Ndio kwa hyo???
nasema nyie hamjui tu kile alichonacho rais ajae ila ukweli nikuwa ccm mtu pekee anayeungwa mkono na wananchi ni Lowassa pekee
Ndio kwa hyo???
Wana JF habari za uhakika nilizozipata ni kuwa Ndugu Lowassa amefanya booking ya Nyumba za wageni Mjini Dodoma ili wageni wake wa NEC na wale wa Halmashauri Kuu wasije wakakosa sehemu ya kulala. Kinachotokea sasa ni kuwa tarehe zilizopangwa kufanyika mikutano hiyo huwezi kupata nyumba za wageni Mjini Dodoma.
Hili tatizo la umbea na unafiki ni la kurithi au umekutanalo ukubwani?
Una uhakika na unachokinena.
Mara mgonjwa,fisadi,anahela nyingi mara anafanya biashara hatufai mara mwalimu alimkataa mara ni mtu wa visasi..leo tena nasikia ni mkabila...sitashangaa kesho nikisikia ni mweupe sana na anammvi nyingi hatufai...maana mmechoka sasa!
nasema nyie hamjui tu kile alichonacho rais ajae ila ukweli nikuwa ccm mtu pekee anayeungwa mkono na wananchi ni Lowassa pekee
Kama hayo unayoyasema ni kweli, basi huyo ndie aina ya rais tunaemtaka. Rais anayeweza kuwaza mambo yatakayoweza kutokea mbele na kuchukua hatua. Kwa mfano hapo amejua kuwa katika tarehe hizo mji wa Dodoma utakuwa na wageni wengi hivyo ili wajumbe wasipate shida ni bora awafanyie booking ili watakapokuja kulala waweze kulipa wenyewe.
NB: Kwani anayefanya booking ni razima ndie atakayelipa!!!!???
Eti nina mifugo kati ya 8000 mpaka 10000 wanatufanya watoto wadogo ehnMifugo tu hiyo....
haa haa mkuu mimi nina mtazamo tofauti na wako. kama mgombea hakupaswa kufanya hivo. hilo lilipaswa kufanywa na watu wa chama kwa maana ya uongozi. kilichofanyika ni rushwa ya dhahiri kabisa...
haa haa mkuu mimi nina mtazamo tofauti na wako. kama mgombea hakupaswa kufanya hivo. hilo lilipaswa kufanywa na watu wa chama kwa maana ya uongozi. kilichofanyika ni rushwa ya dhahiri kabisa...
Usimtetee mtu ambaye viashiria vyote vinaonyesha ni mtu mwovu.Mara mgonjwa,fisadi,anahela nyingi mara anafanya biashara hatufai mara mwalimu alimkataa mara ni mtu wa visasi..leo tena nasikia ni mkabila...sitashangaa kesho nikisikia ni mweupe sana na anammvi nyingi hatufai...maana mmechoka sasa!
Halafu jamaa mbona anakoroma eti hamna atakayekata jina lake? Anajiamini nini? au ccm yoote kaiweka mfukoni?
Eti nina mifugo kati ya 8000 mpaka 10000 wanatufanya watoto wadogo ehn
Usimtetee mtu ambaye viashiria vyote vinaonyesha ni mtu mwovu.
Kama ni ndugu yako basi ujue hafai.
Nenda KKKT Mbezi kanisani na uulize alivyo watapeli kiwanja.
Mtu wako ni dhahiri ana laana, maana kuliibia hadi kanisa kajipalia makaa ya moto.