Kwa hiyo hao ma sheikh wanavyoliwa wewe unaona sawa ???
sio sawa ila asitudanganye kama atawatoa!ni unafiki tu
Ngoja wakate, wananchi watakuwa wanajiuliza kwanini umeme unakatika wakati wa wagombea fulani tu na haukatika wakati wa hotuba za wagombea fulani tu huku wakifahamu shirika hilo ni mali yao wote.Umeme sasa babu wakuu wa intelegensia wanaweza kuamua kukata nch nzima.
Hatuhitaji kumuona ITV... Tunamuhitaji kumuona field.
Rais gani awe ka yai.
"Tanescrow" nao wameshakaa mkao wa kukata!
Hivi lowasa alisema atawatoa au atafuata proper channels kuona ni wapi kuna tatizo ,maana haiwezekani watu wakapaza Sauti zao kiasi hicho juu ya ma sheikh wale Wa uamsho
Anajifanya kutuhadaa waislamu eti atawaachia Mashekh ili tumchague!?
Kuzikwa na watu wengi sio kwenda peponi,utajaza uwanja,ukumbi na utashangiliwa sana tu ila Ikulu hutoenda maana mungu hajapanga bado
mexence Melo hata kama ukifuta thread hizo ila ukweli ndio huo!,unaegemea sana upande wa Ukawa kuliko vingine,Thread zote zinazoichafua CCM na wanachama wake mnaziacha ila anayosemwa Lowassa unaiondoa fasta!!
Mgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa leo atakuwa na kipindi maalum ITV saa 3 usiku kitakachokuwa kinazungumzia maisha yake,utendaji wake na ni nini atawafanyia wananchi akiingia Ikulu.
Edward Lowassa anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu Oktoba atazungumziwa katika kipindi kinachoitwa HUYU NDIYE LOWASSA.Kipindi hicho kinatayarishwa na mtangazaji mashuhuri Sam Mahela.
Kipindi hicho kitatangazwa muda huo huo kupitia Radio One kwa wale ambao hawatatazama Luninga.
Watanzania wanatakiwa kutokukosa kutazama kipindi hiki.
"Tanescrow" nao wameshakaa mkao wa kukata!
Mkuu mbona unazungumzia dini tena si wamekataza mambo ya udiniAnajifanya kutuhadaa waislamu eti atawaachia Mashekh ili tumchague!?
Kuzikwa na watu wengi sio kwenda peponi,utajaza uwanja,ukumbi na utashangiliwa sana tu ila Ikulu hutoenda maana mungu hajapanga bado