TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,868
- 5,753
Atajuta kuaga Ubunge Monduli.Haroo acha hizoo!
Laigwanan lazima awe, kaamua hivyo!
Atajuta kuaga Ubunge Monduli.Haroo acha hizoo!
Laigwanan lazima awe, kaamua hivyo!
Historia haijengwi na jambo moja tu fahamu hilo.Hivi kweli umati wa watu anowakusanaya kwenye kudhaminiwa ndiyo utufanye tusahau kuwa ni fisadi na wanaomzunguka ni mafisadi na ni hatari kwa Tanzania ya kesho? Mimi bado sijashawishika kwa kweli naipenda Tanzania yangu na siko tayari kuona fisadi anakwenda kuwa msafi akiwa ndani, mmmmmmm.
Hata ukiamua kusahau mambo ya Richmond bado utajiuliza nchi kama hii,mtu hafanyi biashara anapata wapi ma million kama si mabillion haya?Hivi kweli umati wa watu anowakusanaya kwenye kudhaminiwa ndiyo utufanye tusahau kuwa ni fisadi na wanaomzunguka ni mafisadi na ni hatari kwa Tanzania ya kesho? Mimi bado sijashawishika kwa kweli naipenda Tanzania yangu na siko tayari kuona fisadi anakwenda kuwa msafi akiwa ndani, mmmmmmm.
By the way, kuna anayefahamu Arusha ('mujini') kuna wakazi wangapi?
Si kidogo fikiria Ndugu zetu waislam wapo katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan muda wa kwenda kuswali unawadia kinajitokeza kikundi cha watu wanaamua kuvuruga swala yao tena wanatumia vyombo vyenye sauti kubwa kiasi ndani ya msikiti hakuna masikilizano.
Viwanja vya mikutano vipo vingi Sheikh Amri Abeid,Kilombero........Huko kote kagoma kwenda kaamua maksudi kuvuruga swala za watu.
By the way, kuna anayefahamu Arusha ('mujini') kuna wakazi wangapi?
Hili mbona liko wazi. Lakini nadhani mwisho wake unakaribiia.lowasa anafanya kazi ya kununua watu ili waonekane wanampenda.
kuna ndugu yangu yuko mbeya yeye alikosa kosa 50 kwani alikuwa hana kadi ya ccm.
hilo liko wazi sema wanabisha kwa kuona aibu.
yaani ni sawa na mtu anayeku.nya mavi aafu anaficha uvungu wa kitanda na kubisha kuwa hajanya
Pesa za Lowassa zimewafanya watu kuwa mazezetaHata ukiamua kusahau mambo ya Richmond bado utajiuliza nchi kama hii,mtu hafanyi biashara anapata wapi ma million kama si mabillion haya?
Edward Lowassa Ngoyai Ndossy amepata wadhamini 120,338.Kanuni na taratibu za CCM ni wadhamini 450 tu ukiongeza wengine chama hakiwatambui.Kanuni hizo zina kwenda mbali zaidi kwamba mwanachama haruhusiwi kudhamini zaidi ya mtu mmoja.Kitendo cha Ndossy Lowassa kina kwenda kinyume na utaratibu wa chama kwakuwa ikitokezea wagombea watatu au wanne wakakiuka utaratibu wa chama kama Lowassa maana yake watia nia wengine watakosa wadhamini.Mkoa wa Arusha una wanachama hai wasiozidi elfu hamsini utashangaa idadi ya wadhamini waliomdhami Lowassa imetoka wapi kama si wanachama wa kununua kadi fast fasta.
Waislam wamelaani sana kitendo cha kupigiwa makelele wakati wa swala ya jioni.
Kama hivi sasa ni bilionea basi anataka utrioneaTutaona na kusikia mengi mwaka huu. Huyu mzee sijui anataka nini Ikulu jamani.