Edward Lowassa na Fredrick Sumaye ni Vyema Mkastaafu Siasa

ANDAMANA TU NA WEWE: WAIGE WAMAREKANI
Sio kuiga wamarekani issue ni kuwa katiba ikiruhusu kitu sharti mkisimamie ssa katiba inaruhusu uhuru wa maoni kwenye ibara ya 18 ya katiba yetu!! Ssa iweje wwe hutaki serikali yako ikosolewe???? Eti tuige wamarekani ssa kwani wamarekani ndio waliwaambia mtunge katiba inayoruhusu kukosolewa ???? Shame on u
 
Kwanza natanguliza shukrani zangu kwa mchango na juhudi zenu kubwa katika uchaguzi mkuu wa 2015.
Baada ya uchaguzi mkuu sasa ni miaka 2 na mabadiliko mliyokuwa mkitaka Mheshimiwa Rais Magufuli ameyaleta kwa kasi na umakini wa hali ya juu.
Nyie wote kama mawaziri wakuu wastaafu ni vizuri kwa kulinda legacy yenu kwa kustaafu na kujiunga na club ya mawaziri wastaafu kina Pinda,Malecela,Warioba,Msuya na Salim.
Mchango na ushauri wenu ni muhimu kwa serikali ya awamu ya tano. Kuna msemo wa kiingereza usemao If you cant beat him join him.
Umetumwa?kama umetumwa kamwambie aliye kutuma kuwa umegonga mwamba
....BASHITE MKUBWA.....
 
Kamwambieni wasira na warioba kwanza,hao wameanza siasa kabla ya sumaye na lowasa, nadhani akina lowasa na sumaye walikuwa bado wanasoma wakati warioba na wasira wanaanza siasa
47a85869b3be46113fbd3a57e125ad49.jpg
 
Sio kuiga wamarekani issue ni kuwa katiba ikiruhusu kitu sharti mkisimamie ssa katiba inaruhusu uhuru wa maoni kwenye ibara ya 18 ya katiba yetu!! Ssa iweje wwe hutaki serikali yako ikosolewe???? Eti tuige wamarekani ssa kwani wamarekani ndio waliwaambia mtunge katiba inayoruhusu kukosolewa ???? Shame on u
Nani amekwambia umekatazwa kukosoa? wewe hapa unavyokosoa kuna mtu amekukamata au kukuteka? wangapi wanakosoa na hata kutukana lakini hawajawai kukamatwa au kutekwa? Kikatiba, kuna haki na wajibu - kosoa sana tu ila utambue mipaka yako. Hakuna ABSOLUTISM katika Haki; hata kama zipo Kikatiba.
 
Hapa mkuu ni ID feki ndio maana tunafunguka ila ukikosoa hadharani kama lisu utaishia kulala selo mpaka ukome!!

Hivi unajua watanzania wangapi wako jela kwa makosa ya cybercrime kisa tu wamekosoa serikali ya magufuli kule facebook na instargram!!!!
We huoni nape akishia kutishiwa bastola...... lowasa kakatazwa kufanya mikutano ya kujenga chama....... saa nane kapotezwa..... na hata magufuli kafungia bunge live then unakuja hapa unasema UHURU WA KUTOA MAONI UPO!!!!! U cant be serious otherwise unanufaika na chama tawala
 
Uhuru wa kutoa mawazo bado upo sana tu Tanzania ndio maana TCRA haijawai kuzifungia facebook, twitter, etc (Uganda, Gambia, Ethiopia waliwai kufanya haya)... Mimi nipo facebook na ninaona watu wengi sana na ninaowafahamu wanaikosoa serikali kila siku; nipo nao kitaa na hawajakamatwa wala kutekwa. nakupa tu ushauri - nenda huko gerezani kawatembelee hao unaosema wamekamatwa kwa kukosoa serikali mtandaoni then omba file za kesi zao uone waliyo yaandika katika ukosoaji wao then urudi hapa utueleze if hayo ni maoni au matusi au uzandiki. Tatizo watanzania mnadhani uhuru wa maoni ni uhuru wa kutukana, kuchochea, na kuvujisha yasiyotakiwa kuvujishwa. Kwa Mujibu wa TCRA, wanaotumia simu ni zaidi ya million 20 - tuchukulie nusu yao yaani milion 10 wana smartphones na hivyo wako mtandaoni, Je hao waliokamatwa ni asilimia ngapi ya watanzania wanaotumia mtandao? So usi generalise kwamba hakuna uhuru wa maoni Tanzania, uhuru upo na kama ambavyo tuna haki ya kutoa maoni, pia tuna wajibu wa kuheshimu sheria za Nchi - ukizivunja utashugulikiwa tu bila kujali wewe ni mweupe, mweusi, ukawa, ccm, usie na chama... etc .. Mwisho, ni kweli ndugu yetu Ben Saanane amepotea, Je unao ushahidi usio wa kutiliwa shaka kwamba Serikali inahusika na kupotea huko? Tusiwe Wepesi wa Kutuhumu. Ni kwa vile huyo anafahamika, umeshawai kufika polisi ukaomba upewe takwimu za uhalifu wanaofanyiana raia kwa raia including kutekana na kudhuriana??? So usidhani kwamba kila anayetekwa au kupotea basi Serikali inahusika - WRONG
 
Duh mkuu tuwe wakweli kabisa sheria ya cybercrime imepingwa kimataifa mpaka imesababisha tumefungiwa misaada then wwe unaona iko very right??? Waliokamatwa wako wengi sana kulingana na reported cases ukweli usemwe kuwa katika wakati ambao watu wanaogopa kukosoa serikali ni sasa maana wote wanaokosoa wanaface it rough!!! Hata jamiiforuna tu walitaka kupata IDs zetu ssa kwanni watake ID zetu zote??? Ili watufanyeje???? Wanaogopa nni??? Hata magwiji wa habari kma jenerali ulimwengu wamesema tumerudi miaka 50 nyuma then wwe unasema everythin is ok?? Je hao wa chama chako kina bashe,nyalandu,nape,masele ina maana wanadanganya ila wwe ndio uko right??? Unakumbuka issue ya kutangaza njaa wakuu wa wilaya walipobanwa kuwa wasitangaze!!! Je unaona hyo ni sawa kabisa na ibara ya 18?????

Kuhusu utekaji wabunge walikuwa very clear kamati iundwe au hta ile ya ulinzi ichunguze basi ila kwa maelekezo ya magufuli nyie mkakataa ssa kma waziri mstaafu anadiriki kusema usalama wa taifa huteka watu hta bashe na zitto walirudia kuhusu utekaji wa saanane then who are u kukataaa?? Wao walisema wana ushahidi na wakataka waitwe wahojiwe watoe ushahidi ??? Kma ni wahongo kwanni msifungue kamati ili wakaumbuke na uongo wao??? Ukimya wenu na uoga wenu umetufanya tuamini kuwa ni kweli usalama wa taifa una mkono wake !!!

Nyie wapeni watu space mfano sheria kandamizi za habari sijui mitandaoni na hta mikutano ya kisiasa legezeni kamba muone kma mtakosolewa humu!! Ssa watu mnawabana wasifanye siasa bado mitandaoni mnabana haya bado vyombo vya habari mnavifuta kma mawio je unategemea hasira yao na uchungu wautolee wapi......angalieni chanzo mkitreat ila mkianza kimbizana na sisi bila ya kuangalia chanzo mtaishia kulialia humu kuwa tunakosoa kila kitu
 
Sitakujibu kwa mihemko ila kuhusu cybercrime act - nakupa ushauri nenda katafute sheria za makosa mtandaoni za nchi zote duniani na hasa nchi zinazofuata mfumo wa sheria za Uingereza (common law) then angalia makosa (offences) yaliyowekwa kwenye sheria hizo - yote yanafanana ikiwemo hata sheria za UK. Kinachotofautiana ni adhabu. So Usikaririshwe kwamba sheria ya makosa ya mtandaoni TZ haijawai kuwepo duniani- ipo sana tu tena hata Nchi za EU ambako mnawaona wana sheria nzuri, wana sheria kali sana za makosa ya mtandaoni (trust me). Aidha, sheria hiyo imeshapingwa Mahakama Kuu But Mahakama Ilikataa Kuibatilisha Sheria hiyo na ikasema ipo Sawa isipokua ilielekeza kifungu kimoja tu kirekebishwe ambacho kinamhusu DPP (Hakihusu Offences). So wewe tii tu sheria, huna namna.

Kuhusu ID za JF kutakiwa - usipende kukuza mambo na kusema ID za watu wote JF zilitakiwa, si kweli. Ni za watu waliovunja sheria. Ukivunja sheria utatafutwa tu na utapatikana.

Kuhusu Saanane na Wabunge Kuunda Kamati - Usiwalishe maneno kina zitto na bashe, hawakusema wana ushahidi kuhusu saa8, bali walisema (zitto) wana ushahidi kuhusu tukio la nape na clouds etc. Hata clip zao zipo youtube ziangalie. Wabunge si Mungu so usitake kutuaminisha kwamba kila linalosemwa na Mbunge au Kulalamikiwa basi ndio la Ukweli - WRONG. Jenerali can have his opinion. KOSOA SANA TUUUU (NDANI YA MIPAKA YA KISHERIA) NA HAKUNA ATAKAYEHANGAIKA NA WEWE
 
Juzi UK wametunga sheria kali sana ambayo ni online surveiilance - website zako zote unazoingia zinaorodheshwa na kuwa archived. Kifupi, badala ya kukufatilia physically mtaani, wao wanasoma kila kitu unachofanya mtandaoni. Muwe mnafanya kwanza utafiti kabla ya kukosoa kwamba sheria ya makosa mtandaoni ndio mbaya kuliko zote duniani. NAOMBA SOMA TAARIFA ZIFUATAZO KUHUSU HIZO NCHI ZA ULAYA AMBAZO MNAZIABUDU KWAMBA HAWAINGILII UHURU WA WATU: Hapo Ndio Utajua Kwamba Hakuna Uhuru Usio na Mipaka na Hakuna Haki Bila Wajibu.
1. 'Extreme surveillance' becomes UK law with barely a whimper
The Investigatory Powers Act, passed on Thursday, legalises a whole range of tools for snooping and hacking by the security services unmatched by any other country in western Europe or even the US.

2. France approves 'Big Brother' surveillance powers despite UN concern
France approves 'Big Brother' surveillance powers despite UN concern
Ufaransa wametunga sheria inayoviwezesha vyombo vya usalama kupekua watu mitandaoni bila hata ya kibali cha mahakama.

3. Italy - Italy: Anti-terrorism decree to strengthen government surveillance - EDRi

4. Australia wana sheria kali sana za kupakua data za watu mitandaoni na kuzitunza (metadata) soma hapa - Australia's mass surveillance 'dangerous', Snowden says

5. Germany - sheria mpya inawawezesha kuwapekua watumiaji wa mitandao bila ukomo. soma hapa The German parliament passes controversial a surveillance law

6. Ubegiji - wanatunga sheria mpya kupekua watu mitandaoni. soma hapa Belgium unveils plans for its own highly intrusive Snoopers’ Charter
 
Bro nakushauri don't waste your time to argue na hawa vibaka wa mtandaoni. Unajua most of them the does not know the meaning of the freedom of the speech.
 
Dah mkuu unanishangaza sana ssa sirveillance inahusiana nini na watu kukamatwa na kutekwa wanapoikosoa serikali??? Hizo sheria zote sijaona hata moja inayoelekeza kuwa "vyombo vya usalama wanaweza kuchukua vifaa vyako vya kieletroniki kwa ajili ya uchunguzi muda wowote"!!!!???? Kma ambavyo cybercrime act inasema ya hapa tz au cjui kumpa waziri mamlaka ya kuamua lipi ni kosa ama lah!!! Thats so funny hao wanapititia tu mitandaoni ila sijaona extreme measures kwa watumiaji na pia makosa hayo yameidhinishwa wazi kabisa sio hapa kwetu wanasema tu "ponografia ni makosa" ila hawaelezi content zote je ukivaa kimini tu haiwezi tafsiriwa ponografia??? Hamuoni mnaweka mashimo mengi ili mkamate watu kibao manaa mnajua mkiwa specific hamtamkamata mtu!!!!!! Afu wwe unakuja kusifia hapa eti mahakama ilisema ipo sawa tu!! Mahakama hii hii ambayo jaji mkuu anateuliwa na mwenyekiti wa chama kilichoipitisha muswada huo???? Anyway mahakama yenyewe inaangalia legality yake kisheria ila haiwezi sema eti kma sheria ni kandamizi au lah anyway labda upitie pia uchambuzi wa sheria hyo mbovu kabisa humu JF pia ilijadiliwa

Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

Tuwe wa kweli kabisa freedom of speech kwa nchi za wenzetu upo vizuri zaidi kuna nyimbo hadi wamametungia kumkashifu trump huko youtube na kma unavyoona maandamano yapo nchi nzima ila ushawahi ona viongozi wa maandamano wanakamatwa??? Au mikutano ya siasa inazuiwa au mtu kakamatwa kisa ameandika kwenye twitter page "YOU ARE NOT MY PRESIDENT" ila dare kuandika hivo tanzania kama hujakamatwa eti kwa uchochezi!!!! Then wwe unajustify kwa kugoogle surveillance laws ili kujustify uhuni wa serikali yako!!
 
Bro nakushauri don't waste your time to argue na hawa vibaka wa mtandaoni. Unajua most of them the does not know the meaning of the freedom of the speech.
Sasa lisu kusema tuna rais wa ajabu kosa lake likwapi!!!!! Si maoni yake ?? Mlimkamata ya nni??? Then tukisema hapa mnatuona vibaka!! Mnataka tuongee mnachopenda nyie tu ama!! Nyie mnatetea ujinga tu ila ukweli hamtaki kukosolewa sasa sheria gani iliwaruhusu kuzuia bunge live au mikutano ya siasa au hta maandamano wakati lipo kisheria ????
 
Tunajua hata mwaka 2015 HAMKUSHINDA UCHAGUZI zaidi ya kuiba kura pande zote 2(Bara hadi Visiwani).
Huo muziki wa 2020 labda muuwe Watz wote maana mpaka sasa HATA CCM WENYEWE MMESHAMCHOKA HUYO BASHITE#1. Kwa sasa siyo siri tena kuwa Magufuli ana upinzani toka ndani ya chama chake!! Hivi Rais anayeweza kumfukuza kazi kiongozi aliyemfanyia kampeni ya kumsaidia kuingia Ikulu,what do you expect in GE 2020??? Naomba hiyo 2020 ifike mapema then you gonna know WHO IS NAPE???[/QUOTE
Hizi ni porojo za wajinga wa vijiweni !
 
Sitakujibu kwa mihemko ila kuhusu cybercrime act - nakupa ushauri nenda katafute sheria za makosa mtandaoni za nchi zote duniani na hasa nchi zinazofuata mfumo wa sheria za Uingereza (common law) then angalia makosa (offences) yaliyowekwa kwenye sheria hizo - yote yanafanana ikiwemo hata sheria za UK. Kinachotofautiana ni adhabu. So Usikaririshwe kwamba sheria ya makosa ya mtandaoni TZ haijawai kuwepo duniani- ipo sana tu tena hata Nchi za EU ambako mnawaona wana sheria nzuri, wana sheria kali sana za makosa ya mtandaoni (trust me). Aidha, sheria hiyo imeshapingwa Mahakama Kuu But Mahakama Ilikataa Kuibatilisha Sheria hiyo na ikasema ipo Sawa isipokua ilielekeza kifungu kimoja tu kirekebishwe ambacho kinamhusu DPP (Hakihusu Offences). So wewe tii tu sheria, huna namna.

Kuhusu ID za JF kutakiwa - usipende kukuza mambo na kusema ID za watu wote JF zilitakiwa, si kweli. Ni za watu waliovunja sheria. Ukivunja sheria utatafutwa tu na utapatikana.

Kuhusu Saanane na Wabunge Kuunda Kamati - Usiwalishe maneno kina zitto na bashe, hawakusema wana ushahidi kuhusu saa8, bali walisema (zitto) wana ushahidi kuhusu tukio la nape na clouds etc. Hata clip zao zipo youtube ziangalie. Wabunge si Mungu so usitake kutuaminisha kwamba kila linalosemwa na Mbunge au Kulalamikiwa basi ndio la Ukweli - WRONG. Jenerali can have his opinion. KOSOA SANA TUUUU (NDANI YA MIPAKA YA KISHERIA) NA HAKUNA ATAKAYEHANGAIKA NA WEWE
Offences zipo najua ila zipo specific mfano wakisema uchochezi basi wataelezea matters which can be considered ni catalyst for political anarchy!!! Hawawezi sema tu ''mamlaka zinaweza amua kufuta au kuzuia content mtandaoni wakiona ni uchochezi'' huku hawaelezi hizo content za kichochezi ni zipi and how do u determine and consider them kuwa ni za kichochezi!!!!

Wao hawaweki mashimo wapo so specific na cjaona wapi wanaipa mamlaka kubwa sana polisi kufanya kazi yao bila mipaoa kma ya hapa Tz kiasi kwamba unaweza kamatwa eti kisa tu wapo suspicious about you muda wowote au wakati wowote na wakakupekuwa in case una vifaa vya kieletroniki kma laptop and so forth bila kuhojiwa na yoyote!!!! at the same time hawaelezi circumstances gani zitapelekea ufanyiwe hivo but za wazungu zipo specific na hazina harsh measures wala nguvu kubwa kwa jeshi la polisi au wanausalama then wwe unaanza linganisha???? Kwa kugoogle visheria ambavyo vimeshafanyiwa ammendment muda mrefu tu na nyingine kesi ziko mahakamani!!! So funny
Sawa unasema nawalisha maneno ila siku ile bashe yupo clouds alilisema hilo la saanane na video ipo youtube pia nape akiwa mtama alisema wazi kabisa kuwa saanane alibebwa na usalama wa taifa ssa si mumkamate kwa uchochezi!!! Na unasema sio kila wanachosema wabunge lazma kiwe kweli!!! Ok kma sio lazima ssa mliogopa nni kuweka kamati ili wakathibitishe huko uhuni wa vyombo vyenu vya usalama kuteka watu maana hta clouds ni utekaji ule!!! Mkaogopa sasa mnafkiri tuwaleweje??? Tumuamini aliyekuwa tayari kuthibitisha au tuwaamini serikali mliiogopa kuunda kamati???? Eti mkuu jiongeze tu hapo afu uone kosa langu likwapi kuamini saanane katekwa na TISS
 
Kwanza natanguliza shukrani zangu kwa mchango na juhudi zenu kubwa katika uchaguzi mkuu wa 2015.
Baada ya uchaguzi mkuu sasa ni miaka 2 na mabadiliko mliyokuwa mkitaka Mheshimiwa Rais Magufuli ameyaleta kwa kasi na umakini wa hali ya juu.
Nyie wote kama mawaziri wakuu wastaafu ni vizuri kwa kulinda legacy yenu kwa kustaafu na kujiunga na club ya mawaziri wastaafu kina Pinda,Malecela,Warioba,Msuya na Salim.
Mchango na ushauri wenu ni muhimu kwa serikali ya awamu ya tano. Kuna msemo wa kiingereza usemao If you cant beat him join him.
KABISA
 
Back
Top Bottom