Edward Lowassa ndani ya ITV saa 3 usiku leo

Edward Lowassa ndani ya ITV saa 3 usiku leo

Shaweka jenereta karbu ata wakikata umem lazm tucheki mambo ayo my pressnt
 
Anajifanya kutuhadaa waislamu eti atawaachia Mashekh ili tumchague!?

Kuzikwa na watu wengi sio kwenda peponi,utajaza uwanja,ukumbi na utashangiliwa sana tu ila Ikulu hutoenda maana mungu hajapanga bado
 
Hakuna kukoksa na tanesco wasikate umeme.Master key ya kufungulia kifo cha ccm
 
Mgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa leo atakuwa na kipindi maalum ITV saa 3 usiku kitakachokuwa kinazungumzia maisha yake,utendaji wake na ni nini atawafanyia wananchi akiingia Ikulu.

Edward Lowassa anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu Oktoba atazungumziwa katika kipindi kinachoitwa HUYU NDIYE LOWASSA.Kipindi hicho kinatayarishwa na mtangazaji mashuhuri Sam Mahela.

Watanzania wanatakiwa kutokukosa kutazama kipindi hiki.

Sipangi kukosa kuangalia kipindiki hiko..
 
Anajifanya kutuhadaa waislamu eti atawaachia Mashekh ili tumchague!?

Kuzikwa na watu wengi sio kwenda peponi,utajaza uwanja,ukumbi na utashangiliwa sana tu ila Ikulu hutoenda maana mungu hajapanga bado
Kwani wewe uliyeongea na Mungu kapanga nani ataingia ikulu.
 
Hatuhitaji kumuona ITV... Tunamuhitaji kumuona field.

Rais gani awe ka yai.
 
Asante kwa taarifa. Tutakuwa na familia zetu mbele ya TV... kama hawatakata umeme kwa amri ya serikali
 
Anajifanya kutuhadaa waislamu eti atawaachia Mashekh ili tumchague!?

Kuzikwa na watu wengi sio kwenda peponi,utajaza uwanja,ukumbi na utashangiliwa sana tu ila Ikulu hutoenda maana mungu hajapanga bado

Kwa hiyo hao ma sheikh wanavyoliwa wewe unaona sawa ???
 
Back
Top Bottom