DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
Ivi nyie mlitegemea Lowassa aanze kuongea uongo kama mlivyozoea. Huyo ndio Lowassa,io ndio Chadema hao ndio Ukawa. Kwanza mkutano ulikuwa ni wa Bawacha Lowassa alikaribishwa na katika kukaribishwa kwake yeye aliwaomba akina mama KURA. Kuomba kura sio lazima useme nitawagaia kila mama mifuko ya viroba, cjui mjirodheshe, mara ooh nitafungua mahakama ya mafisadi. Yote hayo yapo katika katiba ya Tanzania wala haliitaji kusema ingia madaraka na kuvitekeleza. Unataka awe kama Tezi dume nitawanunulia meli, nitawajengea uwanja wa ndege. Kiongozi utakiwi kuongea sana onyesha kwa vitendo hapa kwa Chadema/Ukawa hakuna maneno mengi. NI UTEKELEZAJI TU SUBIRI KUANZIA TAREHE 26/10/15
tunaomba viongozi wa ukawa jumamosi lowasa apewe saa nzima ili ajimwage pale jangwani.ili huu utata wa watu wanaoamini kwamba lowasa sio muongeaji upewe majibu sahihi...
Acha hizo wewe. Kila jambo na wakati wake. Juzi alienda kuwasalimia. Leo amewapa kazi. Na Samia alipoenda Huruma Hospital alienda kufanya nini? Umetumwa hapa mwambia hatuelewi. Hata Lowassa akiwa katika kukata roho (Mungu pitisha mbali) tutamchagua. Yule wa enzi alianguka siku ya mwisho ya kampeni si tulimchagua? akaendelea kuanguka na tukamchagua? Sasa basi subiri tulia sindano ipite hadi kati vain.Fridaaaa!!!! Ulikuwepo kweli mkutanoni???
Juzi alipoenda kwa mama Ntilie bado hakujua shida ya mwanamke aitwae mama lishe???? Mbona alisema anatembea wa TZ ili kujua shida zao, ndio maana akapanda hadi Dala Dala. Tena alitetewa kweli kweli.
Kumbe alikuwa anapiga USANII!!!
Queen Esther
Kama kweli mko 'siriazi' basi acheni usanii, kipindi hiki cha kampeni sio wakati wa kufanya maigizo na kuyarusha 'laivu' kwenye luninga!
Kama zzk alivyo vuna kufukuzwa cdm
Jamani sikuwa na mpango wa kukujibu ila naona nikupe angalizo, Lowasa si wa hivyo yule anacheza na akili za CCM kuliko unavyofikiri. Mipango yake haikamatiki kwa uelewa mdogo hata kidogo, anatulia na kutafakari karata zake azichezeje. Kama unataka kuamini ninachokisema subiri hiyo jumamosi alafu uje uniambie mwenyewe nini atasema. Narudia tena Lowasa sio kama mnavyotaka awe. Anawasomeni bila kujielewaHeshima kwenu wana JF.
Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.
Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"
Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.
Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!
Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.
Naomba kuwasilisha.
Queen Esther
Muda wa kampeni ni mfupi, why wiki nzima inapotea kwenye daladala na masokoni? Kuna tatizo gani?
Sasa kijana kilambalambila kwani ule ni uzinduzi wa kampeni? Wadau najua madesa yametuadhiri lakini tutjitahidi kutumia hata zile alizo tujalia Mola wetu jamani hili ndilo linatufanya kupoyeza Imani hata kwa makampuni ya kigeni hawawezi kutuamini kutokana na kiwango kidogo cha kuchambua hoja.
Hiyo ndiyo kampeni yenyewe kama hujui, ndiyo maana leo Tanzania nzima ilisimama kumsikiliza mgombea wa Ukawa wakati Pombe hajulikani alipo.Muda wa kampeni ni mfupi, why wiki nzima inapotea kwenye daladala na masokoni? Kuna tatizo gani?
Jamani sikuwa na mpango wa kukujibu ila naona nikupe angalizo, Lowasa si wa hivyo yule anacheza na akili za CCM kuliko unavyofikiri. Mipango yake haikamatiki kwa uelewa mdogo hata kidogo, anatulia na kutafakari karata zake azichezeje. Kama unataka kuamini ninachokisema subiri hiyo jumamosi alafu uje uniambie mwenyewe nini atasema. Narudia tena Lowasa sio kama mnavyotaka awe. Anawasomeni bila kujielewa
Ivi ukawa na kaole ccm nani waigiziji.Msipende kuleta utani kwenye mambo muhimu nyie. Mmekaa madarakani miaka mingapi na mlifanya nn????? Leo anakuja Pombe kutuambia eti serikali yake itafanya makubwa!!!!! Yapi? Iyo TV yako si ina vitufe... Usicheki habari za ukawa kwani umelazimishwa???? Ndorobo wewe