Waziri mkuu aliyeishi kwa Amani Uongozini ni mzee Sumaye tu wengine waliandamwa na misukosuko, mfano;

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,131
Mzee Rashid Mfaume Kawawa kila udhaifu ukitokea alisingiziwa yeye

Sokoine inaeleweka

Msuya aliitwa fisadi aliyemiliki Rombo Investment

Salim aliitwa fisadi aliyemiliki Mwanamboka

Malecela alidaiwa kuuza viwanja vya jimkana😀 kwa akina Sheraton

Lowassa alijiuzulu

Pinda alitaka kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye na akina Joshua Nassary, Filikunjombe na Zitto Kabwe

Hata Mzee Warioba Baraza la Mawaziri lilivunjwa na Mzee Rukhsa dadeki Sema tu Mjomba ni mama

Hivyo nazidi kumtia moyo mpendwa wetu Kassim Majaliwa achape Kazi kwani figusu kwenye hicho cheo ziko kitambo sana kama kelele za Chura mtoni

Nawatakia Sabato Njema 😀
 
Sasa ndio makondakta ampige biti Majaliwa kweli? Wamekosa mtu wa kumpigisha biti Majaliwa hadi wampe makondakta?
Ndivyo ilivyo hata majumbani mwetu, familia imelala unono, kuna mnyama na mnyororo shingoni anazunguka ndani ya fence overnight
 
Sasa ndio makondakta ampige biti Majaliwa kweli? Wamekosa mtu wa kumpigisha biti Majaliwa hadi wampe makondakta?
alitumwa na chama...

sema namna ya uwasilishaji wa taarifa wa makonda ndiyo changamoto.

hata zile drama za drugs.. ilikuwa project ya jiwe kudhibiti wapinzani wake..
 
Mzee Rashid Mfaume Kawawa kila udhaifu ukitokea alisingiziwa yeye

Sokoine inaeleweka

Msuya aliitwa fisadi aliyemiliki Rombo Investment

Salim aliitwa fisadi aliyemiliki Mwanamboka

Malecela alidaiwa kuuza viwanja vya jimkana😀 kwa akina Sheraton

Lowassa alijiuzulu

Pinda alitaka kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye na akina Joshua Nassary, Filikunjombe na Zitto Kabwe

Hata Mzee Warioba Baraza la Mawaziri lilivunjwa na Mzee Rukhsa dadeki Sema tu Mjomba ni mama

Hivyo nazidi kumtia moyo mpendwa wetu Kassim Majaliwa achape Kazi kwani figusu kwenye hicho cheo ziko kitambo sana kama kelele za Chura mtoni

Nawatakia Sabato Njema 😀
Sumaye alikuja kupata misukoko alipo weka nia.Mali zake (aridhi) zilipelekewa moto
 
Back
Top Bottom