Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Hivi hii imekaaje ya upinzani kuunga mkono chama tawala nchi jirani sio kwamba huwa wana umoja wao Wa upinzani ambapo huwa wana peana support??
Mimi sio mpenzi wa siasa za afrika coz wanachokisema mdomoni ni tofauti na kilichomo akilini

Yan afrika sio chama pinzani wala chama tawala hutakiwi kuwaamini kabisa
 
Uhuru Kenyatta alimwalika Lowassa kwenye kampeni zake za Urais nchini Kenya.
Lowassa alisimama na kumuombea Uhuru Kenyatta kura, lakini alizomewa sana kwa tukio hilo.

Ni jambo la aibu Sana kwa Kiongozi huyu kuzomewa, ni fedheha kubwa Sana, ni dharau mbaya Sana Wakenya walioionyesha kwa Mheshimiwa Lowassa.

Je? kuna kosa alilofanya Mheshimiwa Lowassa mpaka kupata madhira haya?

Tujadili kwa mapana, ili tujue tatizo lilikua ni nini, ili lisijetokea tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu obviously kosa liko associated na kumuombea Uhuru Kenyatta kura.Kuzomewa ni message ambayo inamaanisha kati ya mambo mawili.Aidha yeye mwenyewe Lowasa hastahili kumuombea Uhuru kura kwa kuwa hafai kwa njia moja au nyingine au hawakuona logic kwa nini Lowassa amuombee Kenyatta kura.Alternatively inawezekana walimzomea kwa kuwa hawakuona kwa nini mtu asiyefaa kuongoza
Wakenya aombewe kura.Hata hivyo ni vigumu kujua exactly kwa nini walimzomewa unless mtu angewauliza.

Even though this was a shame to Lowassa,ingawa kwa wazomeaji haikuwa sahihi kumzomea.
 
Hivi hii imekaaje ya upinzani kuunga mkono chama tawala nchi jirani sio kwamba huwa wana umoja wao Wa upinzani ambapo huwa wana peana support??
Na ikama wewe si mbaguzi basi pia ungejiuliza pia kwa nini huku chama twawala kina uunga mkono upinzani kenya tena kuanza mwenye kiti wa chama
 
Nadhani kwa clip hii iliyowekwa aliombwa na watu walokuwa mita chache aliposimama ili aongeze sauti kwa sababu alivyoanza alikuwa hasikiki kama kawaida yake.
 
Acha shindanisha Uhuru na vitu vya kichatochato ww

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Uhuru Kenyatta alimwalika Lowassa kwenye kampeni zake za Urais nchini Kenya.
Lowassa alisimama na kumuombea Uhuru Kenyatta kura, lakini alizomewa sana kwa tukio hilo.

Ni jambo la aibu Sana kwa Kiongozi huyu kuzomewa, ni fedheha kubwa Sana, ni dharau mbaya Sana Wakenya walioionyesha kwa Mheshimiwa Lowassa.

Je? kuna kosa alilofanya Mheshimiwa Lowassa mpaka kupata madhira haya?

Tujadili kwa mapana, ili tujue tatizo lilikua ni nini, ili lisijetokea tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike sehemu uone aibu kuleta upuuzi hapa
Sasa nani kaleta upuuzi ni mimi au aliyeanzisha uzi?

Narudia tena afrika sio chama tawala wala chama cha upinzani inatakiwa kuwa makini sana kuchambua mambo yake
 
Back
Top Bottom