Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Inasemekana mkoa wa Mbeya una wanachama 31,000 lakini Lowasa kafhaminiwa na wanachama 53,000 kwa hiyo hiyo nyongeza ya wanachama wa Ziada anajua yeye na team yake kuwa kawapata wapi.

Inasemekana pia mkoa wa iringa una wanachama 39,000 lakini Bwana Mkubwa kadhaminiwa na wanachama 60,000.

Nimeamini Kweli jasili haachi Vasili.

hearsay evidence is not admissible,try to come up with really facts
 
mh lowassa popote ulipo naomba upokee pongez zangu kama kijana na mtanzania pia na comrade wa chama cha mapinduzi pongez zangu ni kwa nyanja moja ya kukikuza chama kiujumla tangu uanzishe vuguvugu la kutaka kwenda ikulu chama chetu kimepata wanachama wengi

,pia hata wale waliotaka kuhama wamebaki kwa sababu yako ,pia watu wamerudisha imani kwa chama cha mapinduzi na kimepata nguvu kubwa mijini na vijijin kwa rika zote..pia umesaidia kupunguza nguvu ya wapinzani tunasema asante sana na mungu akutangulie katika harakati zako.......

.kwa ujumla chama kuanziakwenye media had midomoni kwa watu hakitoki kila siku kwa sababu yako ,haiwez pita siku kwenye kahawa ,vijiweni,ofisin,darasan,hospitalin,hata bungeni,wapinzani,na makanisani bila jina lako na chama kwa ujulma kutajwa na kuzungumza ..mungu ibariki tanzania mungu mbariki EDWARD NGOYAI LOWASSA.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Acha kupotosha wataka maendeleo kwa kutetea wezi na wasababisha umaskini. Mimi nikiona mtu kavalia jezi ya ccm hata akitaka msaada wowote simpi
 
Hata shetani ana wafuasi wengi sana na anatajwa makanisani, misikitini na kwenye kumbi za starehe. Hatushangai kwa Lowasa
 
Acha kupotosha wataka maendeleo kwa kutetea wezi na wasababisha umaskini. Mimi nikiona mtu kavalia jezi ya ccm hata akitaka msaada wowote simpi
Nashangaa siku hizi wezi wanaoata umaarufu mkubwa na wanatetewa kila kona. Ila najua hawa wanaowashabikia ni wanufaika wa wezi huo
 
mh lowassa popote ulipo naomba upokee pongez zangu kama kijana na mtanzania pia na comrade wa chama cha mapinduzi pongez zangu ni kwa nyanja moja ya kukikuza chama kiujumla tangu uanzishe vuguvugu la kutaka kwenda ikulu chama chetu kimepata wanachama wengi

,pia hata wale waliotaka kuhama wamebaki kwa sababu yako ,pia watu wamerudisha imani kwa chama cha mapinduzi na kimepata nguvu kubwa mijini na vijijin kwa rika zote..pia umesaidia kupunguza nguvu ya wapinzani tunasema asante sana na mungu akutangulie katika harakati zako.......

.kwa ujumla chama kuanziakwenye media had midomoni kwa watu hakitoki kila siku kwa sababu yako ,haiwez pita siku kwenye kahawa ,vijiweni,ofisin,darasan,hospitalin,hata bungeni,wapinzani,na makanisani bila jina lako na chama kwa ujulma kutajwa na kuzungumza ..mungu ibariki tanzania mungu mbariki EDWARD NGOYAI LOWASSA.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Hakika mpendwa...!!!

Na Mungu si JK, Nape wala Mangula... ni Mungu wa mbinguni, wa haki, upendo, amani na mwenye nguvu kuu...!!!

Na Lowassa mwana wa Mungu anakuwa Rais wa Tanzania very soon...!!!

Amen, amen nawaambia, kesheni mkiomba maana hajui saa wala muda mwana wa Mungu atakapo kuja...!!!
 
Lowassa kama Yesu, hadi US wanamwongelea, kwa positive talks and a man who can walk the talk...!!!
 
Mungu akikuinua juu, hata waje mashetani kama Lizaboni wanakufa wamesimama...

Sbb ni Moja tu, Lowassa ni Chaguo la Mungu, chaguo la Watanzania wengi sana...!!!
 
Heshima sana wanajamvi.

Katika harakati za kusaka wadhamini team Lowassa Ndossy iliandaa maandamano ya Piki piki kutoka uwanja wa ndege wa KIA hadi Arusha mjini.Duru za kiusalama zililazimika kuzuia piki piki zote maeneo ya KIA hadi King'ori ili kuepusha msongamano wa magari usiokuwa wa lazima.

Taarifa zaidi zinadai kila Boda boda ililipwa Tsh 60,000/=@ na mafuta lita 10 kwaajili ya kufanikisha zoezi hilo.

Waendesha boda boda tayari walishalipwa fedha zao ili kuepusha madai ambayo wakati mwingine yanasababisha kuichafua kambi ya Edward Lowassa Ndossy.

Tayari kambi hiyo wanajindaa kudai kiasi cha fedha kwakuwa kazi iliyokusudiwa haikufanyika hata kwa 5%.

Zoezi la utoaji taarifa lilifanyika katika uwanja wa Msikiti Mkuu wa Bondeni ambao pia ulitumika kuchangisha fedha kwaajili ya ujenzi wa nyumba za msikiti.

Waislam wengi walisikika wakilalamika kwasababu shughuli hiyo ilisababisha usumbufu wakati wa swala ya adhuhuri kwakuwa wahudhuriaji walikuwa wakipiga makelele na waandaaji wa shughuli walitumia vyombo vyenye sauti kubwa.

Nawasilisha.
 
Siamini kama hawa bodaboda wanapewa hizo pesa..mi nadhani ni uzushi...mwenye evidence alete hapA..mi nadhani huyu Lowassa wanampenda tu sio pesa zake...
 
Back
Top Bottom