Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Zamani vyama vya upinzani vilikuwa vinasaidiana ktk kampeni na mikakati lakini hili la Kenya ni wazi kwamba linajenga sintofahamu ambayo si tu inaweza kufifisha diplomasia kati ya nchi hizi mbili bali kuwachonganisha wananchi wa Tanzania na Kenya kwa gharama ya wanasiasa.
 
wewe umepanic baada ya kumuona Lowasa.
Sijapaniki, ila ni ukweli ulio wazi, wewe fikiria jinsi kashfa yake ilivyoenea kipindi kile leo hii unampandisha mtu jukwaani akupigie kampeni wakati anajulikana ni mwizi kabisa
 
Uhuroto watashindwa vibaya mno, wameingia chaka kumtumia mtu mwenye nuksi na siasa. Huyu mzee hana ushawishi wowote, anajulikana ni fisadi hata kila mkenya anajua hilo, sasa akina uhuruto nao ni mafisadi?
Uhuru ashindwe kwenye nini? Uwe unaweka akiba ya maneno kwani Lowasa hakushinda uchaguzi? Kilicho tokea ni nini? Hivyo hivyo mlivyo mfanyia Lowasa ndio Raila atakacho fanyiwa Kenya
 
Wanasiasa wetu kubainisha wazi. mfungamano wao n'a vyama n'a uchaguzi Kenya kwangu mimi naona si jambo jema. Tungewaacha wakenya waamue bila influence y'a watu wa nje. japo Lowasa ana uhuru kama mtu binafsi kwani hana madaraka serikalin ana nafasi Kama mwanasiasa maarufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KILA LA KHERI JEMBE,
Nakutakia ushindi si kwasababu lowassa alikuja uko la hasha lowassa Hana uwezo wa kunishawishi nikutakie ushindi , nakutakia ushindi kwa sababu zifuatazo
1. We ni muungwana Na mchapakazi, hukutubagua mara kadhaa tulipokuja count ya Nairobi Kenya, tukiwakilisha nchi Yetu,

2. Kazi uliyofanya Na kuiendeleza kenya ni sababu tosha ya watanzania wapenda maendelea Na wenye slogan ya hapa kazi tu kukutakia ushindi

3. Japo rushwa ni changamoto kwa nchi nyingi za Africa ikiwemo kenya ,lakin hupendi rushwa,

4. Umelelewa katika maadili ya uongozi ,

KUJILETA LOWASSA KATIKA KAMPENI ZAKO KULITIA DOSARI KIDOGO JAPO KWAKUWA WAKENYE WANAKUKUBALI WATAKUPA,

nilifurahi pale ulipotoa ufafanuzi baada ya Wakenya kuhoji haya

A. Hivi huyu lowassa si ndo Yule aliyesaini mkataba hewa wa Richmond apate hela kwa udanganyifu serikalini?

B. Si ndo huyu ambaye alifukuzwa Na ccm ? Ya magufuli? ( Wakenya niwakosoe hakufukuzwa Ila aliama baada ya kukatwa)

C. Si ndo huyu ambaye alijichukulia ardhi ya kutosha kwa kudanganya wananchi akiwa waziri wa ardhi?

D. Si ndo huyu ambaye tuliona kwenye kipindi Cha KTN Kenya katika history, Mzee nyerere akisema hafai?

BAADA YA KUJUA HAYO KENYYATA AKAJITETEA HAKUMUITA KATIKA KAMPENI ZAKE, ALIJILETA TU,

NAKUTAKIA KILA LA KHERI KENYATA UHURU

By Samweli mathayo
 
Uchochezi at work. Hivi huyo mzee kumpa kashfa zote wewe kijana wa Lu m mba huoni unatafuta laana?unalalamika nini wakati kawaambia kama mna ushahidi mpelekeni mahakamani. Mnaogopa nini kumpeleka ili tujue ukweli. Yaani hapa naona thread hii imejaa utumbo mpana ifutwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa CCM bwana hebu tuleteeni hiyo sauti ama picha ya video Nyerere akisema Lowassa hafai. Halafu mbona Nyerere alikuwa mjamaa wakati nyie mmekuwa mabepari, Nyerere alilipenda Azimio la Arusha nyie mkaliacha?

Halafu Nyerere alikuwa ni mtu tunayemheshimu sana lakini hakuwa Mungu wa mawazo yetu. Kama yeye aliona Lowassa hafai yule Mkapa aliyeona anafaa na kubatizwa jina la "Mr. Clean" ndiye kila uchao anatutukana tunaopingana na CCM.

Mkapa alipigiwa debe na Mwalimu ambaye aliamini kwamba Ikulu si pango la wanyang'anyi, lakini Mkapa alipofika Ikulu akaanzisha Kampuni kwa kutumia Anwani ya Ikulu na kutumia Kampuni hiyo kujimilikisha Mgodi wa Kiwira.

Mwalimu Mwenyewe aliwahi kukiri kwamba katika utawala wake alifanya mambo mazuri na mengine yalikuwa mabaya. Kwa nini nyie CCM mnataka kuonesha kwamba madhali kitu kilisemwa na Mwalimu basi kinakuwa ni Amri ya Mungu iliyoshushwa toka Mbinguni?

SI LAZIMA KUKUBALIANA NA KILA WAZO LA MWALIMU NYERERE KATIKA MAISHA YA SIASA!
 
ANGALIZO. Wakati leo tukishangaa na kumsema Lowassa kwenda kumuunga mkono Kenyatta tusisahau pia kuwa kuna Mtanzania mwingine tena akiwa Waziri nae mwaka 2013 alienda nchini Kenya na kumuunga mkono Odinga tena kwa bashasha zote. Bahati mbaya sana hata Kumbukumbu zangu zimenitoka na nimemsahau huyo Waziri na sidhani kama hata kwa sasa bado tena ni Waziri katika awamu hii ya Gwala / Tano.
 
KILA LA KHERI JEMBE,
Nakutakia ushindi si kwasababu lowassa alikuja uko la hasha lowassa Hana uwezo wa kunishawishi nikutakie ushindi , nakutakia ushindi kwa sababu zifuatazo
1. We ni muungwana Na mchapakazi, hukutubagua mara kadhaa tulipokuja count ya Nairobi Kenya, tukiwakilisha nchi Yetu,

2. Kazi uliyofanya Na kuiendeleza kenya ni sababu tosha ya watanzania wapenda maendelea Na wenye slogan ya hapa kazi tu kukutakia ushindi

3. Japo rushwa ni changamoto kwa nchi nyingi za Africa ikiwemo kenya ,lakin hupendi rushwa,

4. Umelelewa katika maadili ya uongozi ,

KUJILETA LOWASSA KATIKA KAMPENI ZAKO KULITIA DOSARI KIDOGO JAPO KWAKUWA WAKENYE WANAKUKUBALI WATAKUPA,

nilifurahi pale ulipotoa ufafanuzi baada ya Wakenya kuhoji haya

A. Hivi huyu lowassa si ndo Yule aliyesaini mkataba hewa wa Richmond apate hela kwa udanganyifu serikalini?

B. Si ndo huyu ambaye alifukuzwa Na ccm ? Ya magufuli? ( Wakenya niwakosoe hakufukuzwa Ila aliama baada ya kukatwa)

C. Si ndo huyu ambaye alijichukulia ardhi ya kutosha kwa kudanganya wananchi akiwa waziri wa ardhi?

D. Si ndo huyu ambaye tuliona kwenye kipindi Cha KTN Kenya katika history, Mzee nyerere akisema hafai?

BAADA YA KUJUA HAYO KENYYATA AKAJITETEA HAKUMUITA KATIKA KAMPENI ZAKE, ALIJILETA TU,

NAKUTAKIA KILA LA KHERI KENYATA UHURU

By Samweli mathayo
Jali hali yako mkuu Kenyata hstakupa maziwa ya bure!
 
Ujinga uliopevuka
 
Si Magufuli alienda kwani uongo
 
ungekuwa wakike ningeleta mahari kwenu
 
Back
Top Bottom