye Uthubutu wa kufanya maamuzi magumu, ya kimaendeleo katika muda mfupi. Huo ni mtazamo wangu binafsi.
 
nimecheka sana ! hela haiwezi kununua kila kitu mkuu .
Sijui kwanini labda naona ni kushuka kwa maadili na rushwa na ufisadi vimechangia kutupotosha akili zetu na kutufanya tuamini Money can buy everything...kumbe wala kuna vitu havinunuliki kwa bei...
 
Nilisema humu ccm itakabiliwa na tatizo kubwa kuhusu Lowasa. Wakimpendekeza tu ujue anapeta. Haya mambo yanakuja kama ndoto. Tutaona mengi tusiyoyatarajia
 
Huyu mzee kaanza uhuni siku nyingi sana kwenye haya mambo ni mtu wa ajabu sana sijui anataka ikulu akafanye nini au kaficha nini ikulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…