Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Kwanza natanguliza shukrani zangu kwa mchango na juhudi zenu kubwa katika uchaguzi mkuu wa 2015.
Baada ya uchaguzi mkuu sasa ni miaka 2 na mabadiliko mliyokuwa mkitaka Mheshimiwa Rais Magufuli ameyaleta kwa kasi na umakini wa hali ya juu.
Nyie wote kama mawaziri wakuu wastaafu ni vizuri kwa kulinda legacy yenu kwa kustaafu na kujiunga na club ya mawaziri wastaafu kina Pinda,Malecela,Warioba,Msuya na Salim.
Mchango na ushauri wenu ni muhimu kwa serikali ya awamu ya tano. Kuna msemo wa kiingereza usemao If you cant beat him join him.