Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Tuangalie mapokezi ya Lowassa zanzibar na baadhi ya mikutano yake, Utagunduwa makada wenye kusifika kule Zanzibar ndio wapo Begani mwake si kwa mapokezi yake pale zanzibar na kwengineko katika jamhuri ya Mungano ,kwa mfano Borafia anaye sifika toka A-Z kule ZNZ ,Machano mwenye cheti cha Ubaharia ( waziri katika offisi ya Rais ) kuna yule mzee mwengine simuelewe kwa jina, Nilitegemea Ramadhani atapata ushirikiano mkubwa zaidi kutoka Zanzibar kwa kuwa ndio kwao lakini hali halisi haioneshi hivyo .

pumbavu huwez kuandika
huelewek;ficha upumbavu wako
 
lowasa anatajwa kuliko mtu yeyote ndani na nje ya ccm ,only tanzania
 
kwanza haueleweki kabisa. Naona umejichanganya na mfano wako hauko sawa. Jipange upya na kutuma uzi huu.
 
Waswahili ni watu wa ajabu sana,Na uswahili uswahili haunaga maendeleo hapa kidogo.
Leo Ccm chini ya Jakaya walishaunda familia ya kurisishana madaraka wao na lowassa ghafla Jk amembadilikia Lowassa sasa anatafuta mrithi mwingine atakaye kuja kulinda maslahi ya rizone na watu wake.
Mtu ataye hakikisha kabla ya kumaliza kipidi chake cha mwisho kama akiingia ikulu,Rizone atakuwa waziri au naibu.
Mtu ambae hata baada ya miaka kumi naye atamrishisha mwingine atakayeendeleza utamaduni wakurisisha vizazi vya nyoka ikulu
Hatukubali na haikubaliki duniani mpaka kwa mungu hii ni nchi yetu sote na siiiii...ya kifalme.
 
Tuangalie mapokezi ya Lowassa zanzibar na baadhi ya mikutano yake, Utagunduwa makada wenye kusifika kule Zanzibar ndio wapo Begani mwake si kwa mapokezi yake pale zanzibar na kwengineko katika jamhuri ya Mungano ,kwa mfano Borafia anaye sifika toka A-Z kule ZNZ ,Machano mwenye cheti cha Ubaharia ( waziri katika offisi ya Rais ) kuna yule mzee mwengine simuelewe kwa jina, Nilitegemea Ramadhani atapata ushirikiano mkubwa zaidi kutoka Zanzibar kwa kuwa ndio kwao lakini hali halisi haioneshi hivyo .
Sijui umeandika kimakunduchi au kama kiswahili vile! Tutafutie mkalimani anayejuwa hii lugha atueleweshe unataka kusema nini.
 
Wewe ndio haukubali sisi wengine tumekubali nchi yetu tukufu haiwezi kutawaliwa na fisadi.

Waswahili ni watu wa ajabu sana,Na uswahili uswahili haunaga maendeleo hapa kidogo.
Leo Ccm chini ya Jakaya walishaunda familia ya kurisishana madaraka wao na lowassa ghafla Jk amembadilikia Lowassa sasa anatafuta mrithi mwingine atakaye kuja kulinda maslahi ya rizone na watu wake.
Mtu ataye hakikisha kabla ya kumaliza kipidi chake cha mwisho kama akiingia ikulu,Rizone atakuwa waziri au naibu.
Mtu ambae hata baada ya miaka kumi naye atamrishisha mwingine atakayeendeleza utamaduni wakurisisha vizazi vya nyoka ikulu
Hatukubali na haikubaliki duniani mpaka kwa mungu hii ni nchi yetu sote na siiiii...ya kifalme.
 
Waswahili ni watu wa ajabu sana,Na uswahili uswahili haunaga maendeleo hapa kidogo.
Leo Ccm chini ya Jakaya walishaunda familia ya kurisishana madaraka wao na lowassa ghafla Jk amembadilikia Lowassa sasa anatafuta mrithi mwingine atakaye kuja kulinda maslahi ya rizone na watu wake.
Mtu ataye hakikisha kabla ya kumaliza kipidi chake cha mwisho kama akiingia ikulu,Rizone atakuwa waziri au naibu.
Mtu ambae hata baada ya miaka kumi naye atamrishisha mwingine atakayeendeleza utamaduni wakurisisha vizazi vya nyoka ikulu
Hatukubali na haikubaliki duniani mpaka kwa mungu hii ni nchi yetu sote na siiiii...ya kifalme.[/QUOT

Acha akome huyo Lowassa wako, tena akatwe kabisa kwenye CC, no sympathy to him.

Akijidanganya kuhamia ACT - wazalendo akamatwe na afunguliwe mashitaki ya Richmond na baadaye atupwe gerezani the rest of his life. Rais amependa iwe hivyo, Rais ndiye alpha na omega yuko juu ya katiba

Rasimu ya Warioba ilikuwa imetoa mworobaini wa hayo unayoyasema ambayo Kikwete (rais) anataka kufanya. Yeye Lowassa na ma-CCM menzake yakaichakachua rasimu ya Warioba ili tuendelea kuwa na Rais ambaye ni Mungu mtu.

Sasa ngoja akipate, bora angesimama akahesabiwa sasa anaondoka kwa aibu! Yaani mimi ninasuuzika kumtima JK anavyomtesa Lowassa sasa. Alitaka mwenyewe ache kisu kimkate ndiyo mshahara wa MNAFIQ!
 
Mmemlia mzee wa watu pesa sasa Kingunge lazima awaroge.. Mtalala na mapopobawa kila siku hahaha
 
"Eloi, Eloi, lema sabachthani?" which means "My God, my God, why have you abandoned me?" yaani mungu wangu wangu mbona umeniacha.....hahaha ..AMEKATWAAAAAAA....
 
Back
Top Bottom