Metsada
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,456
- 865
wewe jamaa ni mbishi sana. basi mimi naishia hapa. hizo sheria hujazisoma vizuri - unakurupuka tu. They are legally allowed to confiscate electronic devices for investigations. Mimi naishia hapa, uwe na siku njema.Dah mkuu unanishangaza sana ssa sirveillance inahusiana nini na watu kukamatwa na kutekwa wanapoikosoa serikali??? Hizo sheria zote sijaona hata moja inayoelekeza kuwa "vyombo vya usalama wanaweza kuchukua vifaa vyako vya kieletroniki kwa ajili ya uchunguzi muda wowote"!!!!???? Kma ambavyo cybercrime act inasema ya hapa tz au cjui kumpa waziri mamlaka ya kuamua lipi ni kosa ama lah!!! Thats so funny hao wanapititia tu mitandaoni ila sijaona extreme measures kwa watumiaji na pia makosa hayo yameidhinishwa wazi kabisa sio hapa kwetu wanasema tu "ponografia ni makosa" ila hawaelezi content zote je ukivaa kimini tu haiwezi tafsiriwa ponografia??? Hamuoni mnaweka mashimo mengi ili mkamate watu kibao manaa mnajua mkiwa specific hamtamkamata mtu!!!!!! Afu wwe unakuja kusifia hapa eti mahakama ilisema ipo sawa tu!! Mahakama hii hii ambayo jaji mkuu anateuliwa na mwenyekiti wa chama kilichoipitisha muswada huo???? Anyway mahakama yenyewe inaangalia legality yake kisheria ila haiwezi sema eti kma sheria ni kandamizi au lah anyway labda upitie pia uchambuzi wa sheria hyo mbovu kabisa humu JF pia ilijadiliwa
Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?
Tuwe wa kweli kabisa freedom of speech kwa nchi za wenzetu upo vizuri zaidi kuna nyimbo hadi wamametungia kumkashifu trump huko youtube na kma unavyoona maandamano yapo nchi nzima ila ushawahi ona viongozi wa maandamano wanakamatwa??? Au mikutano ya siasa inazuiwa au mtu kakamatwa kisa ameandika kwenye twitter page "YOU ARE NOT MY PRESIDENT" ila dare kuandika hivo tanzania kama hujakamatwa eti kwa uchochezi!!!! Then wwe unajustify kwa kugoogle surveillance laws ili kujustify uhuni wa serikali yako!!