Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa Ngoyai Ndossy amepata wadhamini 120,338.Kanuni na taratibu za CCM ni wadhamini 450 tu ukiongeza wengine chama hakiwatambui.Kanuni hizo zina kwenda mbali zaidi kwamba mwanachama haruhusiwi kudhamini zaidi ya mtu mmoja.Kitendo cha Ndossy Lowassa kina kwenda kinyume na utaratibu wa chama kwakuwa ikitokezea wagombea watatu au wanne wakakiuka utaratibu wa chama kama Lowassa maana yake watia nia wengine watakosa wadhamini.Mkoa wa Arusha una wanachama hai wasiozidi elfu hamsini utashangaa idadi ya wadhamini waliomdhami Lowassa imetoka wapi kama si wanachama wa kununua kadi fast fasta.
 
Wana CCM wengi wamerudi kwa Lowassa, baada ya kuwa na matumaini nae... so CC Arusha ingawa ni ngome ya CDM, ila wameapa, Urais ni EL tu... hawasikii, hawaoni, hawaelewi..hawaangalii chama, wanaangalia mtu...!!!

Arusha, siasa zimewaaingia haswa... wenyewe waangalia mtu, sio chama..!!!
 
Mtoto unauza sana kabaang, muongo, mmbea mkubwa kama Mpora wake za watu, bossi wako Slaa...!!

Unahangaika na wanaume wa CCM, sisi hatutakiz makombo, we never sleep with harlots..!!! ENDELEA KUUZA HUKO CDM, koma kushobokea wanaume wa CCM, nungayembe..!!!

Leo Lowassa kapata wadhamini 120,338 Arusha... mtakoma, ndio moto unazidi kuwaka...!!

hatutakiz-hututaki
 
Mmmmhhh...Ama kweli...!!!

Sina la kusema, mafuriko kweli kweli...!!!

Arusha leo, Lowassa atapa wadhamini 120,338 ikiwa ni record mpya kabisa, ya wadhamini wengi sana, ama kweli, NYUMBANI NI NYUMBANI...!!!

Bravo Wana CCM, bravo Watanzania...
Anatafuta kila mbinu kuishawishi kamati kuu isikate jina lake
 
HONGERA SANA,
nivema na ustaarabu hats wale ambao watachukizwa,kutoa hongera zao hapa hebu tuonyeshe positive minds
 
Atafuta kila mbinu kuishawishi kamati kuu isikate jina lake


Huyu Jamaa ni King and master of Politics hapa Tz... hivi fikiria Arusha ni ngome kuu ya CDM... ila kwa Urais, kashajihakikishia anakomba wote... aisee huu mchezo EL anaujua...eeeh..!!
 
Mwache apitishwe: kuvuja kwa pakacha. .. nafuu ya ukawa.
 
Wewe utakuwa mgeni au pengine hujui historia ya Laigwanan Mkuu si mmaasai kama anavyotaka kuaminisha umma.Kabila lake ni mmeru na ukoo wake halisi ni Ndossy.Ukoo wa Ndossy unapatika katika kabla la wameru na wachagga wa Machame.Lowassa alisoma Arusha Secondary na mmoja wa ndugu zangu alishangaa sana Lowassa hataki kutumia ukoo wake wakati shule alikuwa akiitwa Edward Ndossy na kujipachika jina la Lowassa.

Kifupi hakuna ukoo wa Lowassa katika jamii ya kimaasai.Jina la Elowassa maana yake mtu mwenye maringo,majivuno....Baba yake Edward Ndossy alikuwa tarishi enzi za mkoloni akifanya kazi maeneo ya masaini enzi hizo alikuwa akivaa kaptura na soksi na viatu kitu ambacho wamasai walitafsiri ni maringo au mbwembwe kwakuwa wao hawakuwa wakivaa viatu au nguo za kawaida bali rubega ndio wakampachika jina Elowassa (mwenye maringo).



Hii Ndossy ndio kwanza naiona leo
 
Mamvi anahangaika bure uraisi ataishia kuusikilizia kwenye radio
 
Mmmmhhh...Ama kweli...!!!

Sina la kusema, mafuriko kweli kweli...!!!

Arusha leo, Lowassa atapa wadhamini 120,338 ikiwa ni record mpya kabisa, ya wadhamini wengi sana, ama kweli, NYUMBANI NI NYUMBANI...!!!

Bravo Wana CCM, bravo Watanzania...
atapa-atapata
 
Mmmmhhh...Ama kweli...!!!

Sina la kusema, mafuriko kweli kweli...!!!

Arusha leo, Lowassa atapa wadhamini 120,338 ikiwa ni record mpya kabisa, ya wadhamini wengi sana, ama kweli, NYUMBANI NI NYUMBANI ...!!!

Bravo Wana CCM, bravo Watanzania...
hapo kwenye red Mamvi nyumbani kwake ni monduli .Jimbo la Arusha mbunge wake ni mbunge wa CHADEMA .God blless Lema.
 
Kuña jambo watu hawajui wala hawazingatii kuhusu
Wadhamini.

Wanaotakiwa ni 200 kwa kila mikoa 10, tu na hawa hawaandikishwi barabarani au kwenye mikutano ya hadhara Au ofisi ya chama .
Bali ni kazi ya timu maalumu ya mtia nia
Na ndiyo yanayohitajika Cc!!

Haya mengine ni siasa tu hayaendi popote unaweza kuandika yeyote hata kama
sio ccm ;;;;!!!,,!! Ili mradi unataka kutishha watu kwamba
unakibalika na unazo
.!)
Mwisho, Haku kitu hapa !
Labda ukawa
 
hiz ni NEXT level lowassa kiboko wasiokubali watabaki kubweka tu ukweli ndo huo
 
Huyu Jamaa ni King and master of Politics hapa Tz... hivi fikiria Arusha ni ngome kuu ya CDM... ila kwa Urais, kashajihakikishia anakomba wote... aisee huu mchezo EL anaujua...eeeh..!!
mbio za sakafuni huishia ukingoni hizi mbwembwe zina mwisho mamvi atazimia kwa presha
 
Back
Top Bottom