WayOut
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 752
- 173
Hii pic imenichekesha kweli katuni
Mkuu Molemo shukurani kwa taarifa. Ngoja nijiandae kumwangalia Rais wa moyo wako akizungumzaMgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa leo atakuwa na kipindi maalum ITV saa 3 usiku kitakachokuwa kinazungumzia maisha yake,utendaji wake na ni nini atawafanyia wananchi akiingia Ikulu.
Edward Lowassa anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu Oktoba atazungumziwa katika kipindi kinachoitwa HUYU NDIYE LOWASSA.Kipindi hicho kinatayarishwa na mtangazaji mashuhuri Sam Mahela.
Kipindi hicho kitatangazwa muda huo huo kupitia Radio One kwa wale ambao hawatatazama Luninga.
Watanzania wanatakiwa kutokukosa kutazama kipindi hiki.
Wataangalia sheria inasemaje kama kulikuwa na uonevu baina yao
Asante sana kwa taarifa. Tanesco nao wamepata habari sitoshangaa wakikata umeme Nchi nzima
Tanesco tafadhali muogopeni Mungu aliyewaumba. Kumbuka mtatoa hesabu siku moja mbele za Mungu mkuu, siku ile roho itakapotengana na miili yenu. Please tendeni haki na Mungu mkuu atawabariki.
chichiemu hawana adabu eti lowasa ndo nani ,lowasa waziri mkuu mstaafu ww hata udiwani tu huja wahi.
Asante sana kwa taarifa. Tanesco nao wamepata habari sitoshangaa wakikata umeme Nchi nzima