Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,655
Yeye hakusali? Si alipewa hadi jina la Abdallah?
You mean Abdallah Lowassa? (nakumbuka tulishawahi kuwa na Jumanne Malecela)
Yeye hakusali? Si alipewa hadi jina la Abdallah?
hiz ni NEXT level lowassa kiboko wasiokubali watabaki kubweka tu ukweli ndo huo
Kuña jambo watu hawajui wala hawazingatii kuhusu
Wadhamini.
Wanaotakiwa ni 200 kwa kila mikoa 10, tu na hawa hawaandikishwi barabarani au kwenye mikutano ya hadhara Au ofisi ya chama .
Bali ni kazi ya timu maalumu ya mtia nia
Na ndiyo yanayohitajika Cc!!
Haya mengine ni siasa tu hayaendi popote unaweza kuandika yeyote hata kama
sio ccm ;;;;!!!,,!! Ili mradi unataka kutishha watu kwamba
unakibalika na unazo
.!)
Mwisho, Haku kitu hapa !
Labda ukawa
kama Arusha kuna wana magamba wengi hivo mbona jimbo lipo CHADEMA??
Lowassa anatumia njia ambayo sihalali niliona juzi kuna wanaccm wanasainishwa na bilakujuwa
Heshima sana wanajamvi.
Katika harakati za kusaka wadhamini team Lowassa Ndossy iliandaa maandamano ya Piki piki kutoka uwanja wa ndege wa KIA hadi Arusha mjini.Duru za kiusalama zililazimika kuzuia piki piki zote maeneo ya KIA hadi King'ori ili kuepusha msongamano wa magari usiokuwa wa lazima.
Taarifa zaidi zinadai kila Boda boda ililipwa Tsh 60,000/=@ na mafuta lita 10 kwaajili ya kufanikisha zoezi hilo.
Waendesha boda boda tayari walishalipwa fedha zao ili kuepusha madai ambayo wakati mwingine yanasababisha kuichafua kambi ya Edward Lowassa Ndossy.
Tayari kambi hiyo wanajindaa kudai kiasi cha fedha kwakuwa kazi iliyokusudiwa haikufanyika hata kwa 5%.
Zoezi la utoaji taarifa lilifanyika katika uwanja wa Msikiti Mkuu wa Bondeni ambao pia ulitumika kuchangisha fedha kwaajili ya ujenzi wa nyumba za msikiti.
Waislam wengi walisikika wakilalamika kwasababu shughuli hiyo ilisababisha usumbufu wakati wa swala ya adhuhuri kwakuwa wahudhuriaji walikuwa wakipiga makelele na waandaaji wa shughuli walitumia vyombo vyenye sauti kubwa.
Nawasilisha.
Huyu Jamaa ni King and master of Politics hapa Tz... hivi fikiria Arusha ni ngome kuu ya CDM... ila kwa Urais, kashajihakikishia anakomba wote... aisee huu mchezo EL anaujua...eeeh..!!
Lowasa ni kansa ya taifa hili,mungu tuepushe na hili janga
atapa-atapata
kama Arusha kuna wana magamba wengi hivo mbona jimbo lipo CHADEMA??
tafta handaki la kujifichia kabla chaguo la Mungu halijakukutaMamvi anahangaika bure uraisi ataishia kuusikilizia kwenye radio
ndio limeenda ccm hvyohapo kwenye red Mamvi nyumbani kwake ni monduli .Jimbo la Arusha mbunge wake ni mbunge wa CHADEMA .God blless Lema.
Tatizo hapo mkuu ni kwa nini Laigwanan aliwaingiza mjini watu aliowaahidi.Mkuu Jidu La Mabambasi inategemea na umbali usitake kumsingizia Laigwanan dhambi ya upendeleo.Kutoka KIA hadi Arusha ni kama 45 km.
Kuña jambo watu hawajui wala hawazingatii kuhusu
Wadhamini.
Wanaotakiwa ni 200 kwa kila mikoa 10, tu na hawa hawaandikishwi barabarani au kwenye mikutano ya hadhara Au ofisi ya chama .
Bali ni kazi ya timu maalumu ya mtia nia
Na ndiyo yanayohitajika Cc!!
Haya mengine ni siasa tu hayaendi popote unaweza kuandika yeyote hata kama
sio ccm ;;;;!!!,,!! Ili mradi unataka kutishha watu kwamba
unakibalika na unazo
.!)
Mwisho, Haku kitu hapa !
Labda ukawa
Wewe utakuwa mgeni au pengine hujui historia ya Laigwanan Mkuu si mmaasai kama anavyotaka kuaminisha umma.Kabila lake ni mmeru na ukoo wake halisi ni Ndossy.Ukoo wa Ndossy unapatika katika kabla la wameru na wachagga wa Machame.Lowassa alisoma Arusha Secondary na mmoja wa ndugu zangu alishangaa sana Lowassa hataki kutumia ukoo wake wakati shule alikuwa akiitwa Edward Ndossy na kujipachika jina la Lowassa.
Kifupi hakuna ukoo wa Lowassa katika jamii ya kimaasai.Jina la Elowassa maana yake mtu mwenye maringo,majivuno....Baba yake Edward Ndossy alikuwa tarishi enzi za mkoloni akifanya kazi maeneo ya masaini enzi hizo alikuwa akivaa kaptura na soksi na viatu kitu ambacho wamasai walitafsiri ni maringo au mbwembwe kwakuwa wao hawakuwa wakivaa viatu au nguo za kawaida bali rubega ndio wakampachika jina Elowassa (mwenye maringo).
sasa hasira za nini si msubiri huyo July 12 kwani mbali?hovyoooo watu wengine mnajishushia hadhi tu.hivi kama huyo EL angekua ametoa hiyo mifedha na kuendelea mpaka sasa kweli team mrmbe na wengine wangekosa point tena ya kuisambaza na whatsap.tatzo hamuwezi zuia mafuriko kwa mikono na kila siku mnakuja na ngonjera mpya,mtoa mada wenzio walisema EL anahonga mpaka million 500 kwa watu kama kuna diamond na wengine kwenye taasisi za utafiti wa uchaguzi mkuuu.nafkiri sasa tuanze kufikiri kwa kutumia kichwa maana hyo mihela ukiicalculate huenda inafika trillion 100 sasaa daaah kweli uongo mbaya haya kazen buti kuendelea kubwabwaja hovyo