Hahaha wamefanya Sport Betting ama Premier Betting?! Hahahaha hahahahaah unanivunja mbavu mkuu buku kwa milioni? Hahahahah leo wamekula kona, page yao ya fb iko dormant
Karibu UKAWA mh Lowasa! Lengo ni kung'oa chama chakavu, haijalishi silaha zitumikazo.
dah! Kapitia vipindi vigumu sana dunia haina wema tenda wema nenda zako usisubiri shukurani hilo ndo lililomkuta el.
Aiseee tukubali matokeo, ila Membe kuchaguliwa daaah