kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,547
Nadharia dhaifu sana hii. Unataka kusema kwamba CCM inachangiwa na watu wanaoendesha shughuli haramu?Zile millions za michango zilitokea huko, Luwasa alipotoka ccm naye akatoka, akarudi ccm baada kuona 'washirika wakila kibano'.....sasa kaamua kuchomoa baada kuona makinikia yamekwama bandarini
Ikiwa kutakuwa na uchaguzi!View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.
" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017
Kwa kutia dili mpaka za 5m/=Huyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa hili
Rejea matamshi ya Mwapachu wakati anarudi ccm !Nadharia dhaifu sana hii. Unataka kusema kwamba CCM inachangiwa na watu wanaoendesha shughuli haramu?
Inahusiana na ukurugenzi wake wa Acacia?Rejea matamshi ya Mwapachu wakati anarudi ccm !
Kumbe huijui kauli yake aliyoitoa wakati anatoka chadema kurudi ccm !Inahusiana na ukurugenzi wake wa Acacia?
Muda wake ulishapita mkuu, Tanzania inahitaji rais kijana mwenye nguvu na mchapa kazi..hii generation yao imeshapita nitashangaa sana kama cdm watampa kugombea tena 2020..ni mawazo yangu tu.Huyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa hili
Naikumbuka. inahusiana vipi na makinikia ya bandarini na ukurugenzi wake?Kumbe huijui kauli yake aliyoitoa wakati anatoka chadema kurudi ccm !
Wewe ujana kwenye nafasi ya Urais ni nini? Magufuli ni kijana?Muda wake ulishapita mkuu, Tanzania inahitaji rais kijana mwenye nguvu na mchapa kazi..hii generation yao imeshapita nitashangaa sana kama cdm watampa kugombea tena 2020..ni mawazo yangu tu.
Post sent using JamiiForums mobile app
Tambua kwanza ujinga unaopost hapa ndio uhoji kujitambua kwangu..wengi hapa hzo kengele ndio znaendesha vchwa vyenu, zngekuwa znakatwa ili akili ijue kufikir vzr ingefaa sana..!Hujitambui wewe ndio maana povu halikuishi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio bure hizi ni [emoji377] [emoji377] [emoji377]Hata alivyokaa, angekuwa mkuu wa viwanda angekuwa anarusha mikono kama anavua samaki.
Hajasema yeye ni Mgombea bali kasema atagombea na kugombea Urais ni mchakato. Sasa ni wapi amesema kwamba yeye kateuliwa kugombea na wala CHADEMA hawajafanya maandamano kumwambia yeye anafaa mwaka 2020 bali huo ni utashi wake.Hairusiwi mtu kujitangaza wakati chama hakijatoa ruksa watu kujinadi na huwezi tangaza kuwa utagombea wakati Hakuna kikao cha chama kilichokaa kikuteua.