Edward Lowassa na Fredrick Sumaye ni Vyema Mkastaafu Siasa

Ramadhani Juma Abdallah

JF-Expert Member
Mar 18, 2017
390
250
Mkuu,
Hoja yako ilikuwa nzuri sana yaani wastaafu siasa sawa,

Ila sasa ulichoandika ni uharo mtupu kama sio matapishi,

Huyo unayemsema katimiza nini hasa kafanya mabadiliko yapi tofauti na kumlinda yule mvamia studio za watu,

Weee nae una chuki binafsi hakuna alicho fanya saingine wewe hata baba yako hujawahi mnunulia hata shati
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,778
2,000
Tatizo nyie Bavicha mtafikiria mnaishi kwenye sayari ya Mars. Kwa kasi ya maendeleo ya serikali ya awamu ya tano 2020 mtaisoma namba. Hicho chama chenu kama mmeshindwa kuiendesha kwa hata ruzuku mnayoipata serikalini watanzania wataawamini vipi kuwapa madaraka ?
Maendeleo gani mkuu hta bajeti yenu ya kwanza was a failure by almost 70% of its targets!!!

Nipe basi hayo maendeleo na mmi nianze kumpigia kampeni magu hiyo 2020
 
Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,179
2,000
Maendeleo gani mkuu hta bajeti yenu ya kwanza was a failure by almost 70% of its targets!!!

Nipe basi hayo maendeleo na mmi nianze kumpigia kampeni magu hiyo 2020
Rais Magufuli angekuwa Chadema leo mngetembea kifua mbele lakini kwa vile yupo CCM is a bad boy.
I think nyinyi Bavicha mpo allergic na CCM.
 
Nzinza edward

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
422
250
Wasaafu waende wapi rais wetu amesema kila mtu afanye kazi au unataka Kuwachaguli kazi, wacha unafiki waambie hao akina kinana, ndugai wasaafu, tumewaona akina warioba unatamba majukwani wakimwaga siasa za kampeni!
 
LuSilk

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
784
500
Mkuu na watu wengine sijui kwanni hawaelewi HAKUNA mabadiliko ndani ya CCM hayajawahi tokea na hayatowahi tokea tutaendelea kushuhudia bunge la NDIOOOO na bajeti hewa kila mwaka !!!!
Hasidi haoni jema,kila kitu kwake ni kibaya tu ! Una tatizo liitwalo predudice kichwani mwako !
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,778
2,000
Rais Magufuli angekuwa Chadema leo mngetembea kifua mbele lakini kwa vile yupo CCM is a bad boy.
I think nyinyi Bavicha mpo allergic na CCM.
U cant be serious!!! I dont think chadema wangefanyia ukatili wenzao na kuwaziba mdomo maana chadema pia wameonja makali ya kuteswa na nguvu ya dola sioni wapi wangewafanyia hivo wenzao!!!!

Anyway mkuu kila mtu afanye kazi yake magufuli apige kazi upinzani pia upige kazi ya kusimamia na kukosoa serikali ndio ipo hivo dunia nzima hta bush na trump wamesakamwa sana na wananchi ila mbona hawakufungia vyama vya siasa ama kuteka watu??

Kma nlivyosema serikali ifanye kazi yake ila mnakosea sana mnapoanza kukimbizana na wapinzani au wakosoaji!!! Maana hta mkinyamazisha hamtowanyamazisha wote na vilevile huwezi lazimisha watu kukupenda no wonder kwa wenzangu wakristu Yesu amesambaa dunia nzima ila ukienda kwao huko israel wamemkataa ila mbona hajashusha malaika wawafutilie mbali hao wayahudi!!!!???? Think
 
Metsada

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
1,456
2,000
Kwanza natanguliza shukrani zangu kwa mchango na juhudi zenu kubwa katika uchaguzi mkuu wa 2015.
Baada ya uchaguzi mkuu sasa ni miaka 2 na mabadiliko mliyokuwa mkitaka Mheshimiwa Rais Magufuli ameyaleta kwa kasi na umakini wa hali ya juu.
Nyie wote kama mawaziri wakuu wastaafu ni vizuri kwa kulinda legacy yenu kwa kustaafu na kujiunga na club ya mawaziri wastaafu kina Pinda,Malecela,Warioba,Msuya na Salim.
Mchango na ushauri wenu ni muhimu kwa serikali ya awamu ya tano. Kuna msemo wa kiingereza usemao If you cant beat him join him.
Walishastaafu Kimsingi Maana They Have No Impact
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,778
2,000
Hasidi haoni jema,kila kitu kwake ni kibaya tu ! Una tatizo liitwalo predudice kichwani mwako !
Kuna mema mfano kupunguza gharama za serikali mf posho na safari za nje pia nmesifia sana sera ya kurudisha nidhamu kwa utumishi wa umma thats gud hta wapinzani tumefurahi however ukikosolewa suluhisho sio kuanza kukimbizana na anayekukosoa ila ujiangalie wapi umekosea ili ujirekebishe.

Kazi ya upinzani ni kusimamia na kukosoa serikali kwa kutoa sera mbadala mfano tuliwambia kuepuka bajeti hewa mlete bajeti ndogo mnayiweza kumudu hta kma itakuwa ya trillion 10 pekee ila itakuwa reaslistic pia tukasema kuliko kuwekeza kwenye madawati kwanni msiwezeke kwenye walimu wanaofundisha ili tuone ufanisi kwa watoto wanaomaliza shule za serikali ssa hapo kosa letu ni lipi??? Je mtu ambaye hakutakii mema atakupa hoja mbadala??? Upinzani sio uadui so mtuskilize na mfanyie kazi hoja zetu maana taifa ni letu sote
 
TAWA

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,665
2,000
Mtoa post unaumwa kideri cha kuku.
Unafahamu umri wa mzee Lowassa na umri halisi wa shein?
Unafahamu umri halisi wa Sumaye na Kinana?
Ukinipa jibu nitakusaidia kuwashauri
 
Metsada

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
1,456
2,000
U cant be serious!!! I dont think chadema wangefanyia ukatili wenzao na kuwaziba mdomo maana chadema pia wameonja makali ya kuteswa na nguvu ya dola sioni wapi wangewafanyia hivo wenzao!!!!

Anyway mkuu kila mtu afanye kazi yake magufuli apige kazi upinzani pia upige kazi ya kusimamia na kukosoa serikali ndio ipo hivo dunia nzima hta bush na trump wamesakamwa sana na wananchi ila mbona hawakufungia vyama vya siasa ama kuteka watu??

Kma nlivyosema serikali ifanye kazi yake ila mnakosea sana mnapoanza kukimbizana na wapinzani au wakosoaji!!! Maana hta mkinyamazisha hamtowanyamazisha wote na vilevile huwezi lazimisha watu kukupenda no wonder kwa wenzangu wakristu Yesu amesambaa dunia nzima ila ukienda kwao huko israel wamemkataa ila mbona hajashusha malaika wawafutilie mbali hao wayahudi!!!!???? Think
Trump na Bush HAWAKUTEKA WALA KUUA WATU??? AISEE WEWE CJUI UNAISHI DUNIA IPI - CIA NA FBI WAMEKUWA WAKITEKA WATU NA KUWAWEKA MAGEREZA YANAYOFAHAMIKA NA YASIYOFAHAMIKA NA KIBALI HUTOLEWA NA RAIS WA MAREKANI: PIA WAMEUA WATU KIBAO WASIO NA HATIA HUKO IRAQ, YEMEN, SYRIA, Sudan etc.... Labda Kama Unawaweka Wanadamu Katika Madaraja, Ila Tambua Kwamba Hakuna Nchi Ambayo Imetesa na Kuua Watu Wasio na Hatia (Hawafikishwi Mahakamani) Kama Marekani. Ushahidi Upo na Dunia Yote INAJUA. Kwa Uchache, soma hapa:

1. US military officials: Trump-ordered raid in Yemen that killed US Navy SEAL was approved 'without sufficient intelligence'

2. Atrocities Committed by U.S.-Trained Iraqi Forces — Again

3. essays/us_atrocities.md at master · dessalines/essays · GitHub (Orodha ya Mauaji Yaliyofanywa na Marekani)

3. 'Most tortured man in Guantanamo Bay' freed without charge (Watu WANATESWA GUANTANAMO na Kuachiwa Bila Kushtakiwa).
 
Sasa hao si maadui wa taifa lets say nagaidi naongelea ulishwahi skia mwenyekiti wa democrats katoweka sijui kafungwa gerezani au mikutano imezuiwa???? Be serious upinzani na magazeti yalimkashifu sana bush ila hakuwahi kukifuta iwe gazeti au tv au chama cha upinzani je magufuli kafikia stage ya kutengenezewa video clip kavalishwa shera anaolewa??? Au kurushiwa viatu jukwaani?????

Demokrasia ni muhim ukiwabana watu wakikosa pa kuongelea ndo utavuna kukosolewa kwenye kila kitu maana watu wana kinyongo mno
 
Maadui wa Taifa walifikishwa mahakama ipi? acheni double standards na kusifia upuuzi unafanywa na nchi zingine huku mki struggle kutafuta vimifano vya kukosoa viongozi wenu. Heri Yule ATAKAYE KUPUUZA. Uwe Mwenyekiti wa Chama cha Siasa au Mwenyekiti wa Familia yako UTAKAMATWA TU IF UMEVUNJA SHERIA: TANZANIA SIO BANANA REPUBLIC - INA SHERIA ZAKE NA SHERIA ZITATEKELEZWA BILA KUJALI CHEO CHA MTU. Kama Vipi Nenda Kaishi Marekani ili UTUKANE KILA MTU, UANDAMANE HADI OFISINI KWA TRUMP, Na Hutaguswa - Nenda Tu Ukafanye Hayo Kule USA
 
Mahakama ipi??? Ssa mbona huoni tofauti saanane kafikishwa mahakama ipi??? Au dr mvungi au mawazo???? Be serious hao sio wanasiasa ambao wako guantanamano mie naongelea wamarekani wenzao waliopo democrats wanaoipinga sana serikali ya mrekani from trump to bush mbona hawakuandamwa??? Au kufutiwa mikutano au magazeti kufungiwa??

Be serious mkuu kwenye mambo kma haya kuanza kupotezea uhuni mnaofanyia watanzania ksa kigezo cha guantanamo huku mnsahau ni marekani hyo hyo siku trump anaapishwa waliruhusiwa kuandamana hadi kwenye viwanja alipoapishiwa!!!

U guys need to change otherwise serikali itawashinda
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,340
2,000
Mkuu,
Hoja yako ilikuwa nzuri sana yaani wastaafu siasa sawa,

Ila sasa ulichoandika ni uharo mtupu kama sio matapishi,

Huyo unayemsema katimiza nini hasa kafanya mabadiliko yapi tofauti na kumlinda yule mvamia studio za watu,

Acha wivu ulimuona anaingia au anavamia!?

Acheni uzushi wa kutaka iwe mnavyotaka
 
Metsada

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
1,456
2,000
Mahakama ipi??? Ssa mbona huoni tofauti saanane kafikishwa mahakama ipi??? Au dr mvungi au mawazo???? Be serious hao sio wanasiasa ambao wako guantanamano mie naongelea wamarekani wenzao waliopo democrats wanaoipinga sana serikali ya mrekani from trump to bush mbona hawakuandamwa??? Au kufutiwa mikutano au magazeti kufungiwa??

Be serious mkuu kwenye mambo kma haya kuanza kupotezea uhuni mnaofanyia watanzania ksa kigezo cha guantanamo huku mnsahau ni marekani hyo hyo siku trump anaapishwa waliruhusiwa kuandamana hadi kwenye viwanja alipoapishiwa!!!

U guys need to change otherwise serikali itawashinda
ANDAMANA TU NA WEWE: WAIGE WAMAREKANI
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom