Edward Lowassa atoweka ghafla kwenye media nchini

Edward Lowassa atoweka ghafla kwenye media nchini

Hata wale wapambe wake hapa jf ocampo four, msalani , laki si pesa ghafla wamepotea. Nimedokezwa na wao ni miongoni mwa wataalamu wa IT wa lowasa waliokamatwa.
 
Ni wenye upeo na IQ kubwa tu ndo wanajua Alichowafanya Lowasa , Kutoka viti 74 vya upinzani ndani ya Bunge 2005 - 10 hadi zaidi ya viti 120 vikiwemo Viti Maalumu, Angalia Baadhi Miji Mikubwa mliyoitamani ikiwemo Dar es salaam (Nape kakiri ) Bakora za Lowasa zimewacharaza.
Mbegu ya mabadiliko Aliyoipanda Lowasa Ndani ya Mioyo ya watanzania wengi wakiwemo Vijana subirini Mavuno yake mtayaona miaka mitano ijayo, kwani ahadi alizoahidi Mh;Pombe Elimu Bure , Tanzania itakayojaa viwanda , Meli mbili kubwa ,Maji kutoka ziwa victoria Hazitekelezeki
 
Lowasa anawanyimaje raha? Mnaloooooo!!!!
 
Media zimepiga hela zake za ufisadi vya kutosha....kwa sasa wamemtupa kama toilet paper. Hana ishu tena.


Hahahah wabongo bana!!! hata wewe? si ulimsifia na kumtumikia sana humu?

Kweli dunia hadaa!!!
 
jitu lipo jamii forum linapost use*nge use*nge,,, pumbavu
 
JF siyo media? Na wewe hujajua tu Lowassa hakutaki hata ukimvulia nguo. Mimi ndiyo hilo shombo lako linanichefua mbaya. MEDIA unazijua wewe?

Tukaneni sana ila
 
Safari ya matumaini + mabadiliko na lowassa inaendelea tumepaki Bus tu. Safari iko pale pale
 
lowassa bonge la raisi sio huyu mtu wenu anachezeshwa kama remote oonaa kesha mteua A.G wa mh. mkulu alieondokaa
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ilikuwa ni jambo lililozoeleka kila unapotune radio ama kuangalia TV au kuperuzi gazeti na hata kuangalia mitandao ya kijamii kusikia ama kuona jina la Lowasa likitawala kwenye media hizo. Hali hiyo iliwaaminisha baadhi ya Watanzania kuwa hakuna mtu muhimu Tanzania kama Edward Lowasa. Tena wengine wanadiriki kusema kuwa eti Magufuli anakalia kiti ambacho si chake.

Cha kushangaza zaidi, tangu tarehe 1 Novemba, jina la Lowasa limepotea ghafla kwenye media nchini. Hii imekuja siku mbili tu baada ya Dr Magufuli kukabidhiwa cheti cha ushindi wa nafasi ya Urais, hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.

Kwa sasa ni jambo la kushangaza kuona hata zile media ambazo kila uchwao walikuwa wanatuaminisha kuwa Lowasa ndiye mkuu katika taifa hili wameacha kutangaza habari zake. Mathalan, ITV na Channel Ten, TV zilizokuwa zinatumiwa na Lowasa kama mdomo wake hawajaonesha taarifa yoyote ya Lowasa tangu juzi. Hii ni kusema kuwa TV hizi zimebadili gia angani na sasa wanatumia muda mwingi kutoa habari za Magufuli.

Bye Bye Lowasa.

Bado anapata airtime star TV
 
Kampeni zimeshaisha, ulitaka aseme nini kila siku,?
Baada ya kampeni watu wanapumzika kabla ya kuanza hatua inayofuata.
Mapambano bado yanaendelea ya kumkomboa mtanzania kutoka kwa mkoloni ccm.
Lowasa yuko mioyoni kwa watanzania walio wengi, ndio maana pamoja na kupewa mapumziko ya kuapishwa kwa mnayemuita raisi, nchi iko kimya kama kuna msiba.

Kiruuu! Nakushauri kunywa wine nyekundu ulale
 
Lowassa kawadinya magambaz hamna hamu naye aisee kakaa kimnya mmeanza kuwashwa ,mnataka tena?.
 
Nitakuwa mchoyo wa fadhira kama nisipo mshukuru Lowassa kwa kuniwezesha kipesa pia. Wengi mlikuwa mnapoteza muda kumshangilia ila hela yake tumeila sisi. Tangu kutangaza nia Arusha hadi kutafuta wadhamini ndani ya CCM. Mzee Lowassa sitakusahau, kwa kuchoma pesa wewe ni noma sana.

Haahaa Haha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Lowasa tarudi kwa nguvu itakayowaacha midomo wazi! Uzuri wake hakurupuki. Subiri utaona!!
 
Mwenzio Yule Mwandishi Bingwa Wa Kujipendekeza Kwake Jamila Omary Wa Channel Ten Arusha Sasa Anamalizia Kujenga HEKALU Lake Huku Vogue Lake Likiwa Baharini Sasa Linakuja Dar. Kweli Lowassa ULIINGIZWA MKENGE Na Utajuta Sana KUPOTEZA MIHELA Yako Kwa Kukosea au Kusahau Kwamba Hakuna Bingwa Wa UNAFIKI Dunia Nzima Kama WATANZANIA Sisi Sisi. MAFURIKO Yako Sasa YAMEKUTIA HASARA Na Sijui Utawalipaje Akina TSN, Big Bon Na Mzee Bakhressa Bila Kumsahau Hanspoppe.

Nyie wachovu msio na kazi Kama wanawake Malaya ndio mtapotea,eti ulikula hela ya Lowasa,kwanza Liwasa Hana watu wapuuzi Kama Wewe,na hakua na habari na wajinga Kama nyinyi mafisiemu,mmemtukana hajuwajibu sasa mnaanza uwongo na uzushi,mbona mna chekesha Sana.
 
Back
Top Bottom